Dkt. Slaa: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ni 'mjinga fulani'

Ha ha ha !
Pimbi kanunua kesi
 
Huyu mzee sasa anachanganyikiwa au anatafuta kiki kwa nguvu.

Hivi yule demu wake aliyemgonga Mwanza mpaka akamvinja mkono bado anae, mashumbusi sijuwi, sikumbuki vizuri jina lake.
Aisee?! Umefikia huku wewe hajat? Kweli una maslahi mapana na awamu ya sita.
 
Chalamila kwa taaluma ni wale watani zake Mpwayungu.

Labda wale waliosoma Mwakavuta Sec-Makete miaka ya 2000 watuambie!

Kama hakufundisha Civics basi ni History au Kiswahili.
 

Mbowe atamsaidia!
Naona slaa anaanza kujitengenezea umaarufu upya sasa anataka kumfunika lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…