mwanateknolojia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 1,026
- 1,749
Pole nyingi kwake, shukrani pia kwa Mwenyezi Mungu! Namshauri ajitathmini sana namna nz mazingira alivyo upata ugonjwa huo ili asijekanyaga tena mahala pale!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana wewe ndiye yule "mungu" wao wewe!Sasa kama uko kwenye kundi la wajinga wenzio utaonaje anae huzunika?
Nimeiona hii footage,,nikasikitika sana,,huyo ni mtu mkubwa sana,,anataabika vile,,,je sisi wa chini itakuaje..?.
Ana kila kitu at his disposal...
Afu wakitoka hapo wanaipigia kelele serikali haiwapi PPEs..Uko sahihi kiasi chake mkuu.
Lakini kumuona qualified Daktari yupo na mgonjwa anayekohoa bila hata mask. Na anajua kabisa huyu mgonjwa ana COVID ambayo haijapona….... Imenifanya niwaze huyu bwana elimu yake inamsaidia vipi.... Nimeogopa sana.....
Huyu daktari amenisikitisha sana kweli.Afu wakitoka hapo wanaipigia kelele serikali haiwapi PPEs..
Ha Ha ha,TRUE, he is not out of the woods yet!! Amewahi sana kushukuru!!! Aachane na tabia ya kujipendekeza kwa JIWE; anatakiwa achukue likizo akapumzike badala ya kujifanya yeye ni mzalendo at the expense of his health. Akifanya mchezo ataondoka!!!
Ndio kwani ile Tanzania Oxygen bado ipo. Bei gani mtungi, kama ipo shares zitakuwa juuDuu! Kwa hiyo kila mtu anatakiwa anunue mtungi wake wa oxygen kwa kujihami?
Mashoga mmeshindaMishetani mmeshindwa
Jamani dakika 20 tu zimepita nimepata taarifa za msiba. Na umri ni 35. Aliumwa na akapata nafuu lkn ghafla hali ilibadilika na ameaga dunia leo. COVID-19 variant ni unpredictable na inachukua aspect tofauti kwa kila anayeipata. Watoto tu ndio inafahamika symptoms sio severe lakini very good carriers of the C-19.Bado hajapona,sema ICU wanaamini siku 21 mtu tokea awe positive,hawezi ambukiza tena. Hiyo ni theory tu. Hao Ma Dr wanajiaona vijana hata wakipata hawatakuwa na hatari ya kuzidiwa. Sema wanasahau wanaweza ambukiza baba zao,mama zao. Too sad.
Kila tunapoukimbia ujinga umaskini unatuvuta shati, ili kuendelea kuukimbia umaskini lazima tuwe wajinga.Nyerere aliongelea maadui wakuu watatu,,
Ujinga.
Umasikini.
Maradhi,,
Hawa maadui bado wanatuandama sana..
Au tujifanye wajinga..Kila tunapoukimbia ujinga umaskini unatuvuta shati, ili kuendelea kuukimbia umaskini lazima tuwe wajinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa!!Mwambie barakoa ni muhimu asije akatuletea balaa jingine!
Mawazoyako kama yanguHuyu jamaa sijui Kama atatoboa