Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Akson afanya tena jambo kubwa lililomshinda Sugu kipindi chake chote cha ubunge, apongezwa kila kona

Mmoja kati ya watu wakikosa ubunge watachanganyikiwa ni huyu mama,nasikia show ya Rayvanny Mbeya mwishoni mwa 2019 gharama zote kalipia yeye.
 
Akishapata ubunge haya yote hatoyafanya Hawa wanasiasa bhana ama huyu dada anautafuta ubunge kwa nguvu
 
Mwaka huu kama mtu fulani hata "menopause" tutaona. Mbeya wanampigaga mtu 50:100
 
Kalikomalia kweli hilo jimbo wakati kiukweli hakuna anaye mfahamu
Mmoja kati ya watu wakikosa ubunge watachanganyikiwa ni huyu mama,nasikia show ya Rayvanny Mbeya mwishoni mwa 2019 gharama zote kalipia yeye.
 
Mlivyo waajabu mnadhani hapa mnamdhalilisha Tulia kumbe ndiyo mnampa coverage ya kufahamika zaidi huku mkiwa mmesahau kumtangaza Sugu.

Huyu kiongozi wa propaganda wa CHADEMA wa sasa atakuwa ana matatizo ya akili si bure.
 
Kwani wewe umeshamaliza matibabu yako hapo mirembe?

Mkiambiwa ukweli mnajifanya wajuaji.hizi propaganda zenu ni too low hazikisaidii chama hata kidogo.

Toka apotee Ben ndiyo na propaganda mitandaoni za CHADEMA zimekuwa zakubagaza bagaza tu.

Wake up guys CHADEMA ni chama kikubwa sana kufanya propaganda za kitoto namna hii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee jamaa mungu anakuona
 
Inaonekana una ufahamu mzuri juu ya kupotea kwa Saa nane, inabidi umsaidie mzee wetu siro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…