BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Serikali inaongozwa na nani?Serikali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali inaongozwa na nani?Serikali.
Hapo sasa.watu weusi tunashida sana..
Hoja zao juu ya mkataba wa dp world zijibiwe kwa hoja sio mabavu na mkono wa chuma. Nchi ni yetu wote, nia yao IPO clear kabisa ni kujaribu kulinda rasilimali za nchi.
-hapo bado haitoshi kuthibitisha Uhaini,
-alisema kupindua serikali, kwa maandamano, na alisema yy atajiunga kwenye hayo maandamano,
- Swali ni je kuandamana ni kosa? watu wanaoandamana Kuipinga serikali/mipango ya serikali ni kosa?
-mimi Sheria nazijua kuliko wewe
Wewe tulia nikupe darasa.-hapo bado haitoshi kuthibitisha Uhaini,
-alisema kupindua serikali, kwa maandamano, na alisema yy atajiunga kwenye hayo maandamano,
- Swali ni je kuandamana ni kosa? watu wanaoandamana Kuipinga serikali/mipango ya serikali ni kosa?
-mimi Sheria nazijua kuliko wewe
Ni yeye Balozi wa Club House ngoja wazivute korodani aseme walipoficha mzinga na bundukiNi kweli alitamka haya maneno Balozi Slaa?
Hawa miaka yote ndivyo walivyo, usihangaishwe nao, wameishi kwenye lindi la ujinga karibia muongo mzima.Inaonekana hivyo kwa kweli. Sina mda mrefu hapa JF lakini naona kana kuna kikundi cha kuchafua critics wa Mh.Samia Suluhu na wanaonekana,again ni wenye muonekano wa wafiadini. This is dangerous kama wanatumiwa na watu wa Serikalini.
Maandamano huwa na dhamira zake Kama alivyosema ,,-hapo bado haitoshi kuthibitisha Uhaini,
-alisema kupindua serikali, kwa maandamano, na alisema yy atajiunga kwenye hayo maandamano,
- Swali ni je kuandamana ni kosa? watu wanaoandamana Kuipinga serikali/mipango ya serikali ni kosa?
-mimi Sheria nazijua kuliko wewe
Endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe kama watoto wadogo.Nyie kutukana ni ibada kwenu. We tukana lkn sisi tunamtaka huyu muhalifu akamatwe awekwe ndani.
Tutampeleka mahakamani atajitetea lkn mwisho wa siku hana jinsi lzm wamnyonge.
Ametamka wazi kabisa kuwa km serikali itakataa kupitisha matakwa basi itemise extremely measures akaulizwa km ipi? Akajibu KUPINDUA SERIKALI.
Sasa huyu fisi wacha ao
- huwezi kunipa darasa, ww ndiye unatakiwa ukae ufundishwe.Wewe tulia nikupe darasa.
maandamano ya kutaka KUPINDUA SERIKALI ni marufuku na yyt atakae kamatwa ameshiriki na kukawa na ushahidi kuwa lengo lake ni kutaka kupindua serikali hukumu ya Tanzania ni adhabu ya KIFO.
Kama unabisha kesho kamata bango linalosema "Tunapindua serikali " uone .
We huna unachojua halafu hodari sana kutoa kashfa
Kwani hukumu ya kifo si inatekelezwa jela vile vile au hujui!?Nadhani hujaelewa kipi kinaongelewa hapa.
Dr Slaa ametamka wazi kuwa kama serikali haitokubali matakwa ya watu lzm zitumike "EXTREMELY MEASURES" Akaulizwa na muhandisj wa habari " EXTREMELY measures kama zipi? Slaa akajibu "KUPINDUA SERIKALI.
Hio kauli peke yake hata kabla ya kuitekeleza tayari ni KOSA LA UHAINI.
NA Kosa la UHAINI Tanzania HUKUMU YAKE NI KIFO.
Sio jela tena.
Someni sheria za nchi kabla ya kulalamika.
-hayo maandamano yamefanyika?Maandamano huwa na dhamira zake Kama alivyosema ,,
Shida sio kuandamana bali Shida lengo la kuandamana ,, Kwa maneno ya Dr. Slaa lengo la hayo maandamano ni "Kuipindua serikali" hapo ndipo lilipo kosa la "UHAINI"
Dhamira pekee ya " KUIPINDUA SERIKALI" inatosha kuthibitisha kosa la "UHAINI" bila kujali njia mliyopanga kuitumia kutekeleza hiyo nia yenu ya " KUIPINDUA SERIKALI"
Umeona jinsi alivyo mbumbumbu 😂Kwani hukumu ya kifo si inatekelezwa jela vile vile au hujui!?
Ilipaswa wasubiri yafanyike ndio wachukue hatua?-hayo maandamano yamefanyika?
Kuandamana kwa nia ya kupindua nchi? Kama unazijua sheria nenda Mahakamani kamtetee Slaa. Tofauti na hapo wewe ni kenge tu-hapo bado haitoshi kuthibitisha Uhaini,
-alisema kupindua serikali, kwa maandamano, na alisema yy atajiunga kwenye hayo maandamano,
- Swali ni je kuandamana ni kosa? watu wanaoandamana Kuipinga serikali/mipango ya serikali ni kosa?
-mimi Sheria nazijua kuliko wewe
KatibaSerikali inaongozwa na nani?
Wewe piga kelele hapa JF ila jua Dr Slaa na wenzake wameingia cha kike.- huwezi kunipa darasa, ww ndiye unatakiwa ukae ufundishwe.
-Maandamano peke yake hayaotoshi kuthibitisha Uhaini,
-unajua kuandamana ili Kuipinga mipango/mikakati ya serikali sio kosa
- Hata ukikamatwa kama alivyokamatwa Dr slaa, hawawezi kuthibitisha,
-kenge ni ww usiyejua sheriaKuandamana kwa nia ya kupindua nchi? Kama unazijua sheria nenda Mahakamani kamtetee Slaa. Tofauti na hapo wewe ni kenge tu
Isome vizuri post #1- huwezi kunipa darasa, ww ndiye unatakiwa ukae ufundishwe.
-Maandamano peke yake hayaotoshi kuthibitisha Uhaini,
-unajua kuandamana ili Kuipinga mipango/mikakati ya serikali sio kosa
- Hata ukikamatwa kama alivyokamatwa Dr slaa, hawawezi kuthibitisha,
- kama serikali inaongozwa na hiyo KATIBA, basi mtampeleka mahakamani hiyo KATIBA ikatoe ushahidi mahakamani kama inaongea?Katiba