Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipandishe hapa tusikilize woteKwenye mjadala I think wa clubhouse
Upande anaouna sahihi eh? Mamae_zakeHii inchi bana, Yani mtu kuchagua upande anao ona Sahihi eti ni msaliti!!
Walichobakiza ni kutegemea police na wakata viuno.CCM akili zimeisha
Safi sana, akaungane na watuhumiwa wenzake wa uhaini.Hii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika zinadai Kwamba Balozi Dkt. Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika, anasafirishwa Usiku huu kuelekea Mbeya, kwa lengo la kuunganishwa na 'wahaini' wenzake ili wafikishwe Mahakamani .
Utetezi wake wa Mali za Tanganyika umempa kesi ya Uhaini .
----
Update
Wakili wa Dkt. Slaa amtafuta
Baada ya kutokea kwa tetesi za Dkt. Slaa kusafirishwa na kuhamishiwa Mbeya JamiiForums imewasiliana na Wakili wake Dikson Matata ili kupata taarifa hii ambaye naye amesema:
Hizi tetesi zinaweza kuwa kweli kwasababu:
1. Walienda Oysterbay hawajamkuta, Mkuu wa kituo akawaambia amepelekwa Mbweni.
2. Wameenda Mbweni pia hawajamkuta.
Aidha, alipoulizwa kuhusu hatua gani itafuata baada ya kutopatikana kwa Dkt. Slaa Wakili Matata amesema:
Wakishindwa kukupa ushirikiano unaenda mahakamani kufungua maombi ya kulazimisha aletwe mahakamani na polisi (habeas corpus)
Ni maombi ambayo mahakama inalazimisha jeshi la polisi kumleta mtuhumiwa mahakamani ili awe dealt with kwa mujibu wa sheria.
Anaetujana atashikwa tu.Kwan vp wasanii nao wanaachwa mana nao daaah! Wanamtukana sana mama
Polisi kazi yao ni kukamata tu, DPP ataamuwa kama wana kesi ya kufikishwa mahakamani au hapana. Mahakama itaamuwa kama ni wahaini kweli au la.Walichobakiza ni kutegemea police na wakata viuno.
Alichokitamka kuhusu kuipindua serikali hukusikia?Huo ndio Uhaini ?
MTANYOOKA TU WACHA WAHUNI WAKACHANGANYWE NA WAHUNI WENZIE HUKO MBEYA WASAIDIANE KUBEBA MTONDOOCCM akili zimeisha
Samia siyo Magufuli alyewasamehe kina Nape na kundi lake la kina Mzee kinana! Kina Dr Slaha ndiyo by by hiyo!! "Ukinizingua,tunazinguwana" by Samia!! ndiyo maana yake hiyo!!Unaweza weka ushahidi wa hili hapa jukwaani?
Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaogaHii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika zinadai Kwamba Balozi Dkt. Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika, anasafirishwa Usiku huu kuelekea Mbeya, kwa lengo la kuunganishwa na 'wahaini' wenzake ili wafikishwe Mahakamani .
Utetezi wake wa Mali za Tanganyika umempa kesi ya Uhaini .
----
Update
Wakili wa Dkt. Slaa amtafuta
Baada ya kutokea kwa tetesi za Dkt. Slaa kusafirishwa na kuhamishiwa Mbeya JamiiForums imewasiliana na Wakili wake Dikson Matata ili kupata taarifa hii ambaye naye amesema:
Hizi tetesi zinaweza kuwa kweli kwasababu:
1. Walienda Oysterbay hawajamkuta, Mkuu wa kituo akawaambia amepelekwa Mbweni.
2. Wameenda Mbweni pia hawajamkuta.
Aidha, alipoulizwa kuhusu hatua gani itafuata baada ya kutopatikana kwa Dkt. Slaa Wakili Matata amesema:
Wakishindwa kukupa ushirikiano unaenda mahakamani kufungua maombi ya kulazimisha aletwe mahakamani na polisi (habeas corpus)
Ni maombi ambayo mahakama inalazimisha jeshi la polisi kumleta mtuhumiwa mahakamani ili awe dealt with kwa mujibu wa sheria.
Mdomo uliponza vingiSi alisema Rais apinduliwe. Mwache akajue maana ya maneno aliyoyasema kisheria
Hiyo misingi alioiacha huyo baba wa taifa ndio hiyo hiyo anayoifata huyo Raisi aliepo Mamlaka Makubwa ya Raisi na kumpa kinga ya kutoshitakiwa ni matokea ya Katika aliotuachia huyo baba wa taifa katiba tunayo tumia ni ile ile toka enzi za nyerere au wewe hufahamuRais Samia rais aliyefanikiwa kugawanya Tanzania kwa misingi ya UDINI akishirikiana na waarabu. Rais aliyefanikiwa kuporomosha misingi yote aliyoiacha baba wa taifa. Laana imtafune
Nakazia hapo kwa police! Police anakamata na kupeleleza shauri lote pamoja na kukusanya ushahidi wote wa shauri,na Kisha hupeleka taarifa zake zote kwa DPP, na DPP akiwa Kama Wakili wa Jamuhuri atapitiaa kazi yote ya uchunguzi uliofanywa na police,na akiona Kama upelelezi una mashiko Jalada linapelekwa Mahakamani kwa Mashitaka tayari!!Polisi kazi yao ni kukamata tu, DPP ataamuwa kama wana kesi ya kufikishwa mahakamani au hapana. Mahakama itaamuwa kama ni wahaini kweli au la.
Sisi kwa sasa tusubiri shria zifate mkondo wake.
Maisha ya Wilbroad Slaa kisiasa na kiuzalendo yalifika Kikomo pale ambapo aliwakana wapinzani wenzake enzi za Rais John Magufuli na kukimbilia mkate wa kuwa balozi huko Canada.Hii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika zinadai Kwamba Balozi Dkt. Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika, anasafirishwa Usiku huu kuelekea Mbeya, kwa lengo la kuunganishwa na 'wahaini' wenzake ili wafikishwe Mahakamani .
Utetezi wake wa Mali za Tanganyika umempa kesi ya Uhaini .
----
Update
Wakili wa Dkt. Slaa amtafuta
Baada ya kutokea kwa tetesi za Dkt. Slaa kusafirishwa na kuhamishiwa Mbeya JamiiForums imewasiliana na Wakili wake Dikson Matata ili kupata taarifa hii ambaye naye amesema:
Hizi tetesi zinaweza kuwa kweli kwasababu:
1. Walienda Oysterbay hawajamkuta, Mkuu wa kituo akawaambia amepelekwa Mbweni.
2. Wameenda Mbweni pia hawajamkuta.
Aidha, alipoulizwa kuhusu hatua gani itafuata baada ya kutopatikana kwa Dkt. Slaa Wakili Matata amesema:
Wakishindwa kukupa ushirikiano unaenda mahakamani kufungua maombi ya kulazimisha aletwe mahakamani na polisi (habeas corpus)
Ni maombi ambayo mahakama inalazimisha jeshi la polisi kumleta mtuhumiwa mahakamani ili awe dealt with kwa mujibu wa sheria.
Watu wamekwenda mahakamani kuulizia uhalali wa huo mkataba wa bandari Mahkama ishajibu sasa hoja gani tena?Sasa hapa ndio hoja zimejibiwa za DP world?
Sasa hiyo sii ndio Mikataba yenu kwani Mkataba wa Muungano una ukomo?Majibu ya mtu mjinga!
Mkataba hauna ukomo halafu unaleta hoja ya kipuuzi!
CCM kumejaa mazuzu sana!