Kwenda kwake Canada kulizuia msichukue nchi?..Dr mihogo ...sina hamu nae yaani upinzani ulikuwa unabeba nchi halafu akaenda zake canada
Hana hiyo credibility, ndio maana hata Chadema kwenyewe hawamtaki. Aliwahi kuongelea Shambulio la Lissu? Kwa kuwa alikuwa anakula, atulie na wenzake wale.
...hahaha alirudisha nyuma juhudi za kuchukua nchiKwenda kwake Canada kulizuia msichukue nchi?
Huyu mzee anamvaa Shoo yeye akiwa kama nani?Je hapa Tanzania hairuhusiwi kutamka na kusema unachokitaka?
Dah. Muite Rostam Aziz upesiModerators hii siyo ya kufuta. Ni habari inatugusa wote na vizazi vyetu vijavyo!
ASKOFU SHOO TUBU NA UTASAMEHEWA
View: https://www.youtube.com/watch?v=vHYWarHQk78
Huyo nae ni mpumbavu tuu,yeye si alokula hela wakati wa Magu akasaliti Kambi?Moderators hii siyo ya kufuta. Ni habari inatugusa wote na vizazi vyetu vijavyo!
ASKOFU SHOO TUBU NA UTASAMEHEWA
View: https://www.youtube.com/watch?v=vHYWarHQk78
Yes,Moderators hii siyo ya kufuta. Ni habari inatugusa wote na vizazi vyetu vijavyo!
ASKOFU SHOO TUBU NA UTASAMEHEWA
View: https://www.youtube.com/watch?v=vHYWarHQk78
Mzee,Yes,
Uroho wa vipande vya fedha na tamaa za kimwili, usali na unyang"anyi wa wake za watu ndicho hasa kilimfanya afukuzwe upadre ..
Na kwahivyo hapo ni kama anajisema mwenyewe tu.
si unajua tena Nyani haoni kundule π
anavyovifanya nje ya upadre ambavyo mapadre hawaruhusiwi kuvifanya ndivyo anavyofanya. unahitaji credible sources gani tena gentleman?Mzee,
Una cridible source za kwanini Dr.slaa alitoka upadre ??!
Au unaweka mahaba na chuki binafsi na wapinzani?!