Dkt. Slaa: CHADEMA walimteka mtu wao, wakamtesa, wakamtupa, mimi nikajua watekaji ni Usalama wa Taifa

Kwenye equation inapowekwa pesa basi na baadhi ya maamuzi yanakua influenced na pesa.
 
Mataga utaachaje kuona mtu anayejitutuma kuitetetea legacy ya jiwe kwa kuipopoa Chadema anaishi kwa principles
Principles,my foot.
Huyu mzee nitamtetea maeneo mengi bila kupepesa. Anaishi kwa principles kitu ambacho wanasiasa wetu wengi hawana. Hata umchukie vipi, facts zake hazibadilishwi kipropaganda.
 
Zinapitia taarifa ya CAG ili kulishauri Bunge kuhusu hatua za kuchukua kuhusiana na taarifa ya CAG. Wao sio auditors. Sio kazi yao kudai risiti kutoka kwa waliokaguliwa.

Amandla...
Kamati zile huwa zinaenda kuonana na walengwa na kudai kilichokoswkana na kama kipo wanasawazisha mambo sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasisitiza katika vyama vya hovyo na vyenye wafuasi wenye IQ ndogo nchi hii, ni chadema.
 
Reactions: nao
Basi itakuwa ni KWELI.
kama viongozi wa chadema hawatotoka kuelezea hili Jambo SLA atakuwa mkweli.
Kuna madai been saa 8 alipotezwa na mwenyekiti Sasa wakikaa kimya HAIJENGI PICHA NZURI
Sasa Slaa si ndiye anayejua!! Kwanini asiitwe akahojiwa?
 
Kawaulize Polisi wewe mfuasi wa Jiwe, hao ndio wana mamlaka na nyenzo za uchunguzi.
HOJA UPINGWA KWA HOJA SIO MATUSI WALA KEJELI.
Nani alimteka na kumtesa Joseph?
Hilo lisipite hivi hivi
 
Tena ushahidi aupelekee chombo husika, ampeleke Yule red brigade aliyeshiriki kumuumiza mwenyekiti wake!

Anatafuta Kiki! Uraisi asahau hawezi kuupata! Hajawahi kuwa na msimamo yupo yupo tu anaruka ruka kama bisi kwenye mafuta ya Moto!
Ushahidi uko wapi hapo?
 
Rudi huko zamani
Hakika aende huko zamani, huku kwenye usasa mpaka credibility ya mtoa hizo hoja Tunaangalia, personal interests tutaziangalia pia!

Slaa, anatafuta jambo! Ili azungumzike tena Kwa watanzania, bahati mbaya, njia anayopitia ilishapitwa na wakati!
 
Kuna msemo"Siasa ziweke kwenye mapafu usiziweke moyoni" maana kwenye mapafu kama huzitaki unapumua tu zinatoka,moyoni zitakuua kwa presha
 
Umenena vyema. Mimi huwa nafuatilia chambuzi za Zitto, huwa zinatufungua macho. Pia Zitto hufanya uchambuzi wake baada ya ripoti kuingia Bungeni na CAG kuziweka hadharani kwa mujibu wa sheria. Sasa Dr Slaa anasema CAG ameingia kwenye details za ripoti, hapa sijui Dr hafahamu kwamba hizo ripoti zipo kwenye mitandao? Alitaka CAG awafiche wananchi wasijue nini kipo kwenye ripoti kwa kuandika ripoti ambazo hazina details?

Nimesikiliza chambuzi mbalimbali na kusoma ripoti za CAG kwenye mtandao; hadi sasa ninesoma ripoti tatu na sijaona mahala popote CAG amemtaja JPM, nimefanya search kwenye ripoti kuona kama kuna jina Pombe ama Magufuli sijaona. Hivyo kama unavyosema kuna watu wanatumia jina la JPM kutaka kukwepa sheria.
 
Huyu padre aliyekana kiapo chake na kumnyang'anya Mahimbo mke wake siyo wa kumuamini kabisa. Na sasa kakimbiwa na yule mchumba ndiyo amekuwa mropokaji tu kama Cyprian Musiba vile apuuzwe tu amejiunga na Sukuma Gang .
Alinyang’anya naye kanyang’anywa; watoto wa town wanasema ngoma draw!!!
 
Wewe unaamini hiyo propaganda?
Mtu akiingia sisiemu anageuka hamnazo!!!
 
Alikuwa sehemu ya uhuni kama wahuni wenzake!

Je, aliripoti wapi!?
Alikaa kimya akichumia tumbo lake!
Shame. Huyu ndiyo angekuwa eti raisi!
mzee alikua hafai kua rais nadhani aliharibiwa na mshumbusi ndo maana ikawa bora lowasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…