Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Anao alizaa na rose kamili wakati akiwa bado padre wa kanisa.Hivi Slaa anamtoto?
Maajabu hayataisha duniani. Muda mwingine ni bora mtu akabaki kimya tu. Japo namkubali sana huyu jamaa ila sidhani kama alikuwa kwenye position ya kusema haya maana na yeye alikuwa ni mtu wa kuunga mkono kila jambo.Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.
Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.
Msikilizeni Dr hapa chini.
Alisema tena Liwaaambia waende mahakamanMbona wakati mwendazake, aliookuwa hai hakuyasema hayo
Wanasiasa bana [emoji1]
Ova
Hypocrite PadreDkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.
Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.
Msikilizeni Dr hapa chini.
Huyu mzee ni popoHuyu ndiyo maana hatakumbukwa kamwe kama mwenzake Kafulila. Huyu ana maneno mengi sana yasiyo na maana
Dr Slaa, Old wine in old bottles.
Huyu ni wa kumpotezea tu! πππ
Ndo tatizo ya akili ndogo we tuletee katazo Hilo harafu ndo uje na maneno Yako hayo machafuHalina hata aibu kufungua domo lake Leo wakati wote wa Magufuli alikuwa kimyaa akiunga mkono kilakitu
Kwahiyo na Ben Saanane hakupotea Kwa sababu hakuna taarifa ya polisi inasema hakupotea?