Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

Kwa hiyo Mungu anaweza kughadhabika?
 
Ndugu mwandishi utanisamehe! ukijua ulichoandika mind yko pia imekulimit hivyo bas utajua harmonize nae alkuwa limited mind kuandika vile
 
Kwa hiyo Mungu anaweza kughadhabika?
Ndio anaweza kughadhibika kwa kutokufata kile alichotuamrisha ima kwa makusudi ama kiburi.
Ila haendeshwi na ghadhabu zake.
Ndio maana licha ya madhambi tunayofanya bado tupo hai.
Ila wewe ukikosewa mara mbili tatu umesha take action na kumchukia mtu generally.
 
Mwanadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu 'Mwanzo 1:26'
Mwanadamu anaweza kua mwanamke au mwanaume

Anayepinga kauli ya Harmonize aende akamlete Mungu na atudhibitishie kua ana jinsia ya Kiume
Tusiwe watu wenye limited mind...!
Kwanza inabidi wewe ututhibitishie kama mwanadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu


Ukithibitisha Hilo na jibu la swali lako utakuwa ushalipata
 
Well said mkuu. 100% correct
 
Kuna majitu humu yanajifanya maatheist, hayaamini uwepo wa Mungu


Lakini wanakaza mafuvu kumsapoti Harmonize


Kuweni na msimamo basi
 
Hivi unakijua unacho kisema mkuu? Ukishasema Mungu anaweza kukasirika maana yake tayari unakuwa umemtoa kwenye uungu. Kwanini? Kwa sababu HASIRA = A VERY STRONG DISLIKE OR HATRAGE OVER A THING + DIS APPOINTMENT.


Ili nikukasirikie ni lazima nisiwe na foreknowledge ya kile utakacho enda kukifanya.

Mfano wewe ni mtoto wangu nimekupa ada ukalipe shule wewe ukapeleka hela yoyote studio halafu nikaitwa shuleni unadaiwa ada nikigundua ulicho kifanya nitakasirika.

Sasa Unaposema kwamba Mungu anaweza kukasirika maana yake ni kwamba unasema " Mungu anaweza kuwa surprised ( kwamba kuna baadhi ya mambo hajui kama yatatokea + Mungu anaweza kuwa taken away by emotions) something which is wrong
 
Wapo wanaokuzwa na maziwa ya ng😱mbe je hao nao wawaite ng'ombe ni mama??
Kukuzwa kwa mtu ni kwa maziwa tu!?
Nani alikua akimbembeleza mtoto,kumuogesha na kumjali??
Je ng'ombe nae anahusika!?
Mbona mfano mbovu sana huu!?
Wewe unauona mbovu lakini Kwa wenzako wahindu ngombe is a sacred animal. Kwao ni mama..
 
Aiseee unaitafsiri hivyo hasira!?
Hasira is one amongst the emotions.
Kwahiyo hasira zinatokana na surprising behaviours??
Usinidanganye mkuu,ni mara ngapi unakosea kosa moja lile lile na mzazi anakasirika na anakuadhibu kwa kosa lile lile!?
Hasira ni hisia zinazokuja kwa kukerwa ama kukatishwa tamaa.
Unapofanya kosa lile lile mara kwa mara unakatisha tamaa lazima ukere.
Mathalan jana nilikuona umekosea kwa kuchelewa kurudi nyumbani nikakuelekeza kuwa unatakiwa uwahi kurudi nyumbani,kesho yake ukarudia kurudi nyumbani usiku wa manane nikakusamehe,kesho kutwa ukarudia kosa lile lile lazima nighadhibike kwamba unakatisha tamaa na huwenda unaleta jeuri kwa kutokufuata unachoelekezwa.
Ila namna ya kukuadhibu na reaction itakayotokea hapo ndipo kuna utofauti.
Reaction zetu ndizo zinazotutofautisha sisi na Mungu.
Kama Mungu angekua anaendeshwa na hasira basi kwa maovu tunayofanya tusingesalia duniani.
 
Wewe unauona mbovu lakini Kwa wenzako wahindu ngombe is a sacred animal. Kwao ni mama..
😂😂😂😂😂😂Aiseee.
Halafu hao hao wanadai mwanamke ni kiumbe dhaifu,hivi unajua India ndio taifa linaloongoza duniani kwa gender oppression!?
Huyo huyo mama wanaomsifia anaingia katika kundi la wanawake wanaotajwa kuwa dhaifu na wananyanyapaliwa.
Kiuhalisia mfano mbovu.
 
Kuna majitu humu yanajifanya maatheist, hayaamini uwepo wa Mungu


Lakini wanakaza mafuvu kumsapoti Harmonize


Kuweni na msimamo basi
Kuna vitu mnajichodha bila sababu. Kwani jamaa kusema Mungu ni mwanamke we inakuuma nini? Kwanini mwenyewe asiprove kama ni sio mwanamke ila qewe na sule ndio mnamtetea tena kwa kumtukana huyo aliyesema hivyo na mnamsimea dua alaanike?
 
Hamoniz yupo saii Wazazi ni ndio mungu Wa Duniani ata Bible imesema hivyo Sasa yeye atujui alikua anamaanisha Mungu yupi
 
1. Hata Hawa alikuwa mmoja tu na hakuwa na mshirika.


2. Hata Hawa hakuzaliwa au wewe unamjua baba ake au mama ake na Hawa?

Vilevile wapo wanawake ambao mpaka wamekufa hawajazaa.

3. Hata mother universe hana mwanzo wala hana mwisho.

4. Hata upendo wa mama.haulinganishwi na kiti chochote. Anyways wewe ulimuona wapi Mungu hadi utuambie hafanani na kitu chochote?

5. Hata wanawake na viumbe wote wenye jinsia us kike ndio wanao " umba" viumbe kwenye matumbo yao.

So point yako " mwanamke hana hata sifa moja inayo fanana na sifa ya Mungu" haina mashiko
[/QUOTE]

Kiongozi,
Usimfananishe Mungu na Vitu vya ajabu ajabu (Mungu hafanani na kitu chochote!)

1. Hawa alikuwa mmoja na Mshirika wake alikuwa Adam
2. Hawa hakuzaliwa lakini aliumbwa (alitwaliwa kutoka ubavu wa Adam) - Mungu Hajaumbwa
3. Hata sijui ulisomea nini? unaongelea watu wenye matatizo (wasio zaa?) Mungu hajazaa wala hajazaliwa na wala hajaumbwa.
4. Mungu ni Muumbaji wa wa vitu vyote Jua, mwezi, bahari na viumbe hai na pia kuviongoza; natumaini unafaham Solar system inavyofanya kazi.... na kupelekea Usiku na mchana, majira nk nk nk
5. Mungu huwezi kumuona kwa kuwa yupo kila mahala labda aamue kujidhihirisha tu kama mwanga, nk nk

Huwezi kumfananisha Mungu na Binadam huo ni Udhalilishaji wa hali ya juu wa Mamlaka ya Mungu
 
Mwanadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu 'Mwanzo 1:26'

Mwanadamu anaweza kua mwanamke au mwanaume

Anayepinga kauli ya Harmonize aende akamlete Mungu na atudhibitishie kua ana jinsia ya Kiume

Tusiwe watu wenye limited mind...!
Na mwanadamu akiwa mwanamke atakuwa na mume ambaye ni kichwa head of the family according to all major religions.
 
LIKUD JAMAAA KUMBE NI BANGI KAMA HARMONIZE ??? KUNA WATU HUMU DUNIANI KWA KUANDIKA KIINGIREZA CHA UONGO NA KWELI NA WW UNAJIONA MSOMI? SASA UNAMTETEA HARMONIZE UNA AKILI KWELI ? HUYO HARMONIZE UNA MUONA YUPO TIMAMU LAKINI?
 
Dini na viongozi wa dini wapo bize kutishia watu.

Mungu hana dini wala hajawahi kuchochea dini bali anatusogeza kwake kwa sisi kuwa na IMANI kwake, na si zaidi ya hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…