Dkt. Slaa: Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu alipokuwa anaumwa

Umechoka kisa Ni Lissu kisa sio mwana Chama wa CCM. Ila ingekuwa ni mmewako amefanyiwa vile usingechoka, labda hata ungenyinyonga kutokana na hasira

Ukimuona mwenzako anaonewa usimkebehi maana machungu alioyo nayo huyafahamu.

Watu wa Msoga ndio walikuzuia usivae barakoa?

Watu wa Msoga ndio walikupangia ratiba ngumu hadi ya kulala na mafile ofisini wakati unajijua mgonjwa?

Watu wa Msoga ndio walikuzuia usisafiri usiende kupata matibabu stahiki ya Maradhi yako?

yale matangazo ya makampuni ya Simu kuwa '…Makosa yatatozwa…' yanakuwa applicable kwny eneo lingine la maisha pia

images.jpeg
 
Dr slaa nilikuwa namatumaini nae sana lakini Leo nimemshusha vibaya unatoa sifa kwa mtu aliovunja katiba
Mfano haki yakuchagua na kuchaguliwa hili moja tu linatosha bwana yule mwendazake kupuuzwa kabisa ushahidi Wa hili nipale alipo sema atamshangaa mtu anaemlipa yeye amtangaze mpinzani ameshinda bado kwa wavuvi kafanya mambo yahovyo kabisa alafu unasifia hovyo kabisa Dr mihogo bana unalipa fadhila?magu hakuoni tena simamia ukweli bado utaonekana unashukurani
 
Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa akiwa kwenye kongamano la kusheherekea urithi wa falsafa ya hayati Magufuli ameongelea mambo kadhaa ikiwemo serikali kuwanyima taarifa na fursa ya kumuombea Magufuli.

Pia Dkt. Slaa amewapongeza watanzania kwa walivyoonesha upendo wao na kushikamana kama sisimizi na kila aliyemwambia alikuwa na maadui wengi, alimwambia afungue TV yake zilizorekodi umati wa watu katika vituo vyote ambavyo mwili wake ulipita.

========

Dkt. Slaa: Mama Samia tunakupa pole sana lakini hili pia linikumbushe uchungu mkubwa kidogo niliupata na labda Serikali kwenye hili mtusikilize, Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu tunaempenda kwa mwenyezi Mungu katika kipindi kigumu cha maisha yake alipokuwa anaumwa kwa kutuficha taarifa.

Msiogope nikitamka hivi, kama nitakamatwa nitakamatwa mimi. Serikali ni ya kwetu. Wakristo kama kuna wakati tunatakiwa kumuombea mtu ni wakati wa mwisho wa maisha yake.

Tunakuja kuambiwa amefariki lakini tunajua alikuwa anaumwa kabla ya pale na kile ndio kipindi tulitakiwa tujulishwe, huyu ambae alipenda madhehebu ya dini kila siku ya Mungu alienda, kanisani au msikitini.

Kwanini unawanyima watanzania hao fursa na nafasi ya kuwaombea kwa kadiri ya imani zao. Hii iwe ni fundisho limetokea hatuwezi kurudisha nyuma lakini tunaomba Serikali muwe makini, hamuwezi kuhodhi imani ya binadamu.

Dkt. Slaa: Siku hizi ni rahisi hata utafiti hauhitaji kufanya publication, kutafuta hata hela. Chapisha iingie kwenye mtandao online. Haiitaji hata hela siku hizi, mbona mengi ya matusi tunayaingiza kwenye mitandao na yanazunguka bure, kwanini professional article well said ishindwe kuchapishwa iweze kufikia watu kwasababu karibu kila mtu kwa takwimu tulizonazo watanzania takriban milioni 25 wana smartphone.

Ukiwafikia watanzania milioni 25 umefikia critical mass ambao unahitaji kuwapelekea information, hiyo naacha kama challenge.
Huyu mvulana wa zamani akili zimemuishia.Anataka amiombee chai au maji kibaka mwemzie?
 
Ukiwafikia watanzania milioni 25 umefikia critical mass ambao unahitaji kuwapelekea information, hiyo naacha kama challenge
Ambassador retired Dr. Wilbrod Slaa is 100% right, this is what commented during the mourning period.

I am sure after the current and seating regime tenure end the responsible persons who either intently or negligently decided to deny information to the Tanzanians over the sudden sickness of the late Dr. JPM and handle it secretly until the power wrangle was in their control shall be held accountable for being the immediate and underlying cause of the untimely death even if it takes 50 years to bring them to book.

The voice of the righteous, patriotic and good citizens shall never be silenced by merchants of all sorts of stuff.
 
Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa akiwa kwenye kongamano la kusheherekea urithi wa falsafa ya hayati Magufuli ameongelea mambo kadhaa ikiwemo serikali kuwanyima taarifa na fursa ya kumuombea Magufuli.

Pia Dkt. Slaa amewapongeza watanzania kwa walivyoonesha upendo wao na kushikamana kama sisimizi na kila aliyemwambia alikuwa na maadui wengi, alimwambia afungue TV yake zilizorekodi umati wa watu katika vituo vyote ambavyo mwili wake ulipita.

========

Dkt. Slaa: Mama Samia tunakupa pole sana lakini hili pia linikumbushe uchungu mkubwa kidogo niliupata na labda Serikali kwenye hili mtusikilize, Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu tunaempenda kwa mwenyezi Mungu katika kipindi kigumu cha maisha yake alipokuwa anaumwa kwa kutuficha taarifa.

Msiogope nikitamka hivi, kama nitakamatwa nitakamatwa mimi. Serikali ni ya kwetu. Wakristo kama kuna wakati tunatakiwa kumuombea mtu ni wakati wa mwisho wa maisha yake.

Tunakuja kuambiwa amefariki lakini tunajua alikuwa anaumwa kabla ya pale na kile ndio kipindi tulitakiwa tujulishwe, huyu ambae alipenda madhehebu ya dini kila siku ya Mungu alienda, kanisani au msikitini.

Kwanini unawanyima watanzania hao fursa na nafasi ya kuwaombea kwa kadiri ya imani zao. Hii iwe ni fundisho limetokea hatuwezi kurudisha nyuma lakini tunaomba Serikali muwe makini, hamuwezi kuhodhi imani ya binadamu.

Dkt. Slaa: Siku hizi ni rahisi hata utafiti hauhitaji kufanya publication, kutafuta hata hela. Chapisha iingie kwenye mtandao online. Haiitaji hata hela siku hizi, mbona mengi ya matusi tunayaingiza kwenye mitandao na yanazunguka bure, kwanini professional article well said ishindwe kuchapishwa iweze kufikia watu kwasababu karibu kila mtu kwa takwimu tulizonazo watanzania takriban milioni 25 wana smartphone.

Ukiwafikia watanzania milioni 25 umefikia critical mass ambao unahitaji kuwapelekea information, hiyo naacha kama challenge.
Ni kweli kabisa.
Na ndio maana hata sasa tunatamani kujua mahali alipo aliyekuwa spika, mhe. JYN! Ni haki yetu kikatiba kujua maendeleo ya viongozi wetu hata baada ya kustaafu au kujiuzulu; kwasababu kuna mengi ya kujifunza kutoka kwao.
Na ndio maana historia zao huandikwa na kufundishwa mashuleni!
 
Nataman kumuona huyu mwamba akirudi kwenye siasa za ushindani naamini ni moja ya mwanasiasa anayejua kujenga na kupangua hoja bila kupepesa macho.
 
.

Tunakuja kuambiwa amefariki lakini tunajua alikuwa anaumwa kabla ya pale na kile ndio kipindi tulitakiwa tujulishwe, huyu ambae alipenda madhehebu ya dini kila siku ya Mungu alienda, kanisani au msikitini.

Kwanini unawanyima watanzania hao fursa na nafasi ya kuwaombea kwa kadiri ya imani zao. Hii iwe ni fundisho limetokea hatuwezi kurudisha nyuma lakini tunaomba Serikali muwe makini, hamuwezi kuhodhi imani ya binadamu.
Hayo sasa ndiyo madhara ya Rais Katili na DIKTETA. ANi nani alikuwa na ujasiri wa kusema Rais Anaumwa? Labda mpaka kama angekubali kusema mwenyewe.

Dr Slaa anajitoa ufahamu tu. Kwanza Mwendazake alikuwa haamini kuwa angekufa karibuni! Ushahidi ni kauli za akina Kabudi, Agrey Mwanri na Kangi Lugola waliokuwa wanamuita mungu. Naye akaamini kuwa ni mungu. Kumbe alikuwa sawa na Zumaridi tu
 
Nyie nao tumeshawachoka habari ya risasi za Lissu, kila hoja ikiletwa hapa mnaingiza upupu wenu huo
Ama kweli Mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchungu, kwa hiyo Lissu kupigwa sawa ila Magufuli kufa hautaki, ama kweli Mungu fundi kabisaaaa!!!!
 
Katika Biblia kuna wakati Nabii Samwel alikuwa anamwombea mfalme Saul, Mungu akamtokea na kumwambia kuwa wala asipoteze muda wake kumwombea kwa kuwa Mungu ameshamkataa. Hivyo ndivyo ulivyokuwa ama ingekuwa kwa Magufuli kama watu wangemwombea. Mungu alikwisha mkataa, huwezi kukiuka haki za wana wa Mungu na bado Mungu akawa nawe. Dr Slaa yeye anakumbuka alivyookolewa kutoka kuosha masufuria mpaka kuwa balozi, lakini kuna watu ni vilema, wengine ndugu zao wamekufa kwa matendo na maneno ya Magufuli. Mungu amuweke anapostahili!!!
 
Huyu Mzee kaamua kumwaga mbumba liwalo na liwe.
Na anayoongea ni kweli kabisa
 
Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa akiwa kwenye kongamano la kusheherekea urithi wa falsafa ya hayati Magufuli ameongelea mambo kadhaa ikiwemo serikali kuwanyima taarifa na fursa ya kumuombea Magufuli.

Pia Dkt. Slaa amewapongeza watanzania kwa walivyoonesha upendo wao na kushikamana kama sisimizi na kila aliyemwambia alikuwa na maadui wengi, alimwambia afungue TV yake zilizorekodi umati wa watu katika vituo vyote ambavyo mwili wake ulipita.

========

Dkt. Slaa: Mama Samia tunakupa pole sana lakini hili pia linikumbushe uchungu mkubwa kidogo niliupata na labda Serikali kwenye hili mtusikilize, Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu tunaempenda kwa mwenyezi Mungu katika kipindi kigumu cha maisha yake alipokuwa anaumwa kwa kutuficha taarifa.

Msiogope nikitamka hivi, kama nitakamatwa nitakamatwa mimi. Serikali ni ya kwetu. Wakristo kama kuna wakati tunatakiwa kumuombea mtu ni wakati wa mwisho wa maisha yake.

Tunakuja kuambiwa amefariki lakini tunajua alikuwa anaumwa kabla ya pale na kile ndio kipindi tulitakiwa tujulishwe, huyu ambae alipenda madhehebu ya dini kila siku ya Mungu alienda, kanisani au msikitini.

Kwanini unawanyima watanzania hao fursa na nafasi ya kuwaombea kwa kadiri ya imani zao. Hii iwe ni fundisho limetokea hatuwezi kurudisha nyuma lakini tunaomba Serikali muwe makini, hamuwezi kuhodhi imani ya binadamu.

Dkt. Slaa: Siku hizi ni rahisi hata utafiti hauhitaji kufanya publication, kutafuta hata hela. Chapisha iingie kwenye mtandao online. Haiitaji hata hela siku hizi, mbona mengi ya matusi tunayaingiza kwenye mitandao na yanazunguka bure, kwanini professional article well said ishindwe kuchapishwa iweze kufikia watu kwasababu karibu kila mtu kwa takwimu tulizonazo watanzania takriban milioni 25 wana smartphone.

Ukiwafikia watanzania milioni 25 umefikia critical mass ambao unahitaji kuwapelekea information, hiyo naacha kama challenge.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom