Dkt. Slaa Afuatiliwa na watu wasiojulikana kutoka Iringa hadi Dar Es Salaam


Unamuona Dr. Slaa hapo chini na yeye anafutailia mjadala kwa ile ID yake nyingine?

Hawa jamaa sijui wamedata!!!
 
Mikutano ya kisiasa ya kushtukiza zilizofanywa kwa mafanikio makubwa sana na CHADEMA kwingi nchini hadi hivi sasa zimechachua mijadala mingi ya kihibilisi katika boardrooms mbali mbali katika ofisi za CCM kote nchini na vyombo vya dola kuingiwa hofu sio kifani hadi hivi sasa.

Lakini yote hayo ni 'VIHUNZI VYA MULONGO' ambavyo kwa uweza wake Mwenyezi Mungu tutaviruka vyote tena kwa mafanikio makubwa sana hadi mwisho.
 
Mtu angekuwa na nia ya kumdhuru slaa angemdhuru mana kutoka iringa hadi dar ni parefu mno.hii habari si ya kuiamini
 

Namba za gari na aina ya gari zimewekwa hapa.Taarifa wamepewa Traffic police Kibaha.Jeshi la polisi lijitokeze lifanye uchunguzi
 

Unatumia nguvu nyingi kutetea visivyotetewa. Mengi hayasemwi, tungesema kila kitu nyuzi za jf zingekuwa ni hizo hizo asubuhi, mchana, jioni, usiku
 
 

Hizo ni mbwembwe za kujitafutia ujiko. Baada ya kupotea kwa muda mrefu kwenye media, kaona hiyo ndo gia nzuri ya kuingilia.
 
 
Boy!, You're all over the place like Frogs.
Soma kwanza bandiko ili upate undani wa dhima ya mleta mada hapa.

Kwa akili yako, Kama kweli CHADEMA wanafahamu haya unayoyasema wangeendelea kudhani kama wanavyosema hapa'
Walichukulia kama vile ni mchezo wa kawaida hadi walipofika Morogoro na kushtuka zaidi na kuanza kuchukua tahadhari kwa kunakili namba ya gari hilo

Yaani mgombea 'URAIS' mtarajiwa anachukulia kama kitu cha kawaida kinachotokea barabarani. haoni kama huo ni uvunjifu wa sheria za barabarani achilia mbali usalama wa maisha yake.

You must be joking if not serious.

Mtauziwa sana spin na kuzinunua sana mpaka uchaguzi kufika!
 
Ni wazi sasa chama cha demokrasia na maendeleo kimekosa la maana la kuwaambia watanzania ili kuwashawishi kukipa kura katika uchaguzi mkuu mwaka 2015.
Matukio yanayoendelea katika nchi ambayo almost 80% yanakihusisha chadema na matukio haya ni dalili za kupoteza muelekeo kuelekea 2015.
Tumeshuhudia kifo cha mwandishi wa habari mwangosi katika maandamano yasio na kibali cha polisi,
Vifo vya vijana wengine wawili katika nyakati tofauti katika maandamano ya cdm yalioharamu,
Vurugu za bungeni zikiongozwa na Godless Lema.
Uchafuzi wa hali ya usalama wa mji wa Arusha aliosabibisha huyu Lema.
M4c inaondeshwa kiuchonganishi zaidi na sio kuwaelimisha wananchi elimu ya uraia kama kinavyodai cdm kuwa ndio lengo la m4c.
Chama kinalalamika kama yatima na kila tukio utasikia serikali ndio chanzo.
Leo tena Slaa anafuatiliwa mbona mnahangaika kiasi hicho? Matukio yote ya uvunjifu wa amani uliosababishwa na chadema mnayatumia kama mtaji wa kisiasa.
 

Jana Lema kamwambia Nassari aandike thread halafu yeye mwenyewe Lema akawa anaifutatilia kwa ID yake ambayo sio verified. Leo muda mrefu Dr. Slaa naye anafuatilia hii thread kwa ile ID yake nyingine.
Sasa, kama hoja ina mashiko kwanini Slaa anafanya mchezo wa kitoto? Si atoe tamko kama anavyofanyaga siku zote?
 
Mtu angekuwa na nia ya kumdhuru slaa angemdhuru mana kutoka iringa hadi dar ni parefu mno.hii habari si ya kuiamini

Wakati unapost akili yako ishughulishe japo kidogo. Ni ujinga kupost kitu hata mtu akisoma anajiuliza ulitumia kiungo kipi kwenye mwili wako kufikiri. Unadhani Slaa ni mtu rahisi kumdhuru eeh? Labda hujui maana ya public figure
 
Kwa hiyo ile kauli kuwa Ndg.Kibanda kuteswa siyo hoja bali viongozi wa....ndiyo inataka kutekelezwa?
 
Unatumia nguvu nyingi kutetea visivyotetewa. Mengi hayasemwi, tungesema kila kitu nyuzi za jf zingekuwa ni hizo hizo asubuhi, mchana, jioni, usiku
Hicho unakiona wewe na kinakubalika kwa sababu kile unachokiona wewe siyo kile wengine wanakiona.

I'm just dissecting stupid political motivated spinning.
 
mtafakali juu ya haya yote yatokeayo sasa ni kwa nini na kwa nini sasa na sio badae na kwanini si wakati mwingine wowote isipokua wakati huu yamekuwa mengi na kila kukicha huibuka mengine,,,

nan amtafute slaa mfamaji
 
You seem to be too desperate for power!!

Desperate like the way Mr. Kikwete was since 1995?!?

Uongozi mwanana wa kuongoza jamii unakuja automatically kwa mapenzi ya waongozwa.

Oh! Sikujua hili. Kwahiyo kaka mkuu aliupata uongozi automatically enh?

Halafu, sasa waongozwa watamchaguaje mtu wa kuongoza kama mtu huyo ajajitokeza ama kupitishwa na chama husika?

Naamini unafahamu namna wagombea uongozi wanavyopatikana Tanzania. Maana haiwezekani wewe MwanaDiwani husiye mwanachama wa chama chochote, halafu watu watake wewe uwaongoze kwa kuchaguliwa kupitia CCM! Inawezekanaje hiyo?

Mwl. Nyerere alisema kiongozi mzuri ni yule asiyetaka kuongoza.

Sasa, kama mtu hataki kuongoza, atakuwahe kiongozi? Pili, nimekuuliza kwamba, mbona kaka mkuu ameutafuta sana uongozi? Au pengine ndiyo maana yeye siyo kiongozi mzuri enh?
 
Last edited by a moderator:

Thibitisha haya unayosema.Dr.slaa amekua akiingia kwa ID yake mwenywe ni kwanini aingie na Id fake.

CC: Molemo, Mzito Kabwela Matola, Magesi, Tumaini Makene, Mikael P Aweda, Mohamedi Mtoi, Shardcole
 
Last edited by a moderator:
Peleka picha kwa vyombo vya habari waiweke iyo picha kw front page
Maana kwa hali ilivyo tete kwa sasa usikute walikuwa jambo baya wakika kulitenda
 
Ninawaambia, they are setting political spinning bar too high mpaka kwa sasa zinaanza kuonekana ni spinning za kitoto.

Huwezi kutafuta uongozi kwa nguvu nyingi za aina hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…