Dkt. Slaa: Nitaendelea kusema ninachoamini, asema hajutii kuondolewa hadhi ya balozi

Ila Mama Abdul ameji expose sana kwa watu wenye akili timamu...ni mtu wa visasi sana & mnafki, tukumbuke pia yalianzia kwa Ndugai.
Ye anataka kusifiwa tu hata pale anapoboronga...ndio maana wahuni wamejua mapungufu yake wanamsifia kijinga anawapa vyeo kama asante.
Jinga kabisa!.
Akisifia unakwaa uteuzi ,kitila mkumbo, Jerry slaa
 
Dkt. Slaa ameongea na mwananchi baada kuondolewa hadhi ya ubalozi, Slaa amesema taarifa hizo nae ameziona kwenye mtandao lakini hajutii chochote na nchi alizotumikia wanajua walikuwa na balozi wa aina gani.

Amesema alipewa ubalozi na sasa wamechukua, hawezi kuhoji lolote. Alipoulizwa na mwandishi endapo kuondolewa ubalozi kama umehusiana na ukosoaji kwenye mkataba wa bandari, Dkt. Slaa amesema anajitambua na ataendelea kusema kweli na kufanya kazi zake kwa mujibu wa sheria.

Pia, Soma => Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Tunajuwa kabisa DR Slaa ataendelea kuongea na kuokosoa kadri ya matakwa ya wanaompa hela.

Slaa ni sawa na malaya wa Bar ya Kimboka pale Buguruni, hutoka na mwanaume yeyote atakaye mpa hela.

Kesho CCM wakimpa hela atawafagilia pia
 
Unapomuondolea cheo yule anayepigania maslahi ya watanganyika na vizazi vyao, unajionesha kwetu vile ulivyo katili, usiyewathamini wale unaowaongoza, na mbinafsi unayewajali zaidi wageni, kiongozi usiyetufaa, uliyepoteza muelekeo, usiyejitambua, na uliyejikatia tamaa.

Huwezi kupigana vita na watanganyika ukashinda, huko ni kujidanganya kabisa.
Anaweza akashinda Kwa namna watanganyika walivyo mabwege.
Matanganyika sio kama wazanzibar wenzetu walio wengi wanajitambua
 
Dkt. Slaa ameongea na mwananchi baada kuondolewa hadhi ya ubalozi, Slaa amesema taarifa hizo nae ameziona kwenye mtandao lakini hajutii chochote na nchi alizotumikia wanajua walikuwa na balozi wa aina gani.

Amesema alipewa ubalozi na sasa wamechukua, hawezi kuhoji lolote. Alipoulizwa na mwandishi endapo kuondolewa ubalozi kama umehusiana na ukosoaji kwenye mkataba wa bandari, Dkt. Slaa amesema anajitambua na ataendelea kusema kweli na kufanya kazi zake kwa mujibu wa sheria.

Pia, Soma => Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Unapomuondolea cheo yule anayepigania maslahi ya watanganyika na vizazi vyao, unajionesha kwetu vile ulivyo katili, usiyewathamini wale unaowaongoza, na mbinafsi unayewajali zaidi wageni, kiongozi usiyetufaa, uliyepoteza muelekeo, usiyejitambua, na uliyejikatia tamaa.

Huwezi kupigana vita na watanganyika ukashinda, huko ni kujidanganya kabisa.
Tanganyika ilipigana vita na Wajerumani, hizi habari za vita leo zinatoka wapi? Isitoshe Tanganyika ili cease ku exist mwaka 1964. Come on to your senses dude
 
Dkt. Slaa ameongea na mwananchi baada kuondolewa hadhi ya ubalozi, Slaa amesema taarifa hizo nae ameziona kwenye mtandao lakini hajutii chochote na nchi alizotumikia wanajua walikuwa na balozi wa aina gani.

Amesema alipewa ubalozi na sasa wamechukua, hawezi kuhoji lolote. Alipoulizwa na mwandishi endapo kuondolewa ubalozi kama umehusiana na ukosoaji kwenye mkataba wa bandari, Dkt. Slaa amesema anajitambua na ataendelea kusema kweli na kufanya kazi zake kwa mujibu wa sheria.

Pia, Soma => Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Serikali ilitoa na sasa imetwaa.
 
Unapomuondolea cheo yule anayepigania maslahi ya watanganyika na vizazi vyao, unajionesha kwetu vile ulivyo katili, usiyewathamini wale unaowaongoza, na mbinafsi unayewajali zaidi wageni, kiongozi usiyetufaa, uliyepoteza muelekeo, usiyejitambua, na uliyejikatia tamaa.

Huwezi kupigana vita na watanganyika ukashinda, huko ni kujidanganya kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unapomuondolea cheo yule anayepigania maslahi ya watanganyika na vizazi vyao, unajionesha kwetu vile ulivyo katili, usiyewathamini wale unaowaongoza, na mbinafsi unayewajali zaidi wageni, kiongozi usiyetufaa, uliyepoteza muelekeo, usiyejitambua, na uliyejikatia tamaa.

Huwezi kupigana vita na watanganyika ukashinda, huko ni kujidanganya kabisa.
Mama Abdul anazeeka vibaya
 
Unafiki sio kitu kizuri.
Mzee slaa aliwasaliti CHADEMA mbele ya JPM kwajili ya tumbo lake, leo hii tena wapo pamoja kwenye jukwaa la kisiasa.
Mbowe na Lema wanapaswa kujitafakari sana, sio kwamba wanachadema wamesahau ila ...
Mkuu Slaa yupo solo kwenye harakati zake za kupinga ufisadi hajawahi kutumia jukwaa la Chadema ila Chadema hawana kisasi naye kwani wote wanajenga nyumba moja.
 
H
Unafiki sio kitu kizuri.
Mzee slaa aliwasaliti CHADEMA mbele ya JPM kwajili ya tumbo lake, leo hii tena wapo pamoja kwenye jukwaa la kisiasa.
Mbowe na Lema wanapaswa kujitafakari sana, sio kwamba wanachadema wamesahau ila ...kwenye siasa hakuna rafiki na adui wa kudumu!
 
Dkt. Slaa ameongea na mwananchi baada kuondolewa hadhi ya ubalozi, Slaa amesema taarifa hizo nae ameziona kwenye mtandao lakini hajutii chochote na nchi alizotumikia wanajua walikuwa na balozi wa aina gani.

Amesema alipewa ubalozi na sasa wamechukua, hawezi kuhoji lolote. Alipoulizwa na mwandishi endapo kuondolewa ubalozi kama umehusiana na ukosoaji kwenye mkataba wa bandari, Dkt. Slaa amesema anajitambua na ataendelea kusema kweli na kufanya kazi zake kwa mujibu wa sheria.

Pia, Soma => Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Lakini kama tukiwa wakweli wa moyo.. Dr. Slaa pamoja na mazuri yake ya sasa kwenye hii ishu ya bandari zetu na DPW.. Lakini karma ya 2015 bado inamuandama! Shetani hana rafiki
 
Kweli nyani haoni kundule

Haoni CDM walivyomsaliti Slaa huku wakimkumbatia waliyesema Fisadi Papa.
Hata Slaa alishiriki kumleta huyo aliyemwita 'fisadi papa' ndani ya CDM ila dakika za mwisho akawageuka wenzake, hivyo hata yeye ni sehemu ya huo 'usaliti' .
 
Back
Top Bottom