Clip ninayo na nimeiweka humu zaidi ya mara moja as evidence.Maalim kama wewe unapotosha? Wapi kwenye interview aliulizwa EXTREME MEASURES? Aliulizwa HATUA GANI WANANCHI WANAWEZA TUMIA? Ndio akasema KUNA (means suggestions) HATUA EXTREME kama KUPINDUA serikali.
Sasa wapi hayo maneno unayo quote humo kwenye hiyo kivideo Cha sekunde 9 yamewekwa?
Ni ajabu sana Mwanazuoni kama wewe mwenye heshima kubwa humu JF Kuongea maneno ya uongo. Mbaya zaidi umekuja kwa gia ya udini maana enzi za JPM ulikimbia JF.
sasa ndugui hata ungekuwa boya kiasi gani au uwe hunan akili kiasi gani kweli hapo wameongelea bandari? wao wameongelea kupindua nserilaki muwe mnasoma na kuelewa basi msikulupuke tu hao ni wahaini sasa ulitaka wajibiwe nini kuhusu kupindua serikali zaidi ya kukamatwa wakaeleze wametumwa na nani
achana nae huyo, ukisha ona mtu analeta udini kwenye constructive argument basi ujue akili ni finyuClip ninayo na nimeiweka humu zaidi ya mara moja as evidence.
Sasa vipi nidanganye wakati mimi mwenyewe nimeweka hio clip humu ndugu?
Hebu sikiliza vizuri hio clip
Kuna majeshi ya Kanisa,inaamana hujui kama Kanisa lipo nyuma ya huu Mpango?Huenda kuna vikosi keshaviandaa huyo Mzee aseme vizuri.
Majeshi yetu yana nidhamu ya hali yajuu hayawezi kumsikiliza huyu Babu aliyechanganyikiwa.
Slaa CCM, mwambukusi NCCR Mageuzi, mdude CDMKwani hao ni chama gani cha siasa?
Mahakama imesema wapi kuwa Katiba imevunjwa!ipo clip wanayosema hivyo?
Kama ipo, basi linaweza liwe ni kosa kwa mujibu wa sheria, kwamba wamevunja sheria.
Ishu ipo clear, kama wameyasema hayo ni katika mwendelezo wao wa kupinga ubovu wa mkataba. Swali ni kwamba, wale waliovunja katiba kulingana na huo mkataba, wao wamechukuliwa hatua ipi? Polisi wapo wapi wa kuwakamata waliosaini mkataba mbovu uliovunja katiba? A sheria zetu tunaangalia nani kuvunja sheria ndio achukuliwe hatua na nani kavunja ndiyo aachwe?
Kama wametamka hivyo kweli, sheria inakata wao kutenda hilo kosa la uhaini la kumpindua rais ndiyo iiwe kosa, au sheria inasema hata kutamka? Maana kusema na kutenda ni vitu viwili tofauti. Serikali ina vyombo vyote vya kumlinda rais, imejihakikishia hatua zipi za uhaini zimefanyika ili kuthibitisha nia ya hao jamaa.
Wewe unayetaka kila mtu aadhibiwe, mara nyingi kama unanafasi mahali ya kikazi, upo kwa kubebwa sio kwa uwezo wako.
Hapana ndugu. Huyu Mr Zitto huenda kasikia vibayaachana nae huyo, ukisha ona mtu analeta udini kwenye constructive argument basi ujue akili ni finyu
Una maana Salvation Army?Kuna majeshi ya Kanisa,
Unawaita Magaidi wa kiarabu kwa kuwa umemezeshwa hayo maneno kwenye Parokia yenu,mnaupinga mkataba kwa sababu za kidini badala ya kutumia akili kufanya reasoningIle aliyofanya wakati wanatoa tamko la Samia kukabidhi sovereignty yetu kwa magaidi wa kiarabu. Itafute Youtube.
Usiseme chadema kushika madaraka.Tusipinge kwa vile tunaichukia CCM. Kama ni watu tunaopenda ukweli tusimamie ukweli.
Kauli walizozitoa kwa serikali iliyo madarakani iwe tunaipenda au laa ni kauli za kiuchochezi! Hatukatai kuna changamoto kwenye mkataba lakini kauli walizozitoa ni za gharama sana!
Vipi kama Chadema ingelishika madaraka halafu mwana CCM atamka maneno hayo serikali iliyomo madarakani ingelichukua hatua gani?
Usiseme chadema kushika madaraka.Tusipinge kwa vile tunaichukia CCM. Kama ni watu tunaopenda ukweli tusimamie ukweli.
Kauli walizozitoa kwa serikali iliyo madarakani iwe tunaipenda au laa ni kauli za kiuchochezi! Hatukatai kuna changamoto kwenye mkataba lakini kauli walizozitoa ni za gharama sana!
Vipi kama Chadema ingelishika madaraka halafu mwana CCM atamka maneno hayo serikali iliyomo madarakani ingelichukua hatua gani?
Unawaita Magaidi wa kiarabu kwa kuwa umemezeshwa hayo maneno kwenye Parokia yenu,mnaupinga mkataba kwa sababu za kidini badala ya kutumia akili kufanya reasoning
Acha uongo bhana.....Kutamka tu neno uhaini kwenye vyombo vya habari amefanya kosa kubwa sana
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Ku suggest wananchi wanaweza pindua serikali ndio sawa na kusema NITAIPINDUA serikali au TUIPINDUE serikali? Then kupindua serikali sio maneno ni vitendo. Kesi yake hapo ni uchochezi Wala sio uhaini ni kupotezea watu muda tu.Clip ninayo na nimeiweka humu zaidi ya mara moja as evidence.
Sasa vipi nidanganye wakati mimi mwenyewe nimeweka hio clip humu ndugu?
Hebu sikiliza vizuri hio clip
Bro labda hujui sheria inasema nini kuhusu Suala la UHAINI.Ku suggest wananchi wanaweza pindua serikali ndio sawa na kusema NITAIPINDUA serikali au TUIPINDUE serikali? Then kupindua serikali sio maneno ni vitendo. Kesi yake hapo ni uchochezi Wala sio uhaini ni kupotezea watu muda tu.
Samia alianza vizuri ila akiendekeza huu upuuzi wa JPM atavuna alichopanda sio muda mrefu maana Hana ushawishi Wala political base so kuwa eliminated is easier than his predecessor.
Duh... kumbe Dr. Mihogo alisema kweli...View attachment 2718158
Babu mtondoo ataubeba sana