Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mzee nitamtetea maeneo mengi bila kupepesa. Anaishi kwa principles kitu ambacho wanasiasa wetu wengi hawana. Hata umchukie vipi, facts zake hazibadilishwi kipropaganda.
Kamati zile huwa zinaenda kuonana na walengwa na kudai kilichokoswkana na kama kipo wanasawazisha mambo sio?Zinapitia taarifa ya CAG ili kulishauri Bunge kuhusu hatua za kuchukua kuhusiana na taarifa ya CAG. Wao sio auditors. Sio kazi yao kudai risiti kutoka kwa waliokaguliwa.
Amandla...
Tungeanzia hapa kwanza.
Sasa Slaa si ndiye anayejua!! Kwanini asiitwe akahojiwa?
HOJA UPINGWA KWA HOJA SIO MATUSI WALA KEJELI.
Nani alimteka na kumtesa Joseph?
Hilo lisipite hivi hivi
Ushahidi uko wapi hapo?
Hakika aende huko zamani, huku kwenye usasa mpaka credibility ya mtoa hizo hoja Tunaangalia, personal interests tutaziangalia pia!Rudi huko zamani
Co laana tu huyu ni mfuasi wa yule kubwa la maadui
Umenena vyema. Mimi huwa nafuatilia chambuzi za Zitto, huwa zinatufungua macho. Pia Zitto hufanya uchambuzi wake baada ya ripoti kuingia Bungeni na CAG kuziweka hadharani kwa mujibu wa sheria. Sasa Dr Slaa anasema CAG ameingia kwenye details za ripoti, hapa sijui Dr hafahamu kwamba hizo ripoti zipo kwenye mitandao? Alitaka CAG awafiche wananchi wasijue nini kipo kwenye ripoti kwa kuandika ripoti ambazo hazina details?Ni Mdini Mimi sio mwanasiasa. Na hua najua kabisa hata maofisini Kuna watu ni wadini. Hata akiingia mtu amevaa kanzu anamchukia bila sababu. Ni aina ya Slaa. Kuna wakati watu walikua wanachukiwa TU Kwa kufuga ndevu. Lakini tunamshukuru Mungu Sasa kufuga ndevu imekua fashion Kwa watu wote Duniani isipokua tu Wachima mana wengi hata ndevu hawana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Slaa kamwe hawezi kumsifia Kiongozi asiye wa dini yake.ndiyo hulka aliyo nayo. Ni watu wanaoamini kuwa uongozi unatokana dini yake bila kujua kuwa uongozi ni kipaji.
Hivi unaamini kabisa kuwa Zito anakosea kuchambua ripoti ya CAG.?
Hivi huoni kuwa Kuna rushwa kubwa sana inatolewa na wale waliokuwa kwenye serikali ya awamu ya 5 ili wasije wakachunguzwa ?
Wanamtumia Marehemu Rais aliyepita kama chambo Cha kutafuta huruma.
Serikali ya Awamu ya Tano ilikua na watendaji ambao mpaka Sasa wapo Sasa Kwa Nini wasichunguzwe kama walioiba au hawakuiba. Magufuli hakuwa anatoa VISA , Magufuli hakuwa anafanya kazi BENKI KUU, MAGUFULI HAKUWA ANAJEMGA BARANARA. Magufu hakuwa anafanya kazi bandarini. Sasa Kwa Nini wanapoteza mada Kwa kusema kuwa hatukubali Magufuli achafuliwe. Waliomchafua ni wale aliowaamini na kiwapa nafasi wakafanya ufisadi. Hawa wajiandae TU kuwajibika sio kujifanya wanalinda legacy ya MAGUFULI huku wakiwa wamefuja Mali za umma.
Mtamuita msaliti lakini ukweli ndo huo!Nani atamuamini Tena msaliti?
Alinyang’anya naye kanyang’anywa; watoto wa town wanasema ngoma draw!!!Huyu padre aliyekana kiapo chake na kumnyang'anya Mahimbo mke wake siyo wa kumuamini kabisa. Na sasa kakimbiwa na yule mchumba ndiyo amekuwa mropokaji tu kama Cyprian Musiba vile apuuzwe tu amejiunga na Sukuma Gang .
Wewe unaamini hiyo propaganda?HEBU TUJADILI HII STATEMENT YA @drslaa
[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
SIZUNGUMZII SUALA LA LISSU KUPIGWA RISASI SABABU UTEKAJI ULIKUWEPOA CHADEMA
“Kuna watu wananiuliza kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi, kuwa sipendi kulizungumzia hilo kwa kuwa sita taarifa zake za uhakika.
“Nitoe mfano iliwahi kutokea huko nyuma nikiwa Katibu Mkuu CHADEMA, nililetewa taarifa za mtu wangu anaitwa Joseph, huyu alikuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Temeke, alitekwa saa sita usiku. Kesho yake saa sita mchana nikahitisha mkutano na waandishi wa habari nikaisema sana Serikali na Usalama wa Taifa.
“Saa nane mchana siku hiyohiyo Joseph akapatikana, alikutwa ametupwa maeneo ya Ununio ameumia sana usoni.
“Mwezi mmoja baadaye kijana wangu wa Red Brigade anakuja kwangu kuniambia yeye ndiye aliongoza kukosi cha kwenda kumteka nyara huyo mwenyekiti huyo.
“Nikauliza kwa nini hakuja kwangu akasema ‘wapo viongozi wanaojua’, nikaamua kunyamaza, ndiyo maana ninapoulizwa suala la Lissu ninasema hapana, CHADEMA kwanza wajiangalie wao ndani.
“Huyo kijana (Joseph) walivyomtupa ufukweni walijua amekufa, kumbe alikuwa hajafa labda upepo ulimpiga akaamka. Miaka kadhaa baadaye tukaanza kusikia watu wanaokotwa wamekufa ufukweni, unadhani inatoa pcha gani!
“Ukiwa kiongozi lazima uwe kunasema ukweli hata kama unaona watu wako wanakosea.
Asa hapo Kuna ukweli gani kauongea?Mtamuita msaliti lakini ukweli ndo huo!
mzee alikua hafai kua rais nadhani aliharibiwa na mshumbusi ndo maana ikawa bora lowasaAlikuwa sehemu ya uhuni kama wahuni wenzake!
Je, aliripoti wapi!?
Alikaa kimya akichumia tumbo lake!
Shame. Huyu ndiyo angekuwa eti raisi!
Kama watekaji hawajulikani! Kwanini tusiwe na mashaka kwamba wenyewe kwa wenyewe wanaweza kutekana na kupigana risasi!Asa hapo Kuna ukweli gani kauongea?
Kitu kizuri mzee ana misimamo....Co laana tu huyu ni mfuasi wa yule kubwa la maadui
Mzee ameshastaafu. Anataka nn Tena mbona daily mahojiano tu[emoji28]Mama Muangalie huyu mzee. Hata ubalozi wa Ukraine ni bora.
Wandugu kushindia Mihogo sio kazi ndogo