Akisifia unakwaa uteuzi ,kitila mkumbo, Jerry slaaIla Mama Abdul ameji expose sana kwa watu wenye akili timamu...ni mtu wa visasi sana & mnafki, tukumbuke pia yalianzia kwa Ndugai.
Ye anataka kusifiwa tu hata pale anapoboronga...ndio maana wahuni wamejua mapungufu yake wanamsifia kijinga anawapa vyeo kama asante.
Jinga kabisa!.
Tunajuwa kabisa DR Slaa ataendelea kuongea na kuokosoa kadri ya matakwa ya wanaompa hela.Dkt. Slaa ameongea na mwananchi baada kuondolewa hadhi ya ubalozi, Slaa amesema taarifa hizo nae ameziona kwenye mtandao lakini hajutii chochote na nchi alizotumikia wanajua walikuwa na balozi wa aina gani.
Amesema alipewa ubalozi na sasa wamechukua, hawezi kuhoji lolote. Alipoulizwa na mwandishi endapo kuondolewa ubalozi kama umehusiana na ukosoaji kwenye mkataba wa bandari, Dkt. Slaa amesema anajitambua na ataendelea kusema kweli na kufanya kazi zake kwa mujibu wa sheria.
Pia, Soma => Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa
Amechanganyikiwa ajui hashikie lipi siku ya siku atapata kiharusiKweli kabisa huyu mama kwa sasa amepoteza Dira kabisa.
Na sasa Lushoto wamemtumia message!
Anaweza akashinda Kwa namna watanganyika walivyo mabwege.Unapomuondolea cheo yule anayepigania maslahi ya watanganyika na vizazi vyao, unajionesha kwetu vile ulivyo katili, usiyewathamini wale unaowaongoza, na mbinafsi unayewajali zaidi wageni, kiongozi usiyetufaa, uliyepoteza muelekeo, usiyejitambua, na uliyejikatia tamaa.
Huwezi kupigana vita na watanganyika ukashinda, huko ni kujidanganya kabisa.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Dkt. Slaa ameongea na mwananchi baada kuondolewa hadhi ya ubalozi, Slaa amesema taarifa hizo nae ameziona kwenye mtandao lakini hajutii chochote na nchi alizotumikia wanajua walikuwa na balozi wa aina gani.
Amesema alipewa ubalozi na sasa wamechukua, hawezi kuhoji lolote. Alipoulizwa na mwandishi endapo kuondolewa ubalozi kama umehusiana na ukosoaji kwenye mkataba wa bandari, Dkt. Slaa amesema anajitambua na ataendelea kusema kweli na kufanya kazi zake kwa mujibu wa sheria.
Pia, Soma => Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa
Tanganyika ilipigana vita na Wajerumani, hizi habari za vita leo zinatoka wapi? Isitoshe Tanganyika ili cease ku exist mwaka 1964. Come on to your senses dudeUnapomuondolea cheo yule anayepigania maslahi ya watanganyika na vizazi vyao, unajionesha kwetu vile ulivyo katili, usiyewathamini wale unaowaongoza, na mbinafsi unayewajali zaidi wageni, kiongozi usiyetufaa, uliyepoteza muelekeo, usiyejitambua, na uliyejikatia tamaa.
Huwezi kupigana vita na watanganyika ukashinda, huko ni kujidanganya kabisa.
Serikali ilitoa na sasa imetwaa.Dkt. Slaa ameongea na mwananchi baada kuondolewa hadhi ya ubalozi, Slaa amesema taarifa hizo nae ameziona kwenye mtandao lakini hajutii chochote na nchi alizotumikia wanajua walikuwa na balozi wa aina gani.
Amesema alipewa ubalozi na sasa wamechukua, hawezi kuhoji lolote. Alipoulizwa na mwandishi endapo kuondolewa ubalozi kama umehusiana na ukosoaji kwenye mkataba wa bandari, Dkt. Slaa amesema anajitambua na ataendelea kusema kweli na kufanya kazi zake kwa mujibu wa sheria.
