DKT. Slaa: Rais kumuelekeza Mwanasiasa lugha ya kutumia siyo sawa, tunaingia kwenye mgogoro mkubwa

Good
 
Slaa ana akili sana sana, Muiraq au Mbulu akiwa na akili ni akili kweli sio ya kitoto. Hongera sana Dr Slaa naamini Rais Hassan atajifunza vitu kutoka kwako.
 
Anadhani hiyo mikutano itampa credit kwa kumsifia kama machawa wafanyavyo.
 
Huyu Jamaa Ndio alikua mtu pale Chadema lakini mapungufu yake walisema mke anamfungia nje nikamuona hatoshi
 
Huyu Mzee anawezakuwa na hoja lakini alitangaza kung'atuka na kuachana na mambo ya siasa.

Kwa Sasa anaonekana kama anatapatapa Kwa maslahi yake kukomeshwa.
Dkt Slaa alisema anachana na siasa za majukwaani! Akiitwa kuhojiwa kuhusu mwenendo wa siasa ataenda na atatoa mawazo yale
 
Huyu Mzee anawezakuwa na hoja lakini alitangaza kung'atuka na kuachana na mambo ya siasa.

Kwa Sasa anaonekana kama anatapatapa Kwa maslahi yake kukomeshwa.
Hakuna wakatimkatika historia ambapo mwasiasa aliwahi kuaminika au kutabirika.
Siku zote uelekeo wao hutegemeana nanuelekeo na maslahi binafsi.
 
Huyu Mzee anawezakuwa na hoja lakini alitangaza kung'atuka na kuachana na mambo ya siasa.

Kwa Sasa anaonekana kama anatapatapa Kwa maslahi yake kukomeshwa.
Anatoa mawazo yake kikatiba
 
Hakuna wakatimkatika historia ambapo mwasiasa aliwahi kuaminika au kutabirika.
Siku zote uelekeo wao hutegemeana nanuelekeo na maslahi binafsi.

Andiko Bora kabisa linalodumu wakati wote "usimwamini mwanasiasa yeyote"
 
Huyu Mzee anawezakuwa na hoja lakini alitangaza kung'atuka na kuachana na mambo ya siasa.

Kwa Sasa anaonekana kama anatapatapa Kwa maslahi yake kukomeshwa.
Kwa tafsiri yako "kung'atuka katika siasa" unadhani maana yake nini Mr The Monk ?

Je, ni kufumba mdomo na kunyamaza kimya kabisa...?

Au ni mtu kutojihusisha na active politics za kwenye majukwaa...?

In my opinion, la mwisho hapo ndilo linamhusu Dr Slaa na kwa uhalisia, hayupo huko...

Anachokifanya Dr Slaa ni kutoa maoni yake kama raia wengine kama unavyofanya wewe Mr The Monk..

What's wrong with that...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…