Usikuze mambo au source zako weka hapaPanya road wapo , ss wanatumia silaha huko mbagala , ila serikali inawafichen , mm shuhuda panya road walikwepo hata kabla ya sekeseke la kawe , ila jeshi linajuwa na lipo kimya , Ila kauli ya slaa wanajifanya wapo makini , UHUNI HUU
Samia ni diktetaHii kauli inampeleka huyu Mzee Big time hivi anashikaje waya wa umeme au kwasababu umeme hauonekani?
Hayo ya kuthibitisha tena ni mambo ya huko mahakamani- Sasa jukumu lao ni kuthibitisha Hilo,
Watu wenye akili mbov km zko ndo mtaturudisha kweny ukolon , ebu somen historia mtoe uendawazim kdgMwakubusi ameyatimba, kafutwa uwakili, kajieka kwenye matatizo makubwa, hivi angetulia zake maisha yaende kama na hela anayo angepungukiwa nn? [emoji23][emoji23], Hivi nikifiria jinsi kuwa wakili ilivyokuwa ngumu, Yani upige vizuri advance, chuo uishone kwelikweli, school of law ule mtihani wao mgumu kumeza utoboe, bado uchaguliwe na judge mkuu, uoneshe juhudi uwe wakili, af kisa mambo ya serikali ufutwe uwakili...dooh!!
Nimekuuliza. Nchi inapinduliwa kwa matamshi? Wewe unazidi kuonyesha ulivyo mpumbavu kwa kuongezea mambo ambayo hujaulizwa!Nikikuita mpumbavu nitakuwa nimekuvunjia heshima? Hizo bunduki huwa zinajifyatua zenyewe. Kila kitu kinaanzia padogo sana hadi kuwa kubwa. Halafu pia acha kutetea mambo ambayo nje ya JF huwezi hata kuyaongelea. Wewe hapo uso kwa uso na Afande Wambura lazima ujiharishie.
Ujanja gan wa kusaini mkataba usio na muda ? Ebu zitumien akili zenuHuyu Raisi mjanja sana kawasubiri Wanaharakati mpaka wamejaa wenyewe kama Senene halafu akawanyaka[emoji16]
Tundu Lissu alikuwa anaprovoke bila kuvuka red line[emoji38]
Kwa nchi zinazojielewa ilibid Samia awe kajiuzuru mpk sas , mkataba kasaini 2022 kapeleka bungeni 2023 , unaezaj mfutia mtu vyeti vyake kisa katumia haki yake kama raia kukosoa mkataba ,VITA NYING CHANZO NI SERIKALI ZETU ZINAZOENDESHWA NA VICHAAKweli baadhi ya vipengele baina ya serikali na DP World vinachangamoto lakini ni kipi kilichowasukuma mpaka watoe kauli za namna hiyo?
Swali lisiwe kwamba je wana uwezo wa kupindua? Swali liwe Kipi kilochowasukuma wao kutoa kauli za kuchochea kufanya mapinduzi?
Hiyo CD eshabuma ifafanuzi umeelewekaUjanja gan wa kusaini mkataba usio na muda ? Ebu zitumien akili zenu
Je ni sahihi kupuuzia maoni ya wananchi ? Kwa kuwaweka rumande? Kikatiba Samia ilibid ajiuzur maana kasaini article 30 na hatujui kama zilipitishwa sehem sahihi kuzipitia , moja ya article ni hii ya bandari , WANAOMSHABIKIA SAMAI UKIFIKA MUDA TUTARUDI HAPA KUMPONDA MAANA HAYUPO NJIA SAHIHI NA WANAMDANGANYA WATAHITAJ KURUDISHA GHARAMA ZAOHawana uwezo wakumfanya lolote wala chochote slaa ila tu hizo kauli zimewashtua na wameona wasizidharau sana.
wameamua kumchukua Slaa nakumpa kesi ambazo ki uhalisia hagohukumiwa nazo bali kapewa ili tu kuondolewa uraiani.
watamficha hadi watakapomaliza mambo yao kisha watamuachia kama walivyomuachia sabaya.
Ki ufupi hamna watachomfanya ni wameamua tu kumuondoa uraiani ili yasije yakawa kweli ayaingeayo kwahyo hyo tunaita ni Serikali imejihami mapema ila si kweli kwamba Slaaa atahukumiwa.Never.
Kaenda pumzishwa tu na kodi zetu hzi hzi zitatumika kumtunza mpaka atakapotoka nnje.
