Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hiyo unawatisha??
 
We kwa akili yako unadhani Slaa ni wa kuendeshwa na vijana? Huyu mtu Slaa ni mtu mwenye akili sana kumbuka
Watu wanachukulia poa lakini sasa hivi huko CCM na serikalini kuko moto zaidi kuliko huu moto wa mabua unaowaka Chadema. Dr. Slaa amesema hao wasiri wake wamemwambia aeleze wazi kuwa taarifa hizo zimetoka huko na kwa sasa wameamua kutoka hadharani hivyo hili jambo ni kubwa,Mama amechokwa kama alivyochokwa Sultan Mbowe ndiyo maana wana maagano yao kusaidiana katika hizi vita zao.
 
Tufe tu kuna ambaye ataishi milele ... ?
 
Mzee mnafiki sana huyu. Kwanza alijuwa Padri wa Katoliki, akashindwa maadili ya Ukatoliki kwa kuwa na familia. Kisha akatoka kwenye upadri na kuwa mwana CHADEMA.

Aakatoka CHADEMA kwa kukubali rushwa ya kuishi Canada na kisha kuwa balozi wa Tanzania nchini Belgium chini ya Magufuli.

Magufuli amekufa naye amekuwa IRRELEVANT, sasa hivi amekuwa mzee wa CHOKOCHOKO na KUROPOKA.

Sipendi mijitu MINAFIKI
 
Kibabu kilichojiishia namna ile unakikamata Cha nini'?!!!! Kiachwe tu kiliropokee Hadi kiishiwe na sauti na kiangukie mbali na udini wake..........ameeshindwa Kila kitu kwenye maisha Sasa inamuuma akiona wenzake wanafanikiwa.
 
Duh。。。!
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…