Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moderators hii siyo ya kufuta. Ni habari inatugusa wote na vizazi vyetu vijavyo!
ASKOFU SHOO TUBU NA UTASAMEHEWA
View: https://www.youtube.com/watch?v=vHYWarHQk78
Moderators hii siyo ya kufuta. Ni habari inatugusa wote na vizazi vyetu vijavyo!
ASKOFU SHOO TUBU NA UTASAMEHEWA
View: https://www.youtube.com/watch?v=vHYWarHQk78
1. Huja msikiliza vema. kasema hatukatai wawekezaji, lakini wana tija?Dr Slaa ni mdini aliyebobea udini, kila anachokizungumza ni udini.
Anachuki nzito ya udini kuliko anavyochukia kifo.
Sikiliza anavyotaja uarabu waarabu uarabu nk, ni udini udini tu kumfanya samia analeta waislamu wenzake.
Dr. shoo ndiye wa kwanza kula rushwa au rushwa walianza kula wakatoliki kwenye sakata la Escrow, rushwa alokula ya ubalazi Sweden,
Rushwa ya ngono ilomuondolea upadre,
Akafie mbele