Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Umeongea jambo la maana sana.

Chadema isitumiwe kuwa chanzo cha machafuko nchini.
Huyu Slaa anatakiwa kunyongwa haraka sana ili wengine wajifunze adabu.
  • kwa akili Yako ndogo, umeonyesha jinsi ulivyo mbumbumbu.
  • Dr slaa hawezi kunyongwa haraka kwa sababu, anayo haki ya kujitetea na kujibu tuhuma zinazomkabili, hawezi kunyongwa haraka haraka kama unavyofikiri kwa akili Yako ndogo
  • Tena anayo haki ya kutetewa na Wakili/Mawakili, ana haki ya kukata rufaa Mahakama ya rufaa, na hata asiporidhishwa na uamuzi wa Mahakama ya rufaa anaweza kuomba Marejeo/Review
 
Nyie kutukana ni ibada kwenu. We tukana lkn sisi tunamtaka huyu muhalifu akamatwe awekwe ndani.
Tutampeleka mahakamani atajitetea lkn mwisho wa siku hana jinsi lzm wamnyonge.
Ametamka wazi kabisa kuwa km serikali itakataa kupitisha matakwa basi itemise extremely measures akaulizwa km ipi? Akajibu KUPINDUA SERIKALI.

Sasa huyu fisi wacha ao
 
WANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi

"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"

"Sasa hivi bado tunatumia mabomu ya mikono, bado hatujaanza kufungua silaha zenyewe za maangamizi, muda sio mrefu tutawafuata walipo tukiwa tumekamilika"

"Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"
Maneno mazito sana kutamkwa na mtu mwenye hadhi ya Balozi. Huwa nilifahamu kuwa mtu anayepewa hadhi ya Balozi anapewa na ABC za diplomasia. Mzee huyu ovyo kabisa kutokea kwenye ulimwengu wa sasa. Hayo maneno yanamuachaje salama hata kama alikuwa anatania au ana stree za mke!
 
  • kwa akili Yako ndogo, umeonyesha jinsi ulivyo mbumbumbu.
  • Dr slaa hawezi kunyongwa haraka kwa sababu, anayo haki ya kujitetea na kujibu tuhuma zinazomkabili, hawezi kunyongwa haraka haraka kama unavyofikiri kwa akili Yako ndogo
  • Tena anayo haki ya kutetewa na Wakili/Mawakili, ana haki ya kukata rufaa Mahakama ya rufaa, na hata asiporidhishwa na uamuzi wa Mahakama ya rufaa anaweza kuomba Marejeo/Review
Nyie kutukana ni ibada kwenu. We tukana lkn sisi tunamtaka huyu muhalifu akamatwe awekwe ndani.
Tutampeleka mahakamani atajitetea lkn mwisho wa siku hana jinsi lzm wamnyonge.
Ametamka wazi kabisa kuwa km serikali itakataa kupitisha matakwa basi itemise extremely measures akaulizwa km ipi? Akajibu KUPINDUA SERIKALI.

Sasa huyu fisi wacha aone faida ya kiburi
 
Nyie kutukana ni ibada kwenu. We tukana lkn sisi tunamtaka huyu muhalifu akamatwe awekwe ndani.
Tutampeleka mahakamani atajitetea lkn mwisho wa siku hana jinsi lzm wamnyonge.
Ametamka wazi kabisa kuwa km serikali itakataa kupitisha matakwa basi itemise extremely measures akaulizwa km ipi? Akajibu KUPINDUA SERIKALI.

Sasa huyu fisi wacha ao
-unasema mtampeleka mahakamani, halafu wewe mwenyewe unatoa hukumu kuwa lazima wamnyonge? wewe ni Jaji? huoni kuwa unaingilia Uhuru wa mahakama?
-Kwani kupinga mipango ya serikali ni kosa?
 
- halafu kesi haisikilzwi na majaji ni jaji mmoja tu, except kesi za kikatiba tu

- tumia akili kidogo, kesi ya uhaini anayetaka kupinduliwa ni Rais, na huyo impliedly ndio mlalamikaji,

Ulishamsikia Rais katia lake?
 
Nimeviona Visichana huko TikTok vinaimba kwaya halafu vinamtukana Raisi Samia Suluhu Hassan hivi ni nani yuko nyuma ya hizo clips?.

Hoja kwa hoja matusi ya nini?
 
-unasema mtampeleka mahakamani, halafu wewe mwenyewe unatoa hukumu kuwa lazima wamnyonge? wewe ni Jaji? huoni kuwa unaingilia Uhuru wa mahakama?
-Kwani kupinga mipango ya serikali ni kosa?
Nadhani hujaelewa kipi kinaongelewa hapa.
Dr Slaa ametamka wazi kuwa kama serikali haitokubali matakwa ya watu lzm zitumike "EXTREMELY MEASURES" Akaulizwa na muhandisj wa habari " EXTREMELY measures kama zipi? Slaa akajibu "KUPINDUA SERIKALI.
Hio kauli peke yake hata kabla ya kuitekeleza tayari ni KOSA LA UHAINI.
NA Kosa la UHAINI Tanzania HUKUMU YAKE NI KIFO.
Sio jela tena.

Someni sheria za nchi kabla ya kulalamika.
 
Kumpindua Rais siyo kitu rahisi kama kupindua Sahani iliyojaa Makange ya Kitimoto. Kuweni serious sometimes
Kumbe nyie mna tabia ya kupindua hivyo vitimoto na maharage kila mara sio?
Sasa Slaa wakati anasubiri kunyingwa atapewa maharage tu. Kitimoto jela hakuna.
 
Nyie mnaopiga kelele za kumtetea SLAA Someni sheria ya kosa la UHANI na HUKUMU YAKE.
 
Attachments

  • IMG-20230815-WA0003.jpg
    IMG-20230815-WA0003.jpg
    74.8 KB · Views: 1
Nadhani hujaelewa kipi kinaongelewa hapa.
Dr Slaa ametamka wazi kuwa kama serikali haitokubali matakwa ya watu lzm zitumike "EXTREMELY MEASURES" Akaulizwa na muhandisj wa habari " EXTREMELY measures kama zipi? Slaa akajibu "KUPINDUA SERIKALI.
Hio kauli peke yake hata kabla ya kuitekeleza tayari ni KOSA LA UHAINI.
NA Kosa la UHAINI Tanzania HUKUMU YAKE NI KIFO.
Sio jela tena.

Someni sheria za nchi kabla ya kulalamika.
-hapo bado haitoshi kuthibitisha Uhaini,
-alisema kupindua serikali, kwa maandamano, na alisema yy atajiunga kwenye hayo maandamano,
- Swali ni je kuandamana ni kosa? watu wanaoandamana Kuipinga serikali/mipango ya serikali ni kosa?
-mimi Sheria nazijua kuliko wewe
 
Back
Top Bottom