Ya lini hii...
Mpaka siku atakapokili na kuweka wazi jinsi alivyonunuliwa na akahamishiwa Canada chini ya ulinzi na baadae akapewa ubaluzi,atakua bado anaendeleza unafiki wake tu!!
Aliasi upadri,akaasi ndoa yake na kuopoa kimada,akaasi CCM na kuhamia CHADEMA,akaasi CHADEMA na kuhamia CCM tena,anaaminika?!!
Huyu mzee ana ajenda gani
Matendo yake ni sehemu ya hoja zake pia!!..jadili hoja zake.
..usimjadili binafsi.
Matendo yake ni sehemu ya hoja zake pia!!
Slaa huyu huyu aliyesema Chadema wanatekana ili kuichafua serikali leo anasema dola inawahujumu?
Mlishindwa kumuogopa mliyemuita fisadi, mmuogope aliyekijengaHuyu mzee naona ana mission ya kurudi chadema tena nawaonya chadema wawe makini na mtu huyu siasa za divide and rule zisharudi tena
kumanisha nnMatendo yake ni sehemu ya hoja zake pia!!