Dkt. Slaa amshutumu Magufuli kwamba zuio la mikutano ya hadhara lilikuwa batili na haramu
Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.

Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.

Msikilizeni Dr hapa chini.


Maajabu hayataisha duniani. Muda mwingine ni bora mtu akabaki kimya tu. Japo namkubali sana huyu jamaa ila sidhani kama alikuwa kwenye position ya kusema haya maana na yeye alikuwa ni mtu wa kuunga mkono kila jambo.
 
Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.

Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.

Msikilizeni Dr hapa chini.


Hypocrite Padre
Umenufaika kwa uteuzi wake leo unakuja na hili, haaa; wewe kuna tofauti gani na huyo de facto presida? Mmefaidika kwa teuzi zake leo mnasema wakati kafa; mngekataa teuzi zake kwanza.
 
Mnafiki mkubwa huyu,mchumia tumbo,mlamba Asali Kwa kuchokoa na kijiti..mbona hakukataa ubalozi angesema unanuka damu
 
👇
Screenshot_20230106-083212.jpg
 
Halina hata aibu kufungua domo lake Leo wakati wote wa Magufuli alikuwa kimyaa akiunga mkono kilakitu

Kwahiyo na Ben Saanane hakupotea Kwa sababu hakuna taarifa ya polisi inasema hakupotea?
Ndo tatizo ya akili ndogo we tuletee katazo Hilo harafu ndo uje na maneno Yako hayo machafu
 
Back
Top Bottom