Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Aisee, ngoja tuoneSlaa anarudi, saiz hapindishi, ni rula.
Hii inaleta AFYA Kwa siasa zetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee, ngoja tuoneSlaa anarudi, saiz hapindishi, ni rula.
Hii inaleta AFYA Kwa siasa zetu.
Yes, ni sawa na kuwafundisha waseme kile unachopenda tu, kuwa kiongozi wa siasa, tena kwenye mfumo wa vyama vingi lazima mwanasiasa uwe na ngozi ngumu, uvumilie madongo yakizidi nawe yajibu, lakini kuwataka wapinzani waseme kile unachopenda ili wakufurahishe huo ni sawa na udikteta.
Naona amejitahidi kuwapanga anavyotaka wale wa ndani ya chama chake, toa huyu hapa weka pale, toa yule kule leta hapa, muhimu aishie huko huko kwasababu ndio mamlaka yake kama mwenyekiti wao yalipoishia, lakini asijaribu kutoka nje ya hapo kufanya kwa wengine wasio wa chama chake, huo utakuwa ni ubabe.
Hatua Moja mbeleMboowe ye alifurahi Hadi akasimama kupiga makofi
Huyu wafuasi wa mwendazake ndio wanataka agombee kupitia Umoja PartyTaratibu makamanda uchwara wataanza tena kumuita rais wa mioyoni. Subira yavuta heri🤣
Siasa za hii nchi sijui ni nani wa kumuamini.
Dkt Slaa alisema anachana na siasa za majukwaani! Akiitwa kuhojiwa kuhusu mwenendo wa siasa ataenda na atatoa mawazo yaleHuyu Mzee anawezakuwa na hoja lakini alitangaza kung'atuka na kuachana na mambo ya siasa.
Kwa Sasa anaonekana kama anatapatapa Kwa maslahi yake kukomeshwa.
Na wewe ni Nani vile?Huyo ni mpumbavu
SawaDkt Slaa alisema anachana na siasa za majukwaani! Akiitwa kuhojiwa kuhusu mwenendo wa siasa ataenda na atatoa mawazo yale
Hakuna wakatimkatika historia ambapo mwasiasa aliwahi kuaminika au kutabirika.Huyu Mzee anawezakuwa na hoja lakini alitangaza kung'atuka na kuachana na mambo ya siasa.
Kwa Sasa anaonekana kama anatapatapa Kwa maslahi yake kukomeshwa.
Anatoa mawazo yake kikatibaHuyu Mzee anawezakuwa na hoja lakini alitangaza kung'atuka na kuachana na mambo ya siasa.
Kwa Sasa anaonekana kama anatapatapa Kwa maslahi yake kukomeshwa.
Kuwa na heshima kdgHuyo ni mpumbavu
Wewe bonga hovyo tu lakini muda utaongea.Huyu wafuasi wa mwendazake ndio wanataka agombee kupitia Umoja Party
Namie nimetoa mawazo yangu kikatiba kuhusu alivyotoa mawazo yake kikatiba. Kama ambavyo na wewe umetoa mawazo Yako kuhusu nilivyotoa maoni yangu kikatiba.Anatoa mawazo yake kikatiba
Hakuna wakatimkatika historia ambapo mwasiasa aliwahi kuaminika au kutabirika.
Siku zote uelekeo wao hutegemeana nanuelekeo na maslahi binafsi.
Kwa tafsiri yako "kung'atuka katika siasa" unadhani maana yake nini Mr The Monk ?Huyu Mzee anawezakuwa na hoja lakini alitangaza kung'atuka na kuachana na mambo ya siasa.
Kwa Sasa anaonekana kama anatapatapa Kwa maslahi yake kukomeshwa.