Pia, Soma => Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unapomuondolea cheo yule anayepigania maslahi ya watanganyika na vizazi vyao, unajionesha kwetu vile ulivyo katili, usiyewathamini wale unaowaongoza, na mbinafsi unayewajali zaidi wageni, kiongozi usiyetufaa, uliyepoteza muelekeo, usiyejitambua, na uliyejikatia tamaa.
Huwezi kupigana vita na watanganyika ukashinda, huko ni kujidanganya kabisa.
Mama Abdul anazeeka vibayaUnapomuondolea cheo yule anayepigania maslahi ya watanganyika na vizazi vyao, unajionesha kwetu vile ulivyo katili, usiyewathamini wale unaowaongoza, na mbinafsi unayewajali zaidi wageni, kiongozi usiyetufaa, uliyepoteza muelekeo, usiyejitambua, na uliyejikatia tamaa.
Huwezi kupigana vita na watanganyika ukashinda, huko ni kujidanganya kabisa.
Kweli nyani haoni kunduleSiasa zipo hivyo, hakuna adui wala rafiki wa kudumu ila maslahi tu.
Mkuu Slaa yupo solo kwenye harakati zake za kupinga ufisadi hajawahi kutumia jukwaa la Chadema ila Chadema hawana kisasi naye kwani wote wanajenga nyumba moja.Unafiki sio kitu kizuri.
Mzee slaa aliwasaliti CHADEMA mbele ya JPM kwajili ya tumbo lake, leo hii tena wapo pamoja kwenye jukwaa la kisiasa.
Mbowe na Lema wanapaswa kujitafakari sana, sio kwamba wanachadema wamesahau ila ...
Unafiki sio kitu kizuri.
Mzee slaa aliwasaliti CHADEMA mbele ya JPM kwajili ya tumbo lake, leo hii tena wapo pamoja kwenye jukwaa la kisiasa.
Mbowe na Lema wanapaswa kujitafakari sana, sio kwamba wanachadema wamesahau ila ...kwenye siasa hakuna rafiki na adui wa kudumu!
Pamoja na TPA kutangaza tender lkn bado tu mmeshupalia eti bandari imeuzwa!Kuuzwa kwa bandari za Tanganyika ni jambo baya sana
Lkn siku hazigandi na Mama ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi MkuuKweli kabisa huyu mama kwa sasa amepoteza Dira kabisa.
Na sasa Lushoto wamemtumia message!
Lakini kama tukiwa wakweli wa moyo.. Dr. Slaa pamoja na mazuri yake ya sasa kwenye hii ishu ya bandari zetu na DPW.. Lakini karma ya 2015 bado inamuandama! Shetani hana rafikiDkt. Slaa ameongea na mwananchi baada kuondolewa hadhi ya ubalozi, Slaa amesema taarifa hizo nae ameziona kwenye mtandao lakini hajutii chochote na nchi alizotumikia wanajua walikuwa na balozi wa aina gani.
Amesema alipewa ubalozi na sasa wamechukua, hawezi kuhoji lolote. Alipoulizwa na mwandishi endapo kuondolewa ubalozi kama umehusiana na ukosoaji kwenye mkataba wa bandari, Dkt. Slaa amesema anajitambua na ataendelea kusema kweli na kufanya kazi zake kwa mujibu wa sheria.
Pia, Soma => Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa
Hata Slaa alishiriki kumleta huyo aliyemwita 'fisadi papa' ndani ya CDM ila dakika za mwisho akawageuka wenzake, hivyo hata yeye ni sehemu ya huo 'usaliti' .Kweli nyani haoni kundule
Haoni CDM walivyomsaliti Slaa huku wakimkumbatia waliyesema Fisadi Papa.
Ila Mama Abdul ameji expose sana kwa watu wenye akili timamu...ni mtu wa visasi sana & mnafki, tukumbuke pia yalianzia kwa Ndugai.
Ye anataka kusifiwa tu hata pale anapoboronga...ndio maana wahuni wamejua mapungufu yake wanamsifia kijinga anawapa vyeo kama asante.
Jinga kabisa!.