Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Panya road wapo , ss wanatumia silaha huko mbagala , ila serikali inawafichen , mm shuhuda panya road walikwepo hata kabla ya sekeseke la kawe , ila jeshi linajuwa na lipo kimya , Ila kauli ya slaa wanajifanya wapo makini , UHUNI HUU
Usikuze mambo au source zako weka hapa
 
Are we in this period?
snoopdogg_20230815_1.jpg
 
Mwakubusi ameyatimba, kafutwa uwakili, kajieka kwenye matatizo makubwa, hivi angetulia zake maisha yaende kama na hela anayo angepungukiwa nn? [emoji23][emoji23], Hivi nikifiria jinsi kuwa wakili ilivyokuwa ngumu, Yani upige vizuri advance, chuo uishone kwelikweli, school of law ule mtihani wao mgumu kumeza utoboe, bado uchaguliwe na judge mkuu, uoneshe juhudi uwe wakili, af kisa mambo ya serikali ufutwe uwakili...dooh!!
Watu wenye akili mbov km zko ndo mtaturudisha kweny ukolon , ebu somen historia mtoe uendawazim kdg
 
Nikikuita mpumbavu nitakuwa nimekuvunjia heshima? Hizo bunduki huwa zinajifyatua zenyewe. Kila kitu kinaanzia padogo sana hadi kuwa kubwa. Halafu pia acha kutetea mambo ambayo nje ya JF huwezi hata kuyaongelea. Wewe hapo uso kwa uso na Afande Wambura lazima ujiharishie.
Nimekuuliza. Nchi inapinduliwa kwa matamshi? Wewe unazidi kuonyesha ulivyo mpumbavu kwa kuongezea mambo ambayo hujaulizwa!
 
Huyu Raisi mjanja sana kawasubiri Wanaharakati mpaka wamejaa wenyewe kama Senene halafu akawanyaka[emoji16]

Tundu Lissu alikuwa anaprovoke bila kuvuka red line[emoji38]
Ujanja gan wa kusaini mkataba usio na muda ? Ebu zitumien akili zenu
 
Kweli baadhi ya vipengele baina ya serikali na DP World vinachangamoto lakini ni kipi kilichowasukuma mpaka watoe kauli za namna hiyo?

Swali lisiwe kwamba je wana uwezo wa kupindua? Swali liwe Kipi kilochowasukuma wao kutoa kauli za kuchochea kufanya mapinduzi?
Kwa nchi zinazojielewa ilibid Samia awe kajiuzuru mpk sas , mkataba kasaini 2022 kapeleka bungeni 2023 , unaezaj mfutia mtu vyeti vyake kisa katumia haki yake kama raia kukosoa mkataba ,VITA NYING CHANZO NI SERIKALI ZETU ZINAZOENDESHWA NA VICHAA
 
Hawana uwezo wakumfanya lolote wala chochote slaa ila tu hizo kauli zimewashtua na wameona wasizidharau sana.

wameamua kumchukua Slaa nakumpa kesi ambazo ki uhalisia hagohukumiwa nazo bali kapewa ili tu kuondolewa uraiani.

watamficha hadi watakapomaliza mambo yao kisha watamuachia kama walivyomuachia sabaya.

Ki ufupi hamna watachomfanya ni wameamua tu kumuondoa uraiani ili yasije yakawa kweli ayaingeayo kwahyo hyo tunaita ni Serikali imejihami mapema ila si kweli kwamba Slaaa atahukumiwa.Never.

Kaenda pumzishwa tu na kodi zetu hzi hzi zitatumika kumtunza mpaka atakapotoka nnje.
Je ni sahihi kupuuzia maoni ya wananchi ? Kwa kuwaweka rumande? Kikatiba Samia ilibid ajiuzur maana kasaini article 30 na hatujui kama zilipitishwa sehem sahihi kuzipitia , moja ya article ni hii ya bandari , WANAOMSHABIKIA SAMAI UKIFIKA MUDA TUTARUDI HAPA KUMPONDA MAANA HAYUPO NJIA SAHIHI NA WANAMDANGANYA WATAHITAJ KURUDISHA GHARAMA ZAO
 
Tusipinge kwa vile tunaichukia CCM. Kama ni watu tunaopenda ukweli tusimamie ukweli.

