Dkt. Slaa: Nitaendelea kusema ninachoamini, asema hajutii kuondolewa hadhi ya balozi

Mbona alipovuliwa upadri hamkutoa povu namna hii?
 
Lakini kama tukiwa wakweli wa moyo.. Dr. Slaa pamoja na mazuri yake ya sasa kwenye hii ishu ya bandari zetu na DPW.. Lakini karma ya 2015 bado inamuandama! Shetani hana rafiki
Dingi alituzingua bigtime basi tu hatutaki kuweka visasi ila hatuwezi kusahau .
 
Hivi josefina mshumbusi yuko wapi?



Alipomvua mke wa mtu kwenye ndoa ya kanisani hakuona tabu, hili la kuvuliwa ubalozi kwake ni cha mtoto tu.
 
Sema sisi binadamu tumeumbwa kusamehe, ila Dr. kwa alichokifanya 2015 kwa Upinzani hasa CDM haikuwa sawa kabisa niwe mkweli.

Ukiwa kiongozi wa juu wa Taasisi unapoamua kwenda against taasisi yako basi huwa kuna ustaarabu wa kujiondoa na kubalia kimya ili usiijeruhi taasisi husika. Mzee hakujali hilo kabisa.
 
Hahaha mama Abdala.
 
Nyie ndio wapumbavu kwahiyo mlikua mnategemea awakenulie meno tu . Tena namshauri akaze sana wabongo ukiwachekea wanakutia jiti machoni.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Unafiki sio kitu kizuri.
Mzee slaa aliwasaliti CHADEMA mbele ya JPM kwajili ya tumbo lake, leo hii tena wapo pamoja kwenye jukwaa la kisiasa.
Mbowe na Lema wanapaswa kujitafakari sana, sio kwamba wanachadema wamesahau ila ...
Hawa nyumbu hawawezi kukuelewa
 
Ila kwa Ndugai hata kama isingekua ile kauli ya mikopo but asingehudumu zaid kwa movement ile ya atake asitake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…