Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wajinga kama ww nani anawapa access ya kujiunga Jf ?ona sasa mnaposti uharo humu pumbafuu
 
Samia ana uchu wa madaraka, anfanya kila liwezekanalo aendelee kitawala ili wanawe, wazanzibari na waarabu wazidi kufaidi rasilimali za Tanganyika. Watanganyika lazima tudai uhuru wetu
 
Slaa atapewa kesi ya uchochezi ...

Slaa ameshindwa kabisa kuwa 'loyal' kwa Ccm japo walimpa Ubalozi.
 
Samia ana uchu wa madaraka, anfanya kila liwezekanalo aendelee kitawala ili wanawe, wazanzibari na waarabu wazidi kufaidi rasilimali za Tanganyika. Watanganyika lazima tudai uhuru wetu
Na mwanae Abduli wanakula hii mpigaji sana..Abduli kiiila wizara yumo na kila dilii ni lake..ndio maana aanatapanya pesa kuhonga mbowe wakat Watanganyika wanataabika..Hvi hata hao watekaji ni mazimwi au?yani tunakoloniwa na wazanzibar na yenywe inashupaza mafuvu tu.Ridiculous!
 
Wewe huna tofauti na kunguru muoga. Na kubali tu, huu ushauri wako ni wa hovyo kupitiliza.
 
Kiusalama ni lazima ahojiwe. Mbaya zaidi alisemea Clubhouse ambamo watu wa usalama wa taifa lazima wamo. Na wanaweza kukurekodi kirahisi tu. Amejitakia mwenyewe.

Amandla...
Huitaji kuwa Usalama wa Taifa kusikia kilichosikika na Ukingatia kinarushwa Youtube..., Ndio maana hizi allegation nyingine kama you can not back them na zinaweza kuonekana kama ni slander au kuleta taharuki ni bora ukabaki nazo mwenyewe... By the way kama unasema Usalama wa Taifa haupo Salama (Una leakage, au unaona kuna mipango ya kishetani inafanyika katika nchi na inaacha iendelee) Si lazima uojiwe au kuombwa kusaidia polisi ili kurekebisha hizo ndivyo sivyo ?

All in all nilishasema zamani na ninasema tena...

 
Wajinga kama ww nani anawapa access ya kujiunga Jf ?ona sasa mnaposti uharo humu pumbafuu
Waliokuzaa ndio wamenipa access.

Hiyo Msaliti wa Kanisa anatapatapa Kwa kukosa wajukuu,umri huo sio wa kupiga makelele ameshakongoloka.

Sasa ngoja ashughulikiwe alikoswa.kipindi.kile.saizi wasimuachie Hadi ashike adabu.

Imipendeza atake ndani 2026.
 
Ukweli huu alitakiwa pia kuongea wakati wa shujaa Magufuli ili tulinganishe kati ya magu na mama nani zaidi.
Waislamu hamnaga akili sababu ya ma mafrasa yenu hayo sasa ulinganishe nn wakati rais alikua mwingine magufuli..kwaio ulitaka awalinganishe samia na magu?
 

Dr. Slaa siyo mjinga. Anajua anachokifanya. Hiyo kamata kamata yake ni kuwatisha wengine. Mwisho wa siku watamuachia aendelee na shughuli zake. Maza hana ubavu wa kuhandle mambo mazito ka haya.
 

Mambo ya kisiasa na rushwa hayanaga ushahidi wa wazi. Ni wewe tu kuchambua ukweli na uongo. Kwa jinsi Maza anavyomwaga pesa it's clear.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…