Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

Sura ya Majini katika Quran huwa ina maana ipi katika uislam
 
Sura ya Majini katika Quran huwa ina maana ipi katika uislam
Ni jina tu kwasababu ndani yake kuna habari kidogo kuhusu hao majini, ni kama suratu nnisaa sura ya wanawake, suuratu maryam kwasababu ndani yake kuna habari za mama yake masihi issa mwana wa maryam amani iwe juu yake, na nyingine nyingi, kuna suuratul baqarah kwasababu ndani yake kuna habari za ng'ombe aliyefanywa mtihani kwa wana wa israeli, so ni jina tu hakuna siri yeyote ni sura kama sura nyinginezo.

Sema: Imefunuliwa kwangu ya kwamba kundi moja katika majini liliisikia {Qur'an}, basi wakasema "hakika sisi tumeisikia Qur'an ya ajabu!."

Inaongoza kwenye uongofu basi tumeiamini, na wala hatutamshirikisha mola wetu na yeyote.

Na kwa hakika utukufu wa mola wetu umetukuka kabisa! hakujifanyia mke wala mtoto.

Qur'an 72:1-3

Mpaka mwisho wa sura.

Hiyo ndiyo suuratul jinn majini wenyewe wanasema hawatofanya ushirikina, halafu mtu anaibuka anasema inafaa kuwaomba majini mali, hao ni mashetani marafiki zao.
 


MTUME ALIROGWA? WEWE SHEIKH UNAONGEAJE MANENO HAYA. MTUME ALIROGWA? KABISA UNAANDIKA HAYA?
 
Kuyapata hayo majini ni kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano, namaanisha majini ya utajiri achana na majini mabaya ya maradhi na umasikini.

Kwenye watu elfu kumi mnaweza msikizi vigezo wote vya kuyapata
Hayo majini ya utajiri yanakupa vitu gani na yanavitoa wapi?
 
MTUME ALIROGWA? WEWE SHEIKH UNAONGEAJE MANENO HAYA. MTUME ALIROGWA? KABISA UNAANDIKA HAYA?
Alirongwa ndiyo na myahudi aliyejulikana kama Ibn A'sam al-Yahudl aliyekuwa anatokea kabila wa banu zurayqa, na ndiyo sababu zikashuka sura tatu za mwisho kwenye mushaf (surat-nas, falaq na ikhlas).

Ushahidi ni hadithi hii hapa

Hadith

"حَدَّثَنَا إِبْرَاهِيمُ بْنُ مُوسَى، أَخْبَرَنَا عِيسَى بْنُ يُونُسَ، عَنْ هِشَامٍ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَائِشَةَ ـ رضى الله عنها ـ قَالَتْ سَحَرَ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم رَجُلٌ مِنْ بَنِي زُرَيْقٍ يُقَالُ لَهُ لَبِيدُ بْنُ الأَعْصَمِ، حَتَّى كَانَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم يُخَيَّلُ إِلَيْهِ أَنَّهُ يَفْعَلُ الشَّىْءَ وَمَا فَعَلَهُ، حَتَّى إِذَا كَانَ ذَاتَ يَوْمٍ أَوْ ذَاتَ لَيْلَةٍ وَهْوَ عِنْدِي لَكِنَّهُ دَعَا وَدَعَا ثُمَّ قَالَ ‏"‏ يَا عَائِشَةُ، أَشَعَرْتِ أَنَّ اللَّهَ أَفْتَانِي فِيمَا اسْتَفْتَيْتُهُ فِيهِ، أَتَانِي رَجُلاَنِ فَقَعَدَ أَحَدُهُمَا عِنْدَ رَأْسِي، وَالآخَرُ عِنْدَ رِجْلَىَّ، فَقَالَ أَحَدُهُمَا لِصَاحِبِهِ مَا وَجَعُ الرَّجُلِ فَقَالَ مَطْبُوبٌ‏.‏ قَالَ مَنْ طَبَّهُ قَالَ لَبِيدُ بْنُ الأَعْصَمِ‏.‏ قَالَ فِي أَىِّ شَىْءٍ قَالَ فِي مُشْطٍ وَمُشَاطَةٍ، وَجُفِّ طَلْعِ نَخْلَةٍ ذَكَرٍ‏.‏ قَالَ وَأَيْنَ هُوَ قَالَ فِي بِئْرِ ذَرْوَانَ ‏"‏‏.‏ فَأَتَاهَا رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم فِي نَاسٍ مِنْ أَصْحَابِهِ فَجَاءَ فَقَالَ ‏"‏ يَا عَائِشَةُ كَأَنَّ مَاءَهَا نُقَاعَةُ الْحِنَّاءِ، أَوْ كَأَنَّ رُءُوسَ نَخْلِهَا رُءُوسُ الشَّيَاطِينِ ‏"‏‏.‏ قُلْتُ يَا رَسُولَ اللَّهِ أَفَلاَ أَسْتَخْرِجُهُ قَالَ ‏"‏ قَدْ عَافَانِي اللَّهُ، فَكَرِهْتُ أَنْ أُثَوِّرَ عَلَى النَّاسِ فِيهِ شَرًّا ‏"‏‏.‏ فَأَمَرَ بِهَا فَدُفِنَتْ‏.‏ تَابَعَهُ أَبُو أُسَامَةَ وَأَبُو ضَمْرَةَ وَابْنُ أَبِي الزِّنَادِ عَنْ هِشَامٍ‏.‏ وَقَالَ اللَّيْثُ وَابْنُ عُيَيْنَةَ عَنْ هِشَامٍ فِي مُشْطٍ وَمُشَاقَةٍ‏.‏ يُقَالُ الْمُشَاطَةُ مَا يَخْرُجُ مِنَ الشَّعَرِ إِذَا مُشِطَ، وَالْمُشَاقَةُ مِنْ مُشَاقَةِ الْكَتَّانِ‏.‏"

