Dkt. Philip Mpango: Narudi kuchapa kazi, Mungu amenivusha. Leo siku ya 3 sijatumia mtungi wa Oxygen

Dkt. Philip Mpango: Narudi kuchapa kazi, Mungu amenivusha. Leo siku ya 3 sijatumia mtungi wa Oxygen

Hawa ndio PhD holder tulio nao Tanzania.

Sishangai Msukuma anavyo watukana bungeni na wao kushangilia wakati wana tukanwa.

Hivi kuna logic gani kuandika mitandaoni kwamva amepona na ana rudi kazini?

Alipo umwa alisema mtandaoni?

Kweli class seven wana akili kuliko hawa wa siku masaa 48
 
...ni kwa nini haswa watu walikuwa wafurahie kuugua kwangu na baadhi actually hata kutaka nife kabisa?
Utakuwa mpumbavu kudhani utapendwa na kufurahiwa na wote. Hao waliofurahia kuugua kwake na kutaka afe ni asilimia ngapi ya watanzania?!
 
Hawa ndio PhD holder tulio nao Tanzania.

Sishangai Msukuma anavyo watukana bungeni na wao kushangilia wakati wana tukanwa.

Hivi kuna logic gani kuandika mitandaoni kwamva amepona na ana rudi kazini?

Alipo umwa alisema mtandaoni?

Kweli class seven wana akili kuliko hawa wa siku masaa 48
Kuna waziri mmoja anaunyemelea uwaziri wa fedha, nadhani ndio alikuwa anampa angalizo kwamba yuko fit!
 
c.c Wizara ya Afya. Angekosa Oxygen (kama wengine wanaoweza kukosa) huenda ingekuwa habari nyingine.

Fundisho; Boresheni Huduma.
 
Tushukuru Mungu ni bahati kupona kwa umri huu🙏 Lakini ukiumwa unapata kinga ya siku 90 tu hivyo bado awe makini sana maana mapafu na mishipa ya moyo tayari inataka muda wa kupona vizuri. Wengi waliopata mara ya pili hatukonao. Tusipinge chanjo kwa wazee wetu.
 
Pole sana Daktari Philipo Mpango waziri wa fedha wa JMT na msema kweli juu ya hali halisi ya uchumi wetu. Ulipotoa hotuba yako ya kwanza tangu kuteuliwa kuwa waziri wa fedha ulituhimiza watanzania kutumia vizuri rasilimali muda kwa ajili ya kujiletea maendeleo ya haraka na huu ulikuwa ni ujumbe muhimu sana kwangu.
 
Utakuwa mpumbavu kudhani utapendwa na kufurahiwa na wote. Hao waliofurahia kuugua kwake na kutaka afe ni asilimia ngapi ya watanzania?!
Sijui! Ila sikuona hata mmoja aliyehuzunika isipokuwa yule wanayemwita "mungu"
 
hakuna korona Tanzania aseme yeye kaitoa wap? humu tuna changamoto ya upumuaji tu
 
Pole sana,,ni vizuri kuwa muwazi,,nimejifunza kwa Limutuz,,leo kawa muwazi kuhusu afya yake na imewavuta watu wote kuwa nae na kumpa pole na kumtakia augue pole,,kawaida watu huwa wanapenda kumponda sana,,lakini kawa honest na akawagusa watu..
Ugonjwa hauna ubabe..
 
Tuboreshe vya kwetu na kwa nafasi aliyonipa Rais, nitamshauri kuboresha zaidi
Umeona eeeh!!! vingeboreshwa kabla ya sasa huenda ungekaa siku chache zaidi ya hizo
 
Back
Top Bottom