Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Eheheheh hawa usalama wa taifa hili kazi zao aisee !!! 🤣🤣🤣😂 zinachekesha sanaKiusalama ni lazima ahojiwe. Mbaya zaidi alisemea Clubhouse ambamo watu wa usalama wa taifa lazima wamo. Na wanaweza kukurekodi kirahisi tu. Amejitakia mwenyewe.
Amandla...
Habari za Mbweni rejea kesi ya Mbowe na makomandoo wake.Mbweni kwa nani Abdul?
Balozi mstaafuDr Slaa amekamatwa usiku huu.
Inasemekana amepelekwa kituo cha Polisi Mbweni.
Soma pia: Dkt. Slaa: Tundu Lissu anafaa kuwa Rais wa JMT leo na siyo Oktoba 2025...
Ataachiwa tu maana Tundu yupo atafuatiliaDr Slaa amekamatwa usiku huu.
Inasemekana amepelekwa kituo cha Polisi Mbweni.
Soma pia: Dkt. Slaa: Tundu Lissu anafaa kuwa Rais wa JMT leo na siyo Oktoba 2025...
Huyu bibi ni katili haswaSubiri utaambiwa kesho ila hajamgusa Bibi ushungi kweli?
Mmmmmm.......anawapa za uso sanaaaAtaachiwa tu maana Tundu yupo atafuatilia
Yes anatetea wananchi ambao hawana mtetezi wamebaki kama yatimaMmmmmm.......anawapa za uso sanaaa
Acha kufundisha watu uoga boss.Panawaka,
Zile Shutuma alizotoa Kwa Rais mnaona zipo sawa?
Hakuna siasa au harakati za vile tuache siasa za Kishamba.
----
Aina ya Siasa wanazofanya SyW zitawaponza wengi sana... Honestly..
Shutuma chafu sana dhidi ya Mbowe, Rais na watu wanomuunga mkono Mbowe.
Wasichojua hakuna kitu cha maana wanaweza panga CH kisivuje..
Sasa Dr. Slaa kadakwa wanahangaika kufanya updates CH na kutafuta mawakili bila hata utaratibu.
Vijana kuweni makini, mtaingia kwenye matatizo na wakukusaidieni hawatakuwepo
Mama MiaMama nan
Weka clip.. punguza mihemko...Panawaka,
Zile Shutuma alizotoa Kwa Rais mnaona zipo sawa?
Hakuna siasa au harakati za vile tuache siasa za Kishamba.
----
Aina ya Siasa wanazofanya SyW zitawaponza wengi sana... Honestly..
Shutuma chafu sana dhidi ya Mbowe, Rais na watu wanomuunga mkono Mbowe.
Wasichojua hakuna kitu cha maana wanaweza panga CH kisivuje..
Sasa Dr. Slaa kadakwa wanahangaika kufanya updates CH na kutafuta mawakili bila hata utaratibu.
Vijana kuweni makini, mtaingia kwenye matatizo na wakukusaidieni hawatakuwepo
Sio watu wa usalama wa taifa, sema watu wasiojulikana.Kiusalama ni lazima ahojiwe. Mbaya zaidi alisemea Clubhouse ambamo watu wa usalama wa taifa lazima wamo. Na wanaweza kukurekodi kirahisi tu. Amejitakia mwenyewe.
Amandla...
Sema Slaa nae ni Hypo! Wacha akome.Really? Alichokisema kinahatarisha usalama wa nchi kweli?
Hata kama walihitaji kumhoji, sioni ulazima wa kumkamata usiku.
Mambo mengine huwa wanaenda overboard. Labda kama hatua za awali za kutaka kuongea naye hazikuzaa matunda.
Ila kama shida yao ilikuwa ni kuongea naye tu, hakuna haja ya kumkamata usiku.
Dkt. Slaa siyo jambazi.
Wanazidi kujipaka maviWamekosea. Waliotoa amri wamefanya kwa Jazba. Walitakuwa watulie kidogo hali itulie. Hivyo walivyofanya raia wengi wataona ni kama anazibwa mdomo hata kama yalikuwa propaganda ya Dr. Slaa