Pre GE2025 Dkt. Slaa amvaa mazima Askofu Shoo amwambia "Kuwa na misimamo"

Pre GE2025 Dkt. Slaa amvaa mazima Askofu Shoo amwambia "Kuwa na misimamo"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Samia is not a Catholic.Slaa during Magufuli's term he was among those who destroyed Chadema.He must also do the repentance,he betrayed the opposition and he was rewarded the title as an ambassador.
 
Askofu Shoo kafanya vyema kukataa hila za genge la Mbowe. Ila na yeye awarudishie gari walilomhonga.
 
Dr Slaa huna watoto wakakushika kukufunga kamba, unazeeka vibaya soon utaishia kama Marehemu mzee Mrema very soon. Kunyamaza nako ni busara pia.
 
Pamoja na dosari za Dr. Shoo; ila wewe Dr. Slaa bado hujajisafisha kwa yale uliyowatendea CDM hadi ukahongwa ubalozi ...umejaa matope nyamaza.
 
Wakati hawa Panzi wanaendelea kupigana na kushikana mashati Kunguru anendelea kufaidi...
 
..Dr mihogo ...sina hamu nae yaani upinzani ulikuwa unabeba nchi halafu akaenda zake canada
 
Hana hiyo credibility, ndio maana hata Chadema kwenyewe hawamtaki. Aliwahi kuongelea Shambulio la Lissu? Kwa kuwa alikuwa anakula, atulie na wenzake wale.
Umekosa hoja.

Je anachozungumzia ni pumba au madini?
 
Back
Top Bottom