Dkt. Slaa arudishwa kituo cha Polisi Oysterbay kutoka Mbeya. Wakili wake aambiwa akashughulikie dhamana

Sweka ndani .
 
Next ni IGP, RPC wilaya ya kipolisi Dar, RPC Mbeya, RC Mbeya, Mkurugenzi Tishi, waziri wa katiba na sheria, waziri wa mambo ya ndani, waziri wa habari wanakwenda na maji, mama huwa hatanii
We ni nani labda ?
 
Ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi.....Ya Nini kumkamata kisha nenda rudi nenda rudi bila hata kosa la maana.
 
Sasa hizi gharama za kupelekwa na kurudishwa, posho si wangefanyia vitu vya maana kwa wananchi
 
Dikteta wa makunduchi anaiharibu sana nchi yetu.unabambikiza watu kesi kwa kuwa wanapigania haki yao?sijawahi kuona nchi ambayo uvunjifu wa haki ni mkubwa kama Tanganyika
Tusipoamka tutaendelea kunyanyasika kwenye ardhi yetu wenyewe.
 
Eeh hivi Uhaini una dhamana [emoji16]

Hii nchi kukurupuka kwingi sana
 
Hizi pilikapilika zote ni kuwanyamazisha waongeaji...
 
Kumtishia tu mtu kifo kwa maneno inakuwa tayari ni kesi ya mauaji!
 
Well done

Uonevu umeshindwa

Waziri wa habari, waziri wa mambo ya ndani, IGP, DPP, RPC Mbeya, RCO Mbeya, RC Mbeya, hawa lazima wapitiwe na fagio la chuma ndio chanzo cha kuleta taharuki hii hawana weledi na hawafai kuwepo ofisini kwa kulipwa kodi za wananchi wanaowanyanyasa na kubambikia kesi kwa maslahi yao binafsi.
 
Aambiwa akashughulikie Dhamana??

Apedomiaaaa!!!πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Wataachia tu. Huwezi kumfunga Mtu wa Mungu kwa makosa ambayo hajatenda Labda Mungu asiwe huyu wa kweli wa Israel.
 

Mshauri mteja wako aaache siasa za chuki
Hasa udini
 
Pesa za usafiri mafuta na gari za kukodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…