Narrated `Aisha:
A man called Labid bin al-A'sam from the tribe of Bani Zaraiq worked magic on Allah's Messenger (ﷺ) till Allah's Messenger (ﷺ) started imagining that he had done a thing that he had not really done. One day or one night he was with us, he invoked Allah and invoked for a long period, and then said, "O `Aisha! Do you know that Allah has instructed me concerning the matter I have asked him about? Two men came to me and one of them sat near my head and the other near my feet. One of them said to his companion, "What is the disease of this man?" The other replied, "He is under the effect of magic.' The first one asked, 'Who has worked the magic on him?' The other replied, "Labid bin Al-A'sam.' The first one asked, 'What material did he use?' The other replied, 'A comb and the hairs stuck to it and the skin of pollen of a male date palm.' The first one asked, 'Where is that?' The other replied, '(That is) in the well of Dharwan;' " So Allah's Messenger (ﷺ) along with some of his companions went there and came back saying, "O `Aisha, the color of its water is like the infusion of Henna leaves. The tops of the date-palm trees near it are like the heads of the devils." I asked. "O Allah's Messenger (ﷺ) ? Why did you not show it (to the people)?" He said, "Since Allah cured me, I disliked to let evil spread among the people." Then he ordered that the well be filled up with earth.

Sahih

Sahih al-Bukhari, 5763
In-Book Reference: Book 76, Hadith 77
USC-MSA web (English) reference: Vol. 7, Book 71, Hadith 658 (deprecated numbering scheme)

Kuna hekima kwa kilichomtokea mtume wa allah (subhana huwataala) na yote ni ili tujifunze kinga kutokana na sihri .

Sanadi ya hadithi hiyo ni hii hapa.
 

Attachments

  • Screenshot_20240520_195213.jpg
    288.1 KB · Views: 2
Mn elimu ndogo sana kuhusu masuala ya dinim namjua nabii suleiman au Solomon?
 


AISEEEE.....




AISEEE..... NIMESHTUKA SANA. KUMBE INABIDI KUWACHUKIA SABA MAYAHUDI NA KUWAPENDA MAARABU. WALIMROGA MTUME?
 
Ogopa mtu shuleless halafu aliyekulia maisha magumu akatoboa uswahilini tutakoma kwa mbwembe ,showoff na mipasho...

Huyo jamaa anatrend sana na wakeze hao wanne.

Huawezi kumkuta Riz1 anafanya Showoff ,juzi nimemuona na mwijaku(Clip) kavaa kanzu yupo simple sana hapo hotelini Dodoma.
 
Kuyapata hayo majini ni kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano, namaanisha majini ya utajiri achana na majini mabaya ya maradhi na umasikini.

Kwenye watu elfu kumi mnaweza msikizi vigezo wote vya kuyapata
Ukiisomea elimu ya dini ya uislamu utaishia kuwa mganga wa majini au wa tiba asili
 
Unamzungumzia mtu ambae anarudisha uchumi wa nchi nyuma??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AISEEEE.....





AISEEE..... NIMESHTUKA SANA. KUMBE INABIDI KUWACHUKIA SABA MAYAHUDI NA KUWAPENDA MAARABU. WALIMROGA MTUME?
Jua kutofautisha kati ya muarabu na uislamu , uislamu haukuja kwa ajili ya waarabu ulikuja kwa ajili ya dunia nzima kuifundisha tawhid iliyokamilika kwa dunia nzima na mataifa yote our majesty and master Allah(the almighty ) aliamua kumchagua mtume kutokea katika kabila la waarabu ambaye bloodline yake inarudi tokea kwa nabii ibrahim (alayhi salaam) kama alivyochagua mitume kutoka mataifa mbali mbali hapo kabla. Niwataje kwa uchache idrisa (alayhi salaam) kwa watu wa ukoo wa qabil, ibrahim (alayhi salaam) kwa watu wa uru wa wakaldayo/ur of chaldea (babylon iraq), Hud (alayhi salaam ) kwa watu wa ad , swaleh (alayhi salaam) kwa watu wa thamud ,isa (alayhi salaam) kwa watu wa israil na muhammad (swalalahu alayhi wasaalam) kwa ulimwengu mzima kwa maana yeye ni kifungo cha utume.

Kusema muislamu anamchukia muisraeli ni very subjective term and loosely used , siwezi kukulaumu labda ndivyo ulivyokaririshwa tokea utotoni but my advice usiwe unaongea vitu bila ya kuwa na solid evidence kwanza , muslims and jews (orthodox jews) wamekuwa wakiishi kwa pamoja miaka mingi tu bila ya shida yeyote but things escalated quickly when zionists started their evil ethnicity cleansing fighting war without clear aim .

Jua kwamba kila kitu kina sababu na kulogwa kwa mtume muhammad (swalalahu alayhi wasalaam) kulikuwa na sababu pia, Allah( subhana huwataala) aliruhusu itokee na akamponya kwa muda aliotaka yeye pia ili tupate funzo .

NA ALLAH ANAJUA ZAIDI
 
Unamzungumzia mtu ambae anarudisha uchumi wa nchi nyuma??

Sent using Jamii Forums mobile app
Nazungumzia Showoff za waliokulia maisha magumu halafu shulessless waliotoboa vs waliokulia masha mazuri halafu wakaendeleza mali za wazee ,viongozi wote ni wapigaji mkuu ilo halipingiki sio huyo tu ni wote mafisadi wanatupiga na kurudisha nyuma maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…