Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

Umejibu vizuri ndicho nilichokuwa nataka ,kikubwa kusafisha kinywa vizuri

Na taratibu hizo ,zinafanya Zanzibar nguruwe kuliwa sana haiwezekani wakristu pekee iwe vile
 
Naona hata kwenye tafsiri za vitabu vya dini pronoun ya Mungu inakuwa 'He' na sio 'She"
 
Swala la imani kila mtu na mtazamo wake na anavyoamini yeye huko India Mungu wao ni Ng'ombe na Nchi zingine zipo wanazoamini baadhi ya Wanyama kuwa ndio Mungu wao mambo ya kusema mimi nipo sahihi na huyu hayupo sahihi ni kutokujua dini...kila Mtu aaamini anachoona yeye ni sahihi...
 
Umejibu vizuri ndicho nilichokuwa nataka ,kikubwa kusafisha kinywa vizuri

Na taratibu hizo ,zinafanya Zanzibar nguruwe kuliwa sana haiwezekani wakristu pekee iwe vile
Mmmmmh basi wanakosea mkuu maana kula nguruwe ni haramu.
Na Zanzibar kuna neema ya vyakula mbali mbali.
Wanaofanya hivyo ni kwa utashi wao ila sio kwa sheria ya dini.
 
Ni ukweli usemayo

Lakini 'Yohana 4:24' inasema, “Mungu ni roho na wote wanaomwabudu imewapasa kumwabudu katika roho na katika kweli”
Roho haina jinsia

Harmonize hana kosa lolote na kama analo atapambana na aliyemuumba
Huyo Shekhe anajifanya mtakatifu sana
Harmonize ametoa points nzuri na mimi nipo pamoja nae kwamba inawezekana Mungu ni mwanamke! Maana sio kwa Mapenzi haya anayotupa

Mwanamke ndie mtu pekee anayempenda mtoto kwenye shida na Raha
 
Umejibu vizuri ndicho nilichokuwa nataka ,kikubwa kusafisha kinywa vizuri

Na taratibu hizo ,zinafanya Zanzibar nguruwe kuliwa sana haiwezekani wakristu pekee iwe vile
Zanzibar wakristo wengi sana tofauti na unavyofikiria. Plus wageni watalii, Zanzibar mahoteli ni mengi sana. Hata hio pombe nayo inauzika sana nowadays kwa sababu ya wageni watalii na watu kutoka bara
 
Japo mkuu kuna mambo ukiyafikiria na kuyatafakari lazima useme mtu hayuko sahihi.
Mathalan wahindu Mungu wao ng'ombe aisee mnyama unayemfuga na kumtandika bakora anaweza kukupa maajabu gani!?
Hao hao wahindu wana Mungu wa kike anaitwa Goddess Malapini ila cha ajabu wanawanyanyapaa wanawake na kuwaita viumbe dhaifu.
Embu tafakari kwa fikra yakinifu utasema huyu mtu yuko sawa!?
 
Nimeongea kutokana na Biblia ninayoisoma
Kuhusu Quran subiri wakina Amina Abubakar, Hamis Mwantum na Chausiku wakija watakujibu
Mimi siwezi kua na jibu la swali lako
 
Ukiachana na shaggy pia kanisa la uingereza Anglicana wako kwenye utafiti kujua mungu ni mwanamke au Mwanaume mana hajawahi onekana

imeeleweka
 
endapo nitaenda sehemu hakuna mboga ya aina yeyote zaidi ya nyama ya nguruwe ,nife njaa kisa hairusiwi na Wala sisumu nitapiga mswaki kusafisha kinywa au uislam hautaki nife njaa
Hapana, dharura inayozungumziwa ni ile ya kukosekana chakula kabisa, halu ambayo inaweza kumsababishia mtu kufa. Basi hapo naam ndio km kina hio nyama unaweza kula ili usife njaa.
Kwenye uislam kuna sharia, kuna na dharura hakuna ugumu wala kukalif nafs ya mtu
 
Mungu hana udhaifu wa kuvuja hedhi kila mwezi na akili kama za paka za kudeka deka.
Mungu usimfananishe na kiumbe dhaifu.
Kiumbe ambacho ikitokea hatari hujificha nyuma ya mwanaume kujipa kinga.
Mungu ni provider,toka lini mwanamke akawa na sifa ya kuwa provider!?
 
Eeeee waaaaaaaa ,haya ndo maswala
 
Zanzibar wakristo wengi sana tofauti na unavyofikiria. Plus wageni watalii, Zanzibar mahoteli ni mengi sana. Hata hio pombe nayo inauzika sana nowadays kwa sababu ya wageni watalii na watu kutoka bara
Nawatu kutoka bara ,waislamu kwa wakristu nimekuelewa
 
Mbona mnapenda kumtetea sana huyo Mungu… kwa nini asijitokeze hadharani
 
Naona watu mashoga na wasagaji na wa ndoa za jinsia moja wako kazimi kwa uzi huu
Hakutamka kwa bahati mbaya kusema Mungu ni mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…