Sio popo...ni mfia dini .
Wakati wa Magufuli alimuunga mkono kila kitu Hadi udikteta..
Now anapinga kila kitu hata demokrasia mradi Rais sio wa dini yake...
Umemjibu vizuri sana,huyu jamaa anajionaga yeye anajua kila kitu.Kwa lugha nyingine.ni kwamba Dkt.Slaa anamaanisha lilikuwa katazo haramu mwa mujibu wa Sheria, Kwaiyo Rais alipaswa tu amwagize Msajili wa vyama vya siasa awaandikie barua vyama vya siasa kuemdelea na shughuli za mikutano ya adhara.Ndo tatizo ya akili ndogo we tuletee katazo Hilo harafu ndo uje na maneno Yako hayo machafu
Na mke akamshindaNa mini pia ilimshinda, Padri mwenye wake wawili wapi na wapi?.
Dini ilimshinda
Ccm ilimshinda
Chadema ilimshinda
Ubalozi hana tena
Siasa imemshinda
Kwaiyo Magufuli hana mazuri aliyofanya nchi hii mpaka asisifiwe.Kwanza unawajua Madikteta vizuri,Magufuli angekuwa Dikteta hao wakina Kikwete na genge lake wangekuwepo achilia mbali wapiga dili wa siasa Mbowe na Zitto Kabwe!Sio popo...ni mfia dini .
Wakati wa Magufuli alimuunga mkono kila kitu Hadi udikteta..
Now anapinga kila kitu hata demokrasia mradi Rais sio wa dini yake...
Mambo ya dini yanakujaje hapo! Halafu we jamaa mbona akili yako ni ndogo sana? Hata comment yako ya kwanza hapo juu inaonyesha jinsi ulivyo mweupe kichwaniSio popo...ni mfia dini .
Wakati wa Magufuli alimuunga mkono kila kitu Hadi udikteta..
Now anapinga kila kitu hata demokrasia mradi Rais sio wa dini yake...
Siasa zetu ni ya yanga na simba. ni vigumu kumwelewa watu wenye akili kubwa km dr slaa.dr slaa amesema kweli km hayo mambo yakiendelea ipo siku ataamka kiongoz kichaa atafanya maamuzi ya ajabu hayajawahi kutokea.tukiacha ushabik dr kaongea point kubwa sna.Hapana elewa logic amemaanisha mabavu ya utawala usio wa kisheria wa system chini ya mwendazake! Hakuna sheria ya katazo iliyowahi kupitishwa na kisheria ilipaswa kupitishwa na Bunge!
Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.
Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.
Msikilizeni Dr hapa chini.
Maisha bila unafiki hayaendi,waliomsifia magufuli kinafki ni wengi sana ni mfumo wa maisha uliokuwa unafaa kipindi kile ili mambo yako yaende.Mnafiki sana huyu mzee.
HUyu chawa wa JPM anasemaje! Nimemchukia huyu kiazi upeo!
Haka kazee ni kachawi tu! Unafiki katika umri huo ni uchawi tu! Angalia CDM, ACT msijekaribisha huyu shetani ndumilakuwili! atawaloga wote muishe!Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.
Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.
Msikilizeni Dr hapa chini.
Kawa mjinga mjinga sana huyu jamaaWewe jamaa siku hizi unaandika pumba sana. Sasa udini wa silaa uko wapi hapo? Kasema kisheria hakukua na katazo ilikua ni ubabe wa magifuli tu. Na sasa hakuna ruhusa maana sheria haikuweka katazo lolote. Usichoelewa nini chawa wa makamba na tanesco wewe
Halina hata aibu kufungua domo lake Leo wakati wote wa Magufuli alikuwa kimyaa akiunga mkono kilakitu
Kwahiyo na Ben Saanane hakupotea Kwa sababu hakuna taarifa ya polisi inasema hakupotea?
Umeelewa ana maana gani?Huyu ni wa kumpotezea tu! πππ