Dkt. Slaa: Nitaendelea kusema ninachoamini, asema hajutii kuondolewa hadhi ya balozi

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Dkt. Slaa ameongea na mwananchi baada kuondolewa hadhi ya ubalozi, Slaa amesema taarifa hizo nae ameziona kwenye mtandao lakini hajutii chochote na nchi alizotumikia wanajua walikuwa na balozi wa aina gani.

Amesema alipewa ubalozi na sasa wamechukua, hawezi kuhoji lolote. Alipoulizwa na mwandishi endapo kuondolewa ubalozi kama umehusiana na ukosoaji kwenye mkataba wa bandari, Dkt. Slaa amesema anajitambua na ataendelea kusema kweli na kufanya kazi zake kwa mujibu wa sheria.

Habari zaidi, soma:
  1. Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi
  2. Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

slaa-na-magufuli.jpg
 
Dkt. Slaa ameongea na mwananchi baada kuondolewa hadhi ya ubalozi, Slaa amesema taarifa hizo nae ameziona kwenye mtandao lakini hajutii chochote na nchi alizotumikia wanajua walikuwa na balozi wa aina gani.

Amesema alipewa ubalozi na sasa wamechukua, hawezi kuhoji lolote. Alipoulizwa na mwandishi endapo kuondolewa ubalozi kama umehusiana na ukosoaji kwenye mkataba wa bandari, Dkt. Slaa amesema anajitambua na ataendelea kusema kweli na kufanya kazi zake kwa mujibu wa sheria.
Mungu mwema sana....muda ni mwalim mzuri acha nisimalize maneno...ila bandari ....haiuzwi
 
Unapomuondolea cheo yule anayepigania maslahi ya watanganyika na vizazi vyao, unajionesha kwetu vile ulivyo katili, usiyewathamini wale unaowaongoza, na mbinafsi unayewajali zaidi wageni, kiongozi usiyetufaa, uliyepoteza muelekeo, usiyejitambua, na uliyejikatia tamaa.

Huwezi kupigana vita na watanganyika ukashinda, huko ni kujidanganya kabisa.
 
Ila Mama Abdul ameji expose sana kwa watu wenye akili timamu...ni mtu wa visasi sana & mnafki, tukumbuke pia yalianzia kwa Ndugai.
Ye anataka kusifiwa tu hata pale anapoboronga...ndio maana wahuni wamejua mapungufu yake wanamsifia kijinga anawapa vyeo kama asante.
Jinga kabisa!.
 
Kweli kabisa huyu mama kwa sasa amepoteza Dira kabisa.
Na sasa Lushoto wamemtumia message!
 
Unafiki sio kitu kizuri.
Mzee slaa aliwasaliti CHADEMA mbele ya JPM kwajili ya tumbo lake, leo hii tena wapo pamoja kwenye jukwaa la kisiasa.
Mbowe na Lema wanapaswa kujitafakari sana, sio kwamba wanachadema wamesahau ila ...

Kwenye siasa hakuna adui au rafiki wa kudumu...

Hata CCM wapo watu kibao ambao nyuma walishawahi kuondoka CCM kwa mbwembwe na sasa wapo CCM wakiwa na vyeo au hadhi kubwa tu...
 
Dkt. Slaa ameongea na mwananchi baada kuondolewa hadhi ya ubalozi, Slaa amesema taarifa hizo nae ameziona kwenye mtandao lakini hajutii chochote na nchi alizotumikia wanajua walikuwa na balozi wa aina gani.

Amesema alipewa ubalozi na sasa wamechukua, hawezi kuhoji lolote. Alipoulizwa na mwandishi endapo kuondolewa ubalozi kama umehusiana na ukosoaji kwenye mkataba wa bandari, Dkt. Slaa amesema anajitambua na ataendelea kusema kweli na kufanya kazi zake kwa mujibu wa sheria.

Pia, Soma => Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Saa Mia hana son ya aibu ,huo ni udiktata wa hali ya juu
 
Kwani una malipo?akabidhi tu passport .
 
Unapomuondolea cheo yule anayepigania maslahi ya watanganyika na vizazi vyao, unajionesha kwetu vile ulivyo katili, usiyewathamini wale unaowaongoza, na mbinafsi unayewajali zaidi wageni, kiongozi usiyetufaa, uliyepoteza muelekeo, usiyejitambua, na uliyejikatia tamaa.

Huwezi kupigana vita na watanganyika ukashinda, huko ni kujidanganya kabisa.
Unakuta ni kikwete na nape ndo wameshauri hiilo na alovyobogas na yeye akafanya
 
Ila Mama Abdul ameji expose sana kwa watu wenye akili timamu...ni mtu wa visasi sana & mnafki, tukumbuke pia yalianzia kwa Ndugai.
Ye anataka kusifiwa tu hata pale anapoboronga...ndio maana wahuni wamejua mapungufu yake wanamsifia kijinga anawapa vyeo kama asante.
Jinga kabisa!.
Kuna msemo wa kale kuwa mchawi mwanamke ni mbaya maradufu kuliko mchawi mwanaume.
 
Unafiki sio kitu kizuri.
Mzee slaa aliwasaliti CHADEMA mbele ya JPM kwajili ya tumbo lake, leo hii tena wapo pamoja kwenye jukwaa la kisiasa.
Mbowe na Lema wanapaswa kujitafakari sana, sio kwamba wanachadema wamesahau ila ...
Siasa zipo hivyo, hakuna adui wala rafiki wa kudumu ila maslahi tu.
 
Back
Top Bottom