TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Harufu ya kunguni imeonekana kuwarudia zaidi nyie ndio mana mmechanganyokiwa hajui mfanyeje na muda unakwenda IGA inaexpire October 😁😁😁😁Kama unasaga kunguni halafu harufu inakurudia mwenyewe, saga tu, ila Bandari lazima itabinafsishwa tu!
Tungeona unafiki wa utawala huu wa saa100 na waziri wake wa habari wanaojinasibu eti wanajali haki za binadamu na uhuru wa habari huku wanamfungulia mzee Slaa kesi ya uhaini bandia. Ingekua aibu tupu kwa upande wao. Hata huo uchochezi hakuna kesi hapo. Ukweli wamebaki kutega masikio yao kama popo kusikiliza wanachosema wale wenye kupinga mkataba wa kuipa dubai umiliki wa bandari zetu kama himaya yao ili kkuweza kuwatupa lupango.Mpendwa Baba Askofu Mwamakula!
Jana baada ya ku-file maombi ya kulitaka jeshi la Polisi kuwapeleka Dr. Slaa na wenzake mahakamani ambapo leo tungepangiwa jaji atakayesikiliza maombi yetu na kupewa wito wa mahakama (Summons) ili kuwaita wajibu maombi yetu .
Mimi nilisafiri kurudi Dar kwa ndege na kufika majira ya saa tano usiku.Hivyo kazi ya kufatilia tararibu nilizoeleza hapo juu nilimwachia wakili Jebra Kambore akishiikiana na Chengula na wenzake.
Muda huu nimepigiwa simu na uongozi wa Polisi Oysterbay -Dar es Salaam wakinijulisha kuwa Dr. Willibrod Peter Slaa wamemtoa Mbeya usiku na wako naye kituoni hapo. Hivyo nifike kwa ajili ya kufanya utaratibu wa dhamana yake.
Wakili Dickson Matata
18/8/2023 saa 10:07 Asubuhi
Pia soma
- Dkt. Slaa anadaiwa kusafirishwa Usiku huu (August 14, 2023) kuelekea Mbeya
Kuna kauli yoyote ya Serikali kwamba wanapitia upya Mkataba wa Bandari? Kwa taarifa yako, baada ya Bunge kuupitisha Mkataba wa Bandari, Sasa hivi taratibu zingine zinaendelea kama kawaida. Kumbuka, kelele za chura hazimzuii tembo kunywa Maji!Harufu ya kunguni imeonekana kuwarudia zaidi nyie ndio mana mmechanganyokiwa hajui mfanyeje na muda unakwenda IGA inaexpire October 😁😁😁😁
Mnarukaruka mara mseme mnataka kupinduliwa ni aibu kwa serikali yenye jeshi kulialia kwenye vyombo vya habari kwamba mnataka kupinduliwa
Gharama tu za kumkamata unajenga shulePesa za usafiri mafuta na gari za kukodi
Yesu!?Wataachia tu. Huwezi kumfunga Mtu wa Mungu kwa makosa ambayo hajatenda Labda Mungu asiwe huyu wa kweli wa Israel.
Mtu kanyea debe takribani wiki Sasa,pengine moyo na sukari vimeleta shida wameamua kumuachia,umri ule kupekuliwa makalio na vijana na kulala kwenye zege ni mateso toshaWajaribu waone kwa Katibu mstaafu wa TEC 😁watajua idadi ya mzunguko wa Dunia
Halafu watu kama hao hawataki kutukanwa tunalazimishwa kuwaheshimu.Ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi.....Ya Nini kumkamata kisha nenda rudi nenda rudi bila hata kosa la maana.
Umenikumbusha mieleka ya akina John Cena. "DONT TRY THIS AT HOME"Acha kabisa ....hii kitu Weka mbali na watoto
Jeiwii wamemtia madole ya nchonyoni mpaka ametia adabu sasa yupo upande wa watesi wake Ng'ombe hiyo.Mkuu Swala la Gesi haitoki Mtwara mmeshalimaliza?
Jeiwii wamemtia madole ya nchonyoni mpaka ametia adabu sasa yupo upande wa watesi wake Ng'ombe hiyo.
Kahitimisha kazi yake iliyompeleka Mbeya.
Once a system always a system - Courtesy Zomba.
Hii nchi inahitaji reforms kila eneoMpendwa Baba Askofu Mwamakula!