Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Ackson achukua fomu ya Ubunge Mbeya Mjini kupitia CCM. Asindikizwa na mumewe

CCM ndiyo iliyompa SUGU ubunge kama haimuhitaji itamuondoa.

Kama inamuhitaji itambakiza.

Ni vizuri SUGU alinde heshima yake lakini pia wanaMBEYA ni vizuri mkamtathimini vizuri huyo SPIKA WA BUNGE ajaye.
 
Na sisi Mbeya ni wahuni wavuta bangi waropokaji huyo MZEE WA KANISA hatatuweza na hatumhitaji, msela mwenzetu anatutosha
 
Hauifahamu Mbeya wewe punguani wa ccm..

Unafikiri Mbeya mjini ni pakuiba-iba kura kama mnavyokwiba sehemu nyingine..

Ngoja utaona huyu BETINA atakavyogaragazwa na SUGU na hakuna hata kura moja mtakayoweza kuiba..

Chama Cha Majizi..CCM.
Mbona umepanic sana mkuu? Alafu kama una hofu hivi! Huo ni uchaguzi atakae shinda ndio atatangazwa! Mbona kama umeahajichokea kiakili kwamba ccm wataiba kura?
Alafu unamtisha nani? Hiyo Mbeya ina nini wakati Sugu alipigwa miezi sita jela huku wana wakiendelea kula ugali wala hakuna hata alieshtuka kwamba huyo mnaemwita rais wa Mbeya yupo jela?
 
Hoja ya ukabila itatumika kumshinda Sugu. Wanambeya wanaambiwa wachague mnyakyusa original. All in all hongera Tulia Ackson kwa kutumia haki yako kama raia. Wafaransa tunasema Qui ne tente pas n'a rien.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…