Wewe mpumbavu jaribu kutamka hivyo mbele ya watu utapata jibu la maswali yako.Nimekuuliza. Nchi inapinduliwa kwa matamshi? Wewe unazidi kuonyesha ulivyo mpumbavu kwa kuongezea mambo ambayo hujaulizwa!
Jambo la muhimu kwasababu athari zake hazitamchagua CHADEMA wala CCMSisi kama Raia wema wa Taifa hili bila kujali vyama wala itikadi zetu tuwakemee wahaini wote au wale wenye nia ya uhaini katika roho zao
Mpk sa ccmu waha uhalali gan kuwepo madarakan , kama mama alisaini mwaka jana article 30 hazijapitishwa bungen mpk hii moja ilipovuja ndo kaikimbiza bungen , wabunge hawajaupitia huu mkataba bali wameupitisha kwa NDIYOOOOO wkt mtaani huku kuna kelele kibao na wanazisikia JE HAKUNA HARUFU YA RUSHWA HAPA HATA DUBAI MKATABA UKIPELEKWA BUNGENI LZM UCHAMBULIWE KIPENGERE KWA KIPENGERE NA SIO KUWA KAMA WAIMBA SINGELI "JAMANI MKATABA WA MAMA UKIUPINGA WW NI ADUI WA MAMA " , ss hiyo kauli irudi kwako acha kuunga mkono majambaz , MPK SS ILIBID SAMIAH ASIWEPO MADARAKAN KWA ATITTUDE ALIYOONESHA KWENYE SEKESEKE HILI LA BANDARI , WATU WANAHOJI MUDA WA MKATABA , WATU WAKE WANASEMA MKATABA SIO WA MILELE WALA MIAKA 100 , WATU WANAHOJI MASLAI YETU WATU WAKE WANASEMA WAARABU WATAWEKA 26T SASA WANAOMBWA WAONESHE HIZO 26T KWENYE MKATABA HUSIKA ANABAKIA KUSEMA WAKOSOAJI WAMETUMWA MARA WANAPINGA UWEKEZAJ , YAAN DEFENDING WORDS NYING KULIKO KUJIB HOJA ZA MSINGI , KUPINDULIWA NI JAMBO MUHIMU SANA NA MUDA UTAONGEA , CCMU WAWE MAKINI NA SAMIAH ANAEZA KIUA CHAMA TAWALA KBS , HASIKILIZ WAPINZANTusipinge kwa vile tunaichukia CCM. Kama ni watu tunaopenda ukweli tusimamie ukweli.
Kauli walizozitoa kwa serikali iliyo madarakani iwe tunaipenda au laa ni kauli za kiuchochezi! Hatukatai kuna changamoto kwenye mkataba lakini kauli walizozitoa ni za gharama sana!
Vipi kama Chadema ingelishika madaraka halafu mwana CCM atamka maneno hayo serikali iliyomo madarakani ingelichukua hatua gani?
That's is out of this thread.-Nitajie Sheria specific unayoijua vizuri, nianze kukuuliza maswali
Mpk sasa serikal haijajibu swali lolote la wakosoaji , wanajibu maswali yao wenyew , ila hawawez sema mkataba wa muda ganWeka link. Kama huwezi wachana nayo, yaliyowekwa haoa yanatosha kabisa, wakili yoyote kuamuwa wana kesi ya kujibu.
Watadunda nenda rdi mahabusu na mahakamani mpaka uchunguzi ukamilike.
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Hivi mnadhania kumpindua Rais ni easy kama kumpindua mke?
Kumbe unajua tofauti ya jela na mahabusu.Concept ni GEREZA ambalo linasehemu mbalimbali,
Na kuna Magereza ya mahabusu tu, eg Chumbageni prison -tanga
Sishangai, usikute hao panya road ni kundi moja na kina Slaa na wenzake.Nasema mbagala huko panya road wanatumia bunduki ss hv , ila serikali ipo kimya kisa anaeumia sio Samia , 2025 wanakuja kutuomba kura
Hakuna watu wajinga kama CCMU kwanza huwa hawafuatilii mpk waambiwe propaganda za viongoz wao kuwa chadema wanapinga uwekezaj , chadema wanaleta uzanzibari , kuwa chadema wanapinga waarabu , CCMU NI CHAMA CHA WATU WAPUMBAV DUNIANINenda Youtube. Kama hukusikiliza ile press yake muhimu sana basi wewe hufai kujadili chochote kuhusu hili suala.