Kauli walizozitoa kwa serikali iliyo madarakani iwe tunaipenda au laa ni kauli za kiuchochezi! Hatukatai kuna changamoto kwenye mkataba lakini kauli walizozitoa ni za gharama sana!

Vipi kama Chadema ingelishika madaraka halafu mwana CCM atamka maneno hayo serikali iliyomo madarakani ingelichukua hatua gani?
Mpk sa ccmu waha uhalali gan kuwepo madarakan , kama mama alisaini mwaka jana article 30 hazijapitishwa bungen mpk hii moja ilipovuja ndo kaikimbiza bungen , wabunge hawajaupitia huu mkataba bali wameupitisha kwa NDIYOOOOO wkt mtaani huku kuna kelele kibao na wanazisikia JE HAKUNA HARUFU YA RUSHWA HAPA HATA DUBAI MKATABA UKIPELEKWA BUNGENI LZM UCHAMBULIWE KIPENGERE KWA KIPENGERE NA SIO KUWA KAMA WAIMBA SINGELI "JAMANI MKATABA WA MAMA UKIUPINGA WW NI ADUI WA MAMA " , ss hiyo kauli irudi kwako acha kuunga mkono majambaz , MPK SS ILIBID SAMIAH ASIWEPO MADARAKAN KWA ATITTUDE ALIYOONESHA KWENYE SEKESEKE HILI LA BANDARI , WATU WANAHOJI MUDA WA MKATABA , WATU WAKE WANASEMA MKATABA SIO WA MILELE WALA MIAKA 100 , WATU WANAHOJI MASLAI YETU WATU WAKE WANASEMA WAARABU WATAWEKA 26T SASA WANAOMBWA WAONESHE HIZO 26T KWENYE MKATABA HUSIKA ANABAKIA KUSEMA WAKOSOAJI WAMETUMWA MARA WANAPINGA UWEKEZAJ , YAAN DEFENDING WORDS NYING KULIKO KUJIB HOJA ZA MSINGI , KUPINDULIWA NI JAMBO MUHIMU SANA NA MUDA UTAONGEA , CCMU WAWE MAKINI NA SAMIAH ANAEZA KIUA CHAMA TAWALA KBS , HASIKILIZ WAPINZAN
 
Hatujafikia hatua ya mapinduzi ni bado sana watu wanafikiri kumuondoa raisi ni rahisi? Labda jwtz wawasaidie
 
-Nitajie Sheria specific unayoijua vizuri, nianze kukuuliza maswali
That's is out of this thread.
Hapa tunajadili huyu mhalifu Dr Slaa . Huyu lzm akamatwe na mwisho ni Kunyongwa.
Ukitaka kujifunza kitu kutoka kwangu anzisha uzi kisha nialike tujadili hayo maswali yako.
Ahsanta
 
Weka link. Kama huwezi wachana nayo, yaliyowekwa haoa yanatosha kabisa, wakili yoyote kuamuwa wana kesi ya kujibu.

Watadunda nenda rdi mahabusu na mahakamani mpaka uchunguzi ukamilike.
Mpk sasa serikal haijajibu swali lolote la wakosoaji , wanajibu maswali yao wenyew , ila hawawez sema mkataba wa muda gan
 
Concept ni GEREZA ambalo linasehemu mbalimbali,
Na kuna Magereza ya mahabusu tu, eg Chumbageni prison -tanga
Kumbe unajua tofauti ya jela na mahabusu.
Sasa ulikuwa unabisha kwa faida gani.

Acheni kupoteza muda humu vijana.
Kuna mambo muhimu ya kufanya .
 
Nasema mbagala huko panya road wanatumia bunduki ss hv , ila serikali ipo kimya kisa anaeumia sio Samia , 2025 wanakuja kutuomba kura
Sishangai, usikute hao panya road ni kundi moja na kina Slaa na wenzake.
 
Nenda Youtube. Kama hukusikiliza ile press yake muhimu sana basi wewe hufai kujadili chochote kuhusu hili suala.
Hakuna watu wajinga kama CCMU kwanza huwa hawafuatilii mpk waambiwe propaganda za viongoz wao kuwa chadema wanapinga uwekezaj , chadema wanaleta uzanzibari , kuwa chadema wanapinga waarabu , CCMU NI CHAMA CHA WATU WAPUMBAV DUNIANI
 
Back
Top Bottom