King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
😀😀😀😀😀 nimekimbia huko ,kazi ya ujenzi saidia fundi NHC nyumba za bei nafuu hapo kwa mwamposa nimeimaliza ,kwasasa nimerudi minjingu nachoma mkaa.DODOMA - Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk Stergomena Tax ameliambia bunge kuwa haIi ya usaIama wa mpaka wa Tanzania na Msumbiji wenye urefu wa kiIomita 922.76, haitabiriki kutokana na mashambuIizi yanayofanywa na kundi Ia kigaidi Ia Ansar Al Sunna Wal Jamaah (AASWJ).
Chanzo: habarileo_tz
Anzeni na huyu Mmoja wao ambaye pia ni Rafiki yangu mkubwa sana hapa JamiiForums Afande King Kong III sawa?
Magaidi sio ya kupugana nayo msituni,mana gaidi anaweza kuwa hata jirani yako,hapo unachotakiwa ni mbinu za kiintelijensia kuwanasas mmoja baada ya mwingine..hasa misikitini ndio huwa ni kambi zao.Wapeleke kambi huko mipakani wapungue huko Lugalo mjini na baadhi ya kambi zingine wakafanye kazi za Kitaifa...
Mkuu funguka vzuriSouthern Tanzania, ni chini ya 1000km to Dar es salaam na unahitaji kuvuka mikoa miwili kufikia Dar es salaam, Mtwara na Lindi ni Miji ya Bandari.
RPF wako huko pia lakini pia kuna investment za Ufaransa huko.
Hizi sio project za week na siku mbili hapana bali ni projects za muda mrefu kwa watu wenye mipango ya muda mrefu.
M23 in DRC wako busy kidogo na wametuweka busy kidogo huko while RPF wako kusini wakilinda amani.
Nimekumbuka war of the midway, Japs Vs Yankees pale Pacific, initial fake punch ya Japs ilikuwa attacking America from Alaska.
Adui yuko mlangoni.
"I will hit at the right time and place".
Project no ________.
Huhitaji kuwa code cracker au senior officer kuelewa, bila shaka imeeleweka.
DuuhWapambane, sio kila siku kupambana na chadema
WAPO WANAOUMIA SANA NCHI YETU KUWA NA UTULIVU HIVYO WANAPLOT UJINGA HUU, MAADUI WACHACHE WA NDANI YA TAIFA, WAKISAIDIANA NA WANNJE / IJENGWE AINA YA FENCE FULANI SIO LAZIMA KUTA, ZIPO FENCE ZA SENYENGE NGUMU KAMA ZINAZOTUMIKA AMERIKA,. KWENYE OFICIAL BOARDER KUNAKUWA NA ULINZI SAFI.Kuna Siri kubwa sana,kwa kinacho endelea uko.
Ebwanaeh hii comment infikie Ritz na bi ajuza.Magaidi sio ya kupugana nayo msituni,mana gaidi anaweza kuwa hata jirani yako,hapo unachotakiwa ni mbinu za kiintelijensia kuwanasas mmoja baada ya mwingine..hasa misikitini ndio huwa ni kambi zao.
Ukiwaona magaidi kamwe hutaamini.Tulishauri serikali usiwaachie wale magaidi wa uamsho
Magaidi wa Msumbiji wapo msituni wanavamia vijijiji na kuua raia au ukipita na gari wanakuzuia na kukuteka huko...wiki kadhaa zilizopita wamevamia baadhi ya vijiji huko Msumbiji ndio maana Waziri katoa kauli hii..Magaidi sio ya kupugana nayo msituni,mana gaidi anaweza kuwa hata jirani yako,hapo unachotakiwa ni mbinu za kiintelijensia kuwanasas mmoja baada ya mwingine..hasa misikitini ndio huwa ni kambi zao.
Wanaonekana wapi msumbij au TZ?na hata maiti na majeruhi wengi tu kutoka huko zinaonekana au wanaonekana katika moja ya hospitali yao kubwa
Wapeleke kambi huko mipakani wapungue huko Lugalo mjini na baadhi ya kambi zingine wakafanye kazi za Kitaifa...
Mmegeukana cc MahondawSiyo kila siku kusifiana kwa sifa za uongo....