Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

watu weusi tunashida sana..

Hoja zao juu ya mkataba wa dp world zijibiwe kwa hoja sio mabavu na mkono wa chuma. Nchi ni yetu wote, nia yao IPO clear kabisa ni kujaribu kulinda rasilimali za nchi.
Hapo sasa.
 

Wewe tulia nikupe darasa.
maandamano ya kutaka KUPINDUA SERIKALI ni marufuku na yyt atakae kamatwa ameshiriki na kukawa na ushahidi kuwa lengo lake ni kutaka kupindua serikali hukumu ya Tanzania ni adhabu ya KIFO.
Kama unabisha kesho kamata bango linalosema "Tunapindua serikali " uone .

We huna unachojua halafu hodari sana kutoa kashfa
 
Inaonekana hivyo kwa kweli. Sina mda mrefu hapa JF lakini naona kana kuna kikundi cha kuchafua critics wa Mh.Samia Suluhu na wanaonekana,again ni wenye muonekano wa wafiadini. This is dangerous kama wanatumiwa na watu wa Serikalini.
Hawa miaka yote ndivyo walivyo, usihangaishwe nao, wameishi kwenye lindi la ujinga karibia muongo mzima.

Hata wenyewe wanaona aibu kwa huu uongo walioweka hapa, lakini wanajitoa akili makusudi kama watoto wadogo, wapuuzwe tu sio wa kuhangaishwa nao.
 
Maandamano huwa na dhamira zake Kama alivyosema ,,

Shida sio kuandamana bali Shida lengo la kuandamana ,, Kwa maneno ya Dr. Slaa lengo la hayo maandamano ni "Kuipindua serikali" hapo ndipo lilipo kosa la "UHAINI"

Dhamira pekee ya " KUIPINDUA SERIKALI" inatosha kuthibitisha kosa la "UHAINI" bila kujali njia mliyopanga kuitumia kutekeleza hiyo nia yenu ya " KUIPINDUA SERIKALI"
 
Dr Slaa na wenzake wameingia pabaya... hii ishu watasonga nayo kwa muda mrefu kuliko hata masheikh wa uamsho. Kuna uwezekano mama akamaliza uongozi wake 2030 bado kina Slaa wako jela. Nampongeza Sultani Mbowe kuwa na control ya hisia zake. Anajichunga mno kuropoka. Namwonea huruma kijana mwenzangu Mdude kuingia kwenye haya matatizo. Bora hata Slaa ashakula maisha sana.
 
Endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe kama watoto wadogo.
 
- huwezi kunipa darasa, ww ndiye unatakiwa ukae ufundishwe.
-Maandamano peke yake hayaotoshi kuthibitisha Uhaini,
-unajua kuandamana ili Kuipinga mipango/mikakati ya serikali sio kosa
- Hata ukikamatwa kama alivyokamatwa Dr slaa, hawawezi kuthibitisha,
 
Kwani hukumu ya kifo si inatekelezwa jela vile vile au hujui!?
 
-hayo maandamano yamefanyika?
 
Kuandamana kwa nia ya kupindua nchi? Kama unazijua sheria nenda Mahakamani kamtetee Slaa. Tofauti na hapo wewe ni kenge tu
 
Wewe piga kelele hapa JF ila jua Dr Slaa na wenzake wameingia cha kike.
 
Kuandamana kwa nia ya kupindua nchi? Kama unazijua sheria nenda Mahakamani kamtetee Slaa. Tofauti na hapo wewe ni kenge tu
-kenge ni ww usiyejua sheria
-niende Mahakamani kwani mimi Wakili?
-mimi nakwambia hapo hawawezi kuthibitisha hilo kosa, na wanafuta hayo mashtaka.
-viwango vya kuthibitisha kosa la Uhaini viko juu, Yani hapo Kwanza lazima kuwe na kula njama, na lazima jamhuri waoneshe hizo njama walikuwa wapi,lini na kina Nani,
 
Isome vizuri post #1
 
- kama serikali inaongozwa na hiyo KATIBA, basi mtampeleka mahakamani hiyo KATIBA ikatoe ushahidi mahakamani kama inaongea?
-serikali inaongozwa na Rais ambaye ndiye THE HEAD OF STATE,yani hata KATIBA yenyewe huijui
 
Mnamlisha maneno mzee wa watu Matackleee yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…