dah,Kwa hiyo unataka nijibishane kitu gani na mtu wa aina yako, si nitakuwa ninajishushia heshima tu bure humu?
Maandiko yako humu yanajitosheleza kabisa kukujibu mwenyewe.
Hawa wazalendo wanahitaji sana mchango katika tathmini hiyo na hatua zifuatazo. Tusiwaangushe.Ni hatua nzuri Kwa sasa,
Baada ya TATHMINI kufanyika, naamini mikakati itakuwa Bora zaidi hatua zijazo.
Nisha malizana nawe mkuu. Naona umenielewa vya kutosha.dah,
hapo umevumila sana najua umeyaporomosha yakutosha kimoyomoyo
kwa niaba ya Jamii ya waporomosha matusi, majambazi na wanyang'anyi wanajificha kwenye mwamvuli maandamano haramuHawa wazalendo wanahitaji sana mchango katika tathmini hiyo na hatua zifuatazo. Tusiwaangushe.
Hawa sasa wanabeba kazi nzito sana kwa niaba yetu sote.
yes,Nisha malizana nawe mkuu. Naona umenielewa vya kutosha.
Sasa unataka nini niseme..., niache shughuli nyingine nizozane na wewe, mtu wa aina yako, kweli?kwa niaba ya Jamii ya waporomosha matusi, majambazi na wanyang'anyi wanajificha kwenye mwamvuli maandamano haramu
Haya, nitatafuta muda mzuri nikukabili kama hilo ndilo unalo lilia kwa sasa hivi.yes,
Kipaumbele chako ni kuporomosha mitusi, yaani unatukana kichizi yaani
nataka uporomoshe mitusi zaidSasa unataka nini niseme..., niache shughuli nyingine nizozane na wewe, mtu wa aina yako, kweli?
tafuta Kaz na uifanye kwa bidii, maandamano haramu yatakusababishia ulemavu na kuiletea familia yako mzigo wa kukuleaHaya, nitatafuta muda mzuri nikukabili kama hilo ndilo unalo lilia kwa sasa hivi.
Duh
Leo tutasikia habari za Mwabukusi tu!
Kwani wewe na mumeo hamwezi kuandamana?Mwambie mwabukusi aende kwenye maandamano
Wewe pimbi andika unachotaka bila kuogopa. Mimi siogopi wase nge kama wewe.Utamaduni wenu ni upi...? Nimeacha kujazia maneno hapo kukustahi tu, mtu kama wewe.
Ngoja kwanza. Kwa nini Slaa hawajamzunguka? Pili, Mwambukuzi alidai yuko tayari kuvunjwa miguu: vipi tena, did he get cold feet? Si angetoka? Never mind, walisema kila tarehe 9 TUtaandamana tusubiri 9 Desemba sherehe za Uhuru wa Tanzania Bara.Salaam , Shalom!
Dr. Slaa amesema kuwa amefanikiwa kupata picha ya Police kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi.
Ikumbukwe pia, usiku wa kuamkia leo, Police walivamia Nyumba ya Askofu Mwamakula wakimtafuta bila mafanikio.
Nia ya kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi haijajulikana hadi sasa ikiwa ni kuunga mkono na kushiriki pia maandamano au ni kuyazuia.
Hatimaye harakati za kweli za upinzani zimeanza kuonekana.
Mungu awabariki, sababu HAKI haijawahi kuletwa Bure kwenye sahani, Bali HAKI hupatikana kwa Mapambano ya kuidai.
Source: Za Ndani media Tv, Bongo 24 tv.
Nawasilisha.
Mazoezi ya utayariwamepigishwa kwata jiji zima la Mbeya bila sababu!
Unajua si sawa raia ndani ya nchi yake kuwa treated kama gaidi!!Hahaha huyu macho mdlko hanaga noma na mtu lakini leo amefurumuana na mwana ccm wanatukanana hatar
Mbona hueleweki?Ngoja kwanza. Kwa nini Slaa hawajamzunguka? Pili, Mwambukuzi alidai yuko tayari kuvunjwa miguu: vipi tena, did he get cold feet? Si angetoka? Never mind, walisema kila tarehe 9 TUtaandamana tusubiri 9 Desemba sherehe za Uhuru wa Tanzania Bara.
Sasa unayaita "maandamano ya kipumbavu...", ili u-qualify ujinga ulio andika mwanzo kuhusu "utamaduni wa waTanzania"?Wewe pimbi andika unachotaka bila kuogopa. Mimi siogopi wase nge kama wewe.
Hatuna utamaduni wa maandamano ya kipumbavu kama hayo yaliyoandaliwa na hayawani Mdude
Maandamano ya kuongozwa na Mdude ni UPUMBAVU tu!!!!Sasa unayaita "maandamano ya kipumbavu...", ili u-qualify ujinga ulio andika mwanzo kuhusu "utamaduni wa waTanzania"?
Uchizi wako unajulikana, kwa hiyo sina muda wa kupoteza hapa.