imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Usikuze mambo au source zako weka hapaPanya road wapo , ss wanatumia silaha huko mbagala , ila serikali inawafichen , mm shuhuda panya road walikwepo hata kabla ya sekeseke la kawe , ila jeshi linajuwa na lipo kimya , Ila kauli ya slaa wanajifanya wapo makini , UHUNI HUU