The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Time will tell . Umma haujawahi kushindwa na dolaAmeandika kwenye account yake ya mtandao wa twitter:
Usiku huu, Dkt. Wilbroad Peter Slaa, mashtaka yake yamebadilishwa kutoka katika matumizi ya lugha ya uchochezi sasa amepewa mashtaka ya UHAINI. Dkt. Wilbroad Slaa yupo kituo cha polisi Oysterbay. Taarifa hii ni kutoka kwa wakili wake, Adv. Dickson Matata. Anakuwa mtu wa tatu.
Ameandika kwenye account yake ya mtandao wa twitter:
Usiku huu, Dkt. Wilbroad Peter Slaa, mashtaka yake yamebadilishwa kutoka katika matumizi ya lugha ya uchochezi sasa amepewa mashtaka ya UHAINI. Dkt. Wilbroad Slaa yupo kituo cha polisi Oysterbay. Taarifa hii ni kutoka kwa wakili wake, Adv. Dickson Matata. Anakuwa mtu wa tatu.
Nawacheka team Samia?Team Magufuli tunawaangalia tu na kucheka😊😊😊
Siku hizi pambio za kuupiga mwingi hazisikiki kabisa.Team Magufuli tunawaangalia tu na kucheka😊😊😊
Diipiiwedi imewakalia pabayaSiku hizi pambio za kuupiga mwingi hazisikiki kabisa.
Mama yako huyu anaupiga mwingi bado?Hii DiPiWeldi imeleta matata sana...
DiPiWeldi imefanikiwa kufunga maridhiano na uvumilivu wa kukosoana kwa hoja....
DiPiWeldi inaweza ikarudisha watu magerezani na mahakamani na wengine wakarudi Ubelgiji...
DiPiWeldi limekuwa jitu kuubwa sana....
Yaani Eti Balozi wa Magufuli anataka kumpindua Makamu wa Rais Magufuli....
Hii nchi tukifanikiwa kwenda mbinguni tutakuwa tunalala stoo baada ya kudeki vyoo vya malaika...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kibaya zaidi hata wapinzani wakawa wanamsifia!Sisi wafuasi wa Magufuli tuko na porp corn zetu tu hapa tunacheck hii movie. Maana tuliambiwa boss wetu ndio alikua Rais muovu kuliko wote duniani na huyu aliyeingia ni Chaguo la Mungu.
[emoji848]Mama hajui kuwa hiyo yote ni movement ya kumng'oa yeye.
Atafululizishiwa matukio halafu si unajua mambo ya overweight, busy, uchovu na stress? MPANGO ni Mkakati wa kumalizia ndiyo maana akapangwa pale.
Okay, upo sahihi mkuu. Upo huru kuendelea kunitukana mpaka ufurahi.Wewe ni mbumbumbu. Unapongelea Katiba hakuna kufanya reference kwa kitu kinaitwa "Sura ya" bali kuna ni "Ibara ya". Umekwenda kwenye Katiba kwa ujinga wako na kuleta uliyoyaleta.
Mimi nimekupa Sura ya 7 ya Kanuni ya Makosa ya Jinai (Criminal Procedure Act).
Halafu nyinyi ndiyo washauri wa akina Dr Slaa na Mwabukusi kwenye masuala ya sheria za mikataba. Pumbavu
Sasa tumefikia pazuriTanzania police arrest two, accuse them of organising protests
Tanzanian police have arrested a lawyer and an opposition politician and accused them of incitement and planning to organise nationwide demonstrations aimed at bringing down the government.www.reuters.com
Huyo mwalimu nyerere sii ndio alietengeneza hii katiba wanayoitumia hao watawala ambao nyie munaipigia kelele na kuilalamikia au wewe hufahamu kuwa tunatumia katiba ya tangu enzi za nyerereMwalimu Nyerere alikuwa msikivu sana hususan kuhusiana na hoja za maana.Dk Slaa kaandika katika kitabu chake kuwa kabla ya Serikali ya Nyerere haijapeleka...
Ni sahihi maana tulimsikia akiongea maneno ya uhaini, ushahidi inao dunia nzima. Alikuwa anawaambia wananchi kuwa waamke tudai Tanganyika yetu, huo siyo uhaini? Unaidai Tanganyika wakati nchi yetu inaitwa Tanzania, ule ni uhaini kwamba serikali ya Tanzania iangushwe waunde serikali ya nchi yao hiyo wanaiita Tanganyika.Ameandika kwenye account yake ya mtandao wa twitter:
Usiku huu, Dkt. Wilbroad Peter Slaa, mashtaka yake yamebadilishwa kutoka katika matumizi ya lugha ya uchochezi sasa amepewa mashtaka ya UHAINI. Dkt. Wilbroad Slaa yupo kituo cha polisi Oysterbay. Taarifa hii ni kutoka kwa wakili wake, Adv. Dickson Matata. Anakuwa mtu wa tatu.
Samia kipenzi cha watanzania wote wenye akili siyo zuzuz km weweSema kipenzi chako. Kwa wengine, huyu kiongozi kibaraka wa waarabu, kamwe hawezi kuwa kipenzi chao.
Kila kilochoundwa uwezakano wa kukivunja upoNi sahihi maana tulimsikia akiongea maneno ya uhaini, ushahidi inao dunia nzima. Alikuwa anawaambia wananchi kuwa waamke tudai Tanganyika yetu, huo siyo uhaini? Unaidai Tanganyika wakati nchi yetu inaitwa Tanzania...
Hii kitu nawambia watu kila siku huyu mama ananunua maghorofa uko Dubai, akitoka tu hawezi kukaa hata Zanzibar atakaa kwa wajomba zake uko maisha yake yote na atazikwa uko.Andiko lako hili limenifanya niwe na wazo kichwani mwangu.
Huyu mwanamke anaweza kuwa kishajiandalia sehemu ya kukimbilia mambo yatakapomzidi kimo...