Dkt. Slaa afunguka mazito kuhusu hila za Dola na Polisi dhidi ya CHADEMA

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
Msikilize Dkt. Slaa akielezea hila na hujuma za Tiss, na Polisi, dhidi ya Chadema.

Kabla ya kesi ya ugaidi ya Mbowe na Chadema kulikuwa na kesi ya ugaidi dhidi ya Lwakatare.

Dkt. Slaa ameeleza jinsi Tiss na Polisi walivyoshiriki kutengeneza kesi ya Lwakatare.

Mpaka siku atakapokili na kuweka wazi jinsi alivyonunuliwa na akahamishiwa Canada chini ya ulinzi na baadae akapewa ubaluzi,atakua bado anaendeleza unafiki wake tu!!

Aliasi upadri,akaasi ndoa yake na kuopoa kimada,akaasi CCM na kuhamia CHADEMA,akaasi CHADEMA na kuhamia CCM tena,anaaminika?!!
 
..jadili hoja zake.

..usimjadili binafsi.
 
Back
Top Bottom