Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Huyu Raisi mjanja sana kawasubiri Wanaharakati mpaka wamejaa wenyewe kama Senene halafu akawanyaka[emoji16]

Tundu Lissu alikuwa anaprovoke bila kuvuka red line[emoji38]

Angekuwa mjanja asingegawa bandari zetu kwa waarabu kwa mikataba ya hovyo ya akina Chief Mangungo
 
Yaani nyie mbwa koko kiama chenu kinakuja huyo atabaki kuwa Rais wa mpito apende asipende ni wa mpito tu. Akili zenu matope tupu
 
Mnajua jinsi serikali zinavyopinduliwa? Serikali inapinduliwa kwenye press conference au kwenye group la whatsapp? Unamjua Desire Laurent Kabila? Unajua Mu7 alivyopindua serikali Uganda? Hao walipindua kwenye press conference?
Sasa si waseme tu kuwa walikua wanaitania serikali isichukulie mambo kwa uzito wake basi yaishe au unaonaje King Kong III ?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo script uweje iibuke leo baada ya Dr. Slaa kubambikiwa kesi ya uhaini? mbona hatukuwahi kuisikia kabla ya hapo? Msitufanye wajinga.
 
Ilikuwa ni press conference na wamekata sehemu kubwa ya alichokuwa anaelezea ili lengo lao lifanikiwe. Kuna mtu anapanga kupindua serikali kwa kuitisha press?
Wapuuzi kweli hawa jamaa, halafu wanadhani tutadanganyika kwa huu uongo wao.
 
Ingekuwa ni serikali iliyoko madarakani kwa uchaguzi halali ungekuwa na hoja, sio kwa uhayawani ule wa 2020.

Kwa sasa ni bora yatokee machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi maana box la kura linaishia kuingiza wezi madarakani.
Mbona unachanganya mada mzee au umechangayikiwa?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Aliongea hayo akiwa wapi..,
 
Angekuwa mjanja asingegawa bandari zetu kwa waarabu kwa mikataba ya hovyo ya akina Chief Mangungo

Uwelezaji sio ugawaji na Maraisi wote wameingia mikataba au mikopo yenye walakini hata Raisi mstaafu Kikwete kaliongelea hilo

Sio kupendekeza kuwa apinduliwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…