Utakuwa mpumbavu kudhani utapendwa na kufurahiwa na wote. Hao waliofurahia kuugua kwake na kutaka afe ni asilimia ngapi ya watanzania?!...ni kwa nini haswa watu walikuwa wafurahie kuugua kwangu na baadhi actually hata kutaka nife kabisa?
Kuna waziri mmoja anaunyemelea uwaziri wa fedha, nadhani ndio alikuwa anampa angalizo kwamba yuko fit!Hawa ndio PhD holder tulio nao Tanzania.
Sishangai Msukuma anavyo watukana bungeni na wao kushangilia wakati wana tukanwa.
Hivi kuna logic gani kuandika mitandaoni kwamva amepona na ana rudi kazini?
Alipo umwa alisema mtandaoni?
Kweli class seven wana akili kuliko hawa wa siku masaa 48
Ni Bavicha wachache tu wenye nia ovu!Utakuwa mpumbavu kudhani utapendwa na kufurahiwa na wote. Hao waliofurahia kuugua kwake na kutaka afe ni asilimia ngapi ya watanzania?!
Sijui! Ila sikuona hata mmoja aliyehuzunika isipokuwa yule wanayemwita "mungu"Utakuwa mpumbavu kudhani utapendwa na kufurahiwa na wote. Hao waliofurahia kuugua kwake na kutaka afe ni asilimia ngapi ya watanzania?!
Huyo aliyeionja haiwezi kukubali kutembea kavu.Mwambie barakoa ni muhimu asije akatuletea balaa jingine!
Umeona eeeh!!! vingeboreshwa kabla ya sasa huenda ungekaa siku chache zaidi ya hizoTuboreshe vya kwetu na kwa nafasi aliyonipa Rais, nitamshauri kuboresha zaidi