Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Wangefanyaje?sidhani kama ni sahihi ulichokiandika.Mshukuru Mabeyo na Sirro.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangefanyaje?sidhani kama ni sahihi ulichokiandika.Mshukuru Mabeyo na Sirro.
Msoga anahusika vipi wakati wazee sa legacy ndo walikua hawatakiYuko sahihi kabisa....
Wale watu wa Msoga waleeee!
Mungu anawaona sana......
Umechoka kisa Ni Lissu kisa sio mwana Chama wa CCM. Ila ingekuwa ni mmewako amefanyiwa vile usingechoka, labda hata ungenyinyonga kutokana na hasira
Ukimuona mwenzako anaonewa usimkebehi maana machungu alioyo nayo huyafahamu.
Watu wa Msoga ndio walikuzuia usivae barakoa?
Watu wa Msoga ndio walikupangia ratiba ngumu hadi ya kulala na mafile ofisini wakati unajijua mgonjwa?
Watu wa Msoga ndio walikuzuia usisafiri usiende kupata matibabu stahiki ya Maradhi yako?
yale matangazo ya makampuni ya Simu kuwa '…Makosa yatatozwa…' yanakuwa applicable kwny eneo lingine la maisha pia
Unaumia umekalia kitu kigumu kinakuingia. Unawezaje kuombea jiwe!!Nyie nao tumeshawachoka habari ya risasi za Lissu, kila hoja ikiletwa hapa mnaingiza upupu wenu huo
Huyu mvulana wa zamani akili zimemuishia.Anataka amiombee chai au maji kibaka mwemzie?Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa akiwa kwenye kongamano la kusheherekea urithi wa falsafa ya hayati Magufuli ameongelea mambo kadhaa ikiwemo serikali kuwanyima taarifa na fursa ya kumuombea Magufuli.
Pia Dkt. Slaa amewapongeza watanzania kwa walivyoonesha upendo wao na kushikamana kama sisimizi na kila aliyemwambia alikuwa na maadui wengi, alimwambia afungue TV yake zilizorekodi umati wa watu katika vituo vyote ambavyo mwili wake ulipita.
========
Dkt. Slaa: Mama Samia tunakupa pole sana lakini hili pia linikumbushe uchungu mkubwa kidogo niliupata na labda Serikali kwenye hili mtusikilize, Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu tunaempenda kwa mwenyezi Mungu katika kipindi kigumu cha maisha yake alipokuwa anaumwa kwa kutuficha taarifa.
Msiogope nikitamka hivi, kama nitakamatwa nitakamatwa mimi. Serikali ni ya kwetu. Wakristo kama kuna wakati tunatakiwa kumuombea mtu ni wakati wa mwisho wa maisha yake.
Tunakuja kuambiwa amefariki lakini tunajua alikuwa anaumwa kabla ya pale na kile ndio kipindi tulitakiwa tujulishwe, huyu ambae alipenda madhehebu ya dini kila siku ya Mungu alienda, kanisani au msikitini.
Kwanini unawanyima watanzania hao fursa na nafasi ya kuwaombea kwa kadiri ya imani zao. Hii iwe ni fundisho limetokea hatuwezi kurudisha nyuma lakini tunaomba Serikali muwe makini, hamuwezi kuhodhi imani ya binadamu.
Dkt. Slaa: Siku hizi ni rahisi hata utafiti hauhitaji kufanya publication, kutafuta hata hela. Chapisha iingie kwenye mtandao online. Haiitaji hata hela siku hizi, mbona mengi ya matusi tunayaingiza kwenye mitandao na yanazunguka bure, kwanini professional article well said ishindwe kuchapishwa iweze kufikia watu kwasababu karibu kila mtu kwa takwimu tulizonazo watanzania takriban milioni 25 wana smartphone.
Ukiwafikia watanzania milioni 25 umefikia critical mass ambao unahitaji kuwapelekea information, hiyo naacha kama challenge.
Ambassador retired Dr. Wilbrod Slaa is 100% right, this is what commented during the mourning period.Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa akiwa kwenye kongamano la kusheherekea urithi wa falsafa ya hayati Magufuli ameongelea mambo kadhaa ikiwemo serikali kuwanyima taarifa na fursa ya kumuombea Magufuli.
Pia Dkt. Slaa amewapongeza watanzania kwa walivyoonesha upendo wao na kushikamana kama sisimizi na kila aliyemwambia alikuwa na maadui wengi, alimwambia afungue TV yake zilizorekodi umati wa watu katika vituo vyote ambavyo mwili wake ulipita.
========
Dkt. Slaa: Mama Samia tunakupa pole sana lakini hili pia linikumbushe uchungu mkubwa kidogo niliupata na labda Serikali kwenye hili mtusikilize, Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu tunaempenda kwa mwenyezi Mungu katika kipindi kigumu cha maisha yake alipokuwa anaumwa kwa kutuficha taarifa.
Msiogope nikitamka hivi, kama nitakamatwa nitakamatwa mimi. Serikali ni ya kwetu. Wakristo kama kuna wakati tunatakiwa kumuombea mtu ni wakati wa mwisho wa maisha yake.
Tunakuja kuambiwa amefariki lakini tunajua alikuwa anaumwa kabla ya pale na kile ndio kipindi tulitakiwa tujulishwe, huyu ambae alipenda madhehebu ya dini kila siku ya Mungu alienda, kanisani au msikitini.
Kwanini unawanyima watanzania hao fursa na nafasi ya kuwaombea kwa kadiri ya imani zao. Hii iwe ni fundisho limetokea hatuwezi kurudisha nyuma lakini tunaomba Serikali muwe makini, hamuwezi kuhodhi imani ya binadamu.
Dkt. Slaa: Siku hizi ni rahisi hata utafiti hauhitaji kufanya publication, kutafuta hata hela. Chapisha iingie kwenye mtandao online. Haiitaji hata hela siku hizi, mbona mengi ya matusi tunayaingiza kwenye mitandao na yanazunguka bure, kwanini professional article well said ishindwe kuchapishwa iweze kufikia watu kwasababu karibu kila mtu kwa takwimu tulizonazo watanzania takriban milioni 25 wana smartphone.
Ukiwafikia watanzania milioni 25 umefikia critical mass ambao unahitaji kuwapelekea information, hiyo naacha kama challenge
Ni kweli kabisa.Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa akiwa kwenye kongamano la kusheherekea urithi wa falsafa ya hayati Magufuli ameongelea mambo kadhaa ikiwemo serikali kuwanyima taarifa na fursa ya kumuombea Magufuli.
Pia Dkt. Slaa amewapongeza watanzania kwa walivyoonesha upendo wao na kushikamana kama sisimizi na kila aliyemwambia alikuwa na maadui wengi, alimwambia afungue TV yake zilizorekodi umati wa watu katika vituo vyote ambavyo mwili wake ulipita.
========
Dkt. Slaa: Mama Samia tunakupa pole sana lakini hili pia linikumbushe uchungu mkubwa kidogo niliupata na labda Serikali kwenye hili mtusikilize, Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu tunaempenda kwa mwenyezi Mungu katika kipindi kigumu cha maisha yake alipokuwa anaumwa kwa kutuficha taarifa.
Msiogope nikitamka hivi, kama nitakamatwa nitakamatwa mimi. Serikali ni ya kwetu. Wakristo kama kuna wakati tunatakiwa kumuombea mtu ni wakati wa mwisho wa maisha yake.
Tunakuja kuambiwa amefariki lakini tunajua alikuwa anaumwa kabla ya pale na kile ndio kipindi tulitakiwa tujulishwe, huyu ambae alipenda madhehebu ya dini kila siku ya Mungu alienda, kanisani au msikitini.
Kwanini unawanyima watanzania hao fursa na nafasi ya kuwaombea kwa kadiri ya imani zao. Hii iwe ni fundisho limetokea hatuwezi kurudisha nyuma lakini tunaomba Serikali muwe makini, hamuwezi kuhodhi imani ya binadamu.
Dkt. Slaa: Siku hizi ni rahisi hata utafiti hauhitaji kufanya publication, kutafuta hata hela. Chapisha iingie kwenye mtandao online. Haiitaji hata hela siku hizi, mbona mengi ya matusi tunayaingiza kwenye mitandao na yanazunguka bure, kwanini professional article well said ishindwe kuchapishwa iweze kufikia watu kwasababu karibu kila mtu kwa takwimu tulizonazo watanzania takriban milioni 25 wana smartphone.
Ukiwafikia watanzania milioni 25 umefikia critical mass ambao unahitaji kuwapelekea information, hiyo naacha kama challenge.
Hayo sasa ndiyo madhara ya Rais Katili na DIKTETA. ANi nani alikuwa na ujasiri wa kusema Rais Anaumwa? Labda mpaka kama angekubali kusema mwenyewe..
Tunakuja kuambiwa amefariki lakini tunajua alikuwa anaumwa kabla ya pale na kile ndio kipindi tulitakiwa tujulishwe, huyu ambae alipenda madhehebu ya dini kila siku ya Mungu alienda, kanisani au msikitini.
Kwanini unawanyima watanzania hao fursa na nafasi ya kuwaombea kwa kadiri ya imani zao. Hii iwe ni fundisho limetokea hatuwezi kurudisha nyuma lakini tunaomba Serikali muwe makini, hamuwezi kuhodhi imani ya binadamu.
Ama kweli Mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchungu, kwa hiyo Lissu kupigwa sawa ila Magufuli kufa hautaki, ama kweli Mungu fundi kabisaaaa!!!!Nyie nao tumeshawachoka habari ya risasi za Lissu, kila hoja ikiletwa hapa mnaingiza upupu wenu huo
Kwa nini wewe ndiwe umchagulie mwingine njia anayotaka kuwasilisha sala zake kwa Mungu?T shirt huwa naziona kwenye maombolezo siyo maombezi.
Kumuombea mtu hakuhitaji t shirt bwashee!
Wewe ni mshenzi tu!Watoto wa gaidi na yule mrs Amsterdam wataruka na kukanyagana hapa
Kamaliza mda wakeHivi huyu dr slaa bado balozi au kazi imeisha
[emoji38][emoji38][emoji38]Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa akiwa kwenye kongamano la kusheherekea urithi wa falsafa ya hayati Magufuli ameongelea mambo kadhaa ikiwemo serikali kuwanyima taarifa na fursa ya kumuombea Magufuli.