Dkt. Tulia Ackson: Mshahara wa Mbunge ni Tsh milioni 4.6 na sio vinginevyo

Yeye mwenyewe mnufaika hawezi akakubali,lakini pia kama mchanganuo ndiyo huo kwanini zipitie kwa mbunge hata hizo ambazo siyo zake?mbona hatujawahi kufanya mkutano majimboni kuelezea matumizi ya hizo pesa?
 
Kuhudhuria kikao bungeni ni wajibu wa mbunge kwanini analipwa posho wakati ni sehemu ya majukumu yake?
 
Hapa kama taifa tunahitaji kujua kama taasisi hii mhimu ya watunga sera kama wanalipa kodi stahiki. Tunaposema kodi stahiki ieleweke ni kodi halali na ambayo inatokana na malipo yote yanayounda mshahara. Kuna taarifa zinadai mbunge anapokea pesa inayopindukia Tsh 13000000/= na katika pesa hiyo inayokatwa kodi ni Tsh 4600000/= huku zaidi ya Tsh 8000000/= zikiwa hazikatwi kodi kwa kile kinachoitwa ni marupurupu, posho na pesa za dereva na mfuko wa jimbo. Swali kwani dereva wa mbunge haruhusiwi kulipa kodi? katibu wa mbunge haruhusiwi kulipa kodi?

Kwa sasa tunaomba tuwasikie waliokuwa wabunge wa upinzani maana wengi wao wamekuwepo bungeni kwa zaidi ya miaka kumi na wanauzoefu wa kutosha. Zitto Kabwe na washirika wa Chadema wakiwemo BAVICHA Taifa pamoja na rafiki yangu James Mbatia wa NCCR Mageuzi. Tunaomba mtujibu kama kweli wabunge wa bunge la JMT wanalipa kodi stahiki.
 
Aisee!.
 
Wanatuaminisha kuwa Makati bu na madreva hawatakiwi kupata ajira ya kudumu pia hawatakiwi kulipa kodi.?
 
Dah ndio maana zile fani nne mh hazipendi.
Inashindikana nini kuyachukua hayo majina na wakalipwa kama madereva wa wabunge kwa miaka 5 ya mbunge?
Hii sio sawa.kama hana anachukua mwenyewe.
Ndio maana baadhi ya wabunge hawajui hata shida za mitaani.
 
We Acha tu, hii nchi ina mambo ya hovyo sana
 
Wanatuaminisha kuwa Makati bu na madreva hawatakiwi kupata ajira ya kudumu pia hawatakiwi kulipa kodi.?
Kwanini madereva wasiajiriwe kama alivyo dereva wa dc
 
Kwenye posho ccm na cdm huwa kitu kimoja
 
Wakikujibu basi ujue hata adhabu ikliyotolewa kwa wabunge itatenguliwa.......lakini kwa vile wanatamani kuwemo humo ili wanufaike na mikoba ya fedha hatafungua akili na kunena chochote maana hoja zao zina nguvu sana kulingana na namna mwenendo wa sula husika ulivyokuwa ukienda.
 
Yeye mwenyewe mnufaika hawezi akakubali,lakini pia kama mchanganuo ndiyo huo kwanini zipitie kwa mbunge hata hizo ambazo siyo zake?mbona hatujawahi kufanya mkutano majimboni kuelezea matumizi ya hizo pesa?
Sikuwahi kufikiri Mbunge analipwa mshahara ili naye tena amlipe Dereva! Haki za Dereva zipoje?
 
Ningeomba TRA watupe habari kama pesa za kununulia magari zinakatwa kodi?, na kile kiinua mgongo wanachopewa baada ya kumaliza muda wao nacho je?
 
Kwa kauli yake mbunge Jery slaa alisema kabisa kuwa wabunge hawalipi kodi kabisa .

Sasa huyu anataka kumdanganya nani ambaye atamuamini?
Na G$laa ni mbunge inamaana hajui kuisoma salary lala yake?mbona mnaupiga mwingi hivyo mpaka mnatoa cona

 
Kama hakuna maslahi kwenye Ubunge, kwa nini wanatumia mbinu chafu kuingia Bungen? Kwa kuiba kura, kutumia uchawi, kupiga na kujeruhi wapinzani wao, kutumia wakirugenzi kupora ushindi
Huyu demu choko sana....... Hawa dawa yao ni HAMZA tu.....
 
Unasemaje 1-m zinapitia kwa mbunge lakini zote sio zake?? Kwani hakuna namna zisizozake zinaweza kupitishwa zikafika ziendaoo??

Mishahara ya wanasiasa ndio chanzo kikuu cha uonevu na upotevu wa fedha za ummakwa nchi hizi zetu changa. Hapo bado hatujalipia umeme, maji, mafuta ya magari ya wakuu wa wilaya, wa mikoa, mawazirii, naibu waziri, wakuu wa idara za serikali nk!

Katika nchi hii masikini ndio anamhudumia tajiri!
 
Weka salary slip, tuone kama wanalipa kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…