Dkt. Tulia Ackson: Mshahara wa Mbunge ni Tsh milioni 4.6 na sio vinginevyo

Atupie humu salary slips, viginevyo yatabaki maneno tu.....by the way, kwa nini serikali iwalipe wabunge mishahara, je, hiyo haiwezi kutafsiriwa kama rushwa ili serikali ipitishe mambo yake bila kipingamizi?
 
Kwa nini mshahara wa wasaidizi wa wabunge upite kwenye mikono/account ya Mbunge? Kwa nini bunge lisiweke utaratibu wa madereva na wasaidizi wote wa wabunge walio kwa mujibu wa sheria kulipwa moja kwa moja toka Bungeni? After all, how comes posho inakua Mara mbili ya mshahara?
 
Kama hakuna maslahi kwenye Ubunge, kwa nini wanatumia mbinu chafu kuingia Bungen? Kwa kuiba kura, kutumia uchawi, kupiga na kujeruhi wapinzani wao, kutumia wakirugenzi kupora ushindi
 
Justification ni Kwamba kuna wengine wanapata zaidi...

Anasahau Majority wanaishi kwa ndogo zaidi ya hizo...

Ukizingatia huko mjengoni hawajalazimishwa kwenda, kama vipi waache kwenda na wananchi wakijua wabunge wao wamepigika huenda badala ya kuwaomba watakuwa wanawachangia nauli ya kwenda Bungeni na kuwapa nyongeza ya chumvi dukani...
 
Yaani huyu mama anafikiri sisi hatuna Access ya kujua Mambo ya wabunge ,wengine ni rafiki zetu na wengine ni ndugu zetu wa karibu ,unadanganya hadharani eti wanakatwa kodi,eti salary ni 4.6m hahahaha mshahara wa mbunge ukaribiane na wa mkurugenzi wa Halmashauri hii ni big NO
 
Mheshimiwa Dr. Tulia Ackson, kwani fedha ambazo sio za mbunge mfano dereva mnapitisha Kwa mbunge?
 
Ila kuna vitu vinakera sana kusikia masikioni kwa kila mwenye utimamu!
 
Swala ni kwanini zipite kwa mbunge na zisiende moja kwa moja kwa walengwa ili kuongeza ajira?

Kwanini dereva wa Mbunge alipwe na mbunge na siyo bunge? Hii itaongeza jira kwa vijana na pia itawafanya na wao wachangie kwenye uchumi kwakua salary ya dereva italipiwa kodi pia...
 
Umeonaeeeee?
Hawajawahi kuaminika na kamwe hawataaminika
Angalau CCM ina track records za kuaminika kwakua imeiweka nchi hii intact na kubafilisha viongozi kutoka makabila na makundi mbalimbali ya jamii...Hivyo vingine nipe records zake kwenye governance na democracy!
 
Ccm bila ya magufuli ni mafiii ya kuku
 
Kodi hukatwa mshahara pamoja na posho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…