Dkt. Slaa amshutumu Magufuli kwamba zuio la mikutano ya hadhara lilikuwa batili na haramu
Ninachokumbuka aliwahi kulizungumzia ili kipindi cha mwendazake alikuja likizo! aliwaambia waende Mahakaman kupinga tamko la Rais
Hilo zee limejaa chuki kifuani kama shetani.
 
Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.

Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.

Msikilizeni Dr hapa chini.

Mkuu JokaKuu , Dr Slaa is good ila kuna vitu havijui, amri ya rais hata kama amri batili, inakuwa ni sheria inaitwa silent law, na ilifuatiwa na utekelezaji.

Katiba yetu inasema sheria yoyote iliyo kinyume cha katiba ni null and void abinitio!, ila kwa mujibu wa katiba ni taasisi moja tuu ndio yenye mamlaka ya kutamka jambo fulani ni null and void. Taasisi hiyo ni Mahakama Kuu ya JMT, hakuna mtu yoyote, chama chochote au taasisi yoyote iliyofungua shauri lolote kupinga kuzuiliwa kwa mikutano ya vyama, hivyo kuzuiliwa kule kutokuwepo!.
P
 
Wengi hawajamuelewa Slaa, elimu yetu bado haijalisaidia Taifa kuzalisha wasomi wenye uwezo wa kuchanganua mambo.
Slaa yuko sahihi kabisa.
Kwanini wakati wa jpm hakuzungumza haya..
Huoni kama ni mnafki kama wanasiasa wenzake

Ova
 
Mkuu JokaKuu , Dr Slaa is good ila kuna vitu havijui, amri ya rais hata kama amri batili, inakuwa ni sheria inaitwa silent law, na ilifuatiwa na utekelezaji.

Katiba yetu inasema sheria yoyote iliyo kinyume cha katiba ni null and void abinitio!, ila kwa mujibu wa katiba ni taasisi moja tuu ndio yenye mamlaka ya kutamka jambo fulani ni null and void. Taasisi hiyo ni Mahakama Kuu ya JMT, hakuna mtu yoyote, chama chochote au taasisi yoyote iliyofungua shauri lolote kupinga kuzuiliwa kwa mikutano ya vyama, hivyo kuzuiliwa kule kutokuwepo!.
P
Kama Magufuli alikuwa sahihi katika Sheria kwanini uliuliza swali pale Ikulu.

Kwanini tenapenda kutenda dhambi kwenye sheria.
 
JIBU HOJA LAKE NA C MATUSI.MARA NYNG WENYE AKILI MGANDO BADALA YA KUJIBU HOJA WANATUKANA
Wote ndio wale wale,kuna hoja gani ya kujibu pale wakati kila mtu anajua yule bwana'ke alivyokuwa akijifanya mbabe wa kuvunja katiba halafu leo analeta ujinga.
 
Katazo lilikuwepo , katazo haramu, ndio maana tunasema Magufuli alikuwa dikteta aliyekuwa akiipuuza katiba ila Slaa anasema Magufuli hakua dikteta
Aliyeendeleza katazo haramu Kwa miaka 2, ni DICTETA pia?

Play fair basi!!!!
 
Nafurahi Kumuona DR SLAA kurudi ulingoni,

CDM na vyama vingine na CCM hayupo mwenye capacity ya kujenga HOJA na kuzitetea wa level ya Dr Slaa.

Nashauri CDM waridhiane naye na kumrudisha chamani,

Mbatia akifanikiwa kurudi chamani na kufanikiwa kumkaribisha Dr Slaa na Covid 19, wataweza kupata majimbo kadhaa.
 
Mwambieni Dr. Slaa kuwa katazo lilikuwepo, ingawa lilikuwa haramu.
 
Nchi inaendeshwa kijanjajanja tu ili siku ziende.

Bila kuweka rekodi za matukio kwa njia sahihi za kitaaluma na kisheria, ni rahisi sana mbele ya safari kwa mtu kuja na kusema "zamani ilikuwa hivi" au "zamani haikuwa hivi" na ukapata watu wengi wa kukuamini. Hili jambo naliona sana tu likifanyika na historia kugeuzwa na watu kwa matakwa yao.
 
Back
Top Bottom