joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mmoja kati ya watu wakikosa ubunge watachanganyikiwa ni huyu mama,nasikia show ya Rayvanny Mbeya mwishoni mwa 2019 gharama zote kalipia yeye.Chini ya ufundi makini wa Dkt. Tulia Akson naambiwa kuwa huu mjengo upo katika hatua za mwisho. Fundi mkuu ni Tulia huku akiwa na wasaidizi kadhaa.
Ama kwa hakika zaidi ni kuwa Mbeya mmempata mtu ambaye mara mojamoja atakuwa anatoka bungeni kuja kufyatua mijengo ya wapiga kura wake hapo Mbeya.
Huyu ni fundi ujenzi, mruka joka na zaidi ni mganga mashuhuri anayepiga ramli za uhakika na zinazolenga golini moja kwa moja.
View attachment 1487559