Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Ackson achukua fomu ya Ubunge Mbeya Mjini kupitia CCM. Asindikizwa na mumewe

Labda wakati mgumu kwa kupokea pongezi kutoka kwa wana mbeya baada ya kumbwaga Betina
Sugu ana wakati mgumu , huo ndio ukweli.

Lakini hata hivyo muda aliokaa Bungeni unatosha kabisa, hata akiondoka majuto yatakuwa kidogo.
 
Anacheka au?
 
Mbeya mjini Sugu ni habari nyingine, na pia wana Mbeya wanao uwezo wa kulinda kura za yule waliyemchagua kwa gharama yoyote ile. Tulia kwa uamuzi wako huo itakupasa utulie kweli kweli. Ningalikuwa mshauri wako ningalikushauri uje kutesti zari jimbo la Kawe.
 
Usiwe poyoyo,unamkashifu mwenzio kakuchukulia mke??siasa sio vita,box LA kura litaamua October.ccm.oyee
 
Nililienda mbeya mwaka janaa baada ya miaka kazaaa nikakuta mbeya ni tulia kila kona wapega debe wa kabwe wamepigwa kitengo... nikashangaa nikasema mwaka huu ccm wameamua kulichukua jimbo la mbeya.... kila kona dolaa imetembea watu wanakenua tuuu anyway nangojea matokeo ya October 2020
 
Vikwazo ni vingi sana
1. Jinsia yake sio rahisi kuchagulika huku kwetu hizo ni mila na desturi
2. CCM ipo huko kondoa lakini mpaka leo kuna watu wanakosa mpaka sabuni ya kufulia nguo
3. CCM Mbeya ilishajifia miaka mingi, mnatutukana kuwa walevi na wavuta bangi basi nyie mtachaguliwa na wasiovuta wala kulewa
4. Tumejipanga maana ukisema ataleta maendeleo hata isimani kwa lukuvi hakuna kitu
5. Mbeya sio wajinga tunajielewa sana, 2015 jiwe aliambuliwa 10% ya kura zote

Sisi hatupelekeshwi tunajielewa huyo betina aende Rungwe kwao hawezi kupata ubunge kwenye aridhi ya Wasafwa
 
Hivi nyie mnaposema mtu Ana mpunga mrefu
Ni Urefu upi?
Je ni mfanyabiashara? Ana kiwanda?

Ova
Kwa mfano mtu akiwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi X...mpunga mrefu anakua nao au